Muswada wa Sheria ya Mapitio ya Katiba: Download na pitia uone kilichomo na usambaze

Muswada wa Sheria ya Mapitio ya Katiba: Download na pitia uone kilichomo na usambaze

Wazalendo watanzania kumbukeni kuwa ziko njia tatu za kudai haki ,haki hailetwi kwenye chombo ni lazima watu tujitokeze kudai kwa njia yoyote kufa kwa ajili ya wengine.
njia za kudai haki nikukaa kwenye meza ya mazungumzo na kuridhiana pande zinazo hasimiana .

Ikishindikana njia hiyo basi kundi linalodai haki halina budi kuanzisha mgogoro ikiwa ni pamoja na kugoma ,kuandamana kwa amani na njia ya tatu kama njia zote hizo zitashindikana basi kundi linalodhani kuwa linaonewa halitekeleziwi matakwa yake laweza kuamua kuanzisha vita hii ni hatua muhimu na ya mwisho .

sasa basi naitahadharisha serikali isiwaone watanganyika kama wajinga ,mazezeta ,hawajua haki zao na njia za kudai haki ,tunajua namna ya kutafuta na kudai haki zetu .jambo la katiba sio lele mama kikwete akichezea amani hii kwa kutaka kutengeneza katiba ya kumlinda na mafisadi wake .akumbuke kuwa katika haistoria ya dunia wapo viongozi walikuwa wababe lakini walishindwa kwa nguvu ya umma wamekufa hawapo wanyayansika na familia zao ,gaddafi leo tunaona kinachoendelea nchi kwake sa kikwete wengine tumejizira tuko tayari kujitoa mhanga subiri sio tishio najua hata nikifa na kufa mara moja na wala sio mara mbili nyote mtanifuata mtakufa tu ,kikwete endelea na mambo yako sio yako
 
cha kushangaza mambo muhimu yaliyopelekea watu kudai katiba mpya ndo wanataka tusiyajadili like
mamlaka ya rais(urais kama taasis)
muungano
.............
............
on top of that wanazuia vyama vya siasa kutoa elimu ya uraia sas who will educate the people wakti tunafahamu fika serikali haipo tayari kuwaamsha walio lala kwa sababu inatumia ujinga wa wataz kama mtaji wa kisiasa.
by the way everything has an end watapindisha mambo but 2po macho wakati wote and if those CCM MPS will vote yes for the fake bill we use the people's power to show the public interest
GOD HELP THE GOVT TO REALISE PEOPLE'S NEED.... AMEN....
 
Huo mswada ni moja ya ufisadi uliokithiri kama mijitu inayojiita viongozi inakuwa mivivu ya kufikiri kwa kiwango hicho, ni ulevi wa hali ya juu wa madaraka, na katika hili kwa kweli tuko tayari kwa lolote. Hii nchi ni yetu sote
 
Jamani watanzania tusipogangamala hapa kwenye uti wa mgongo wa taifa hatuna future. Huu uwakilishi wa wazanzibar hauna mantiki hata kidogo. Huu mswada yafaa urejeshwe ulikotoka ukaandikwe upya.
QUOTE=Silas Haki;1810374]Mswaada huu haujatulia hata kidogo kwani unataka kuturudisha nyuma kwenye tume mbalimbali zilizokuwa zinaundwa.

Kwa nini bado tunampa Rais mamlaka yote ya kuunda tume hizi? Ni lini Rais aliridhika na mapendekezo ya tume wanazoziunda kama siyo kuwadanganya na kuwafumba macho wananchi? Terms of references kwa nini zitolewe na Rais badala ya Bunge? Je, unafikiri Rais hawezi kuingiza terms za kulinda chama chake na masilahi ya kundi lake analolilinda?

Hapa watanzania na hasa wabunge wanatakiwa wafanye marekebisho, tume ya katiba ithibitishwe na bunge. Na kwa nini kuwe na idadi sawa ya uwakilishi kwenye tume kati ya Zanzibar na Tz bara wakati tunajua wazi kuwa Zanzibar ina watu wasiozidi milioni 1.5 na huku bara ina zaidi wa watu milioni 40?

Tuacheni siasa kwenye mambo ya msingi kama haya.[/QUOTE]
 
Muswada hupo Jf kwenye jukwaa la siasa. Umeletwa na mh.AlbertMsando kwa msaada wa mbunge Zitto. Kama sikosei ndo waliouleta jamvini na tayari mi nshausevu kwenye Pc yangu tayari kwa kuukodolea macho!
 
Jana kwenye mjadala wa katiba pale UDSM ziligawanywa kopi chache saana za muswada huo. Hivyo kama kuna mwana JF aliebahatika kupata kopi atugawie jamani
 
Hii sio sawa kabisa, kilichokuwa kimeazimiwa ni kuandikwa kwa katiba mpya siyo kuipitia na kuifanyia marekebisho katiba iliyopo.Muswada huu unachotaka kufanya ni kufanyia marekebisho katiba iliyopo siyo kuandikwa kwa katiba mpya. Mwanasheria mkuu wa serikali na waziri wa sheria katika mswada huu wametekeleza yale maoni yao waliyosema toka mwanzo kwamba hawaoni tatizo la msingi la katiba iliyopo zaidi ya kuifanyia katiba ya sasa marekebisho kidogo. Jamani tunachotaka ni katiba mpya itakayosomeka katiba ya jamhuri wa muungano wa Tanzania ya mwaka kwa mfano 2014 na siyo ya mwaka 77 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka kwa mfano 2014.Tunataka katiba ambayo itabeba mambo tunayoyahitaji leo na mambo tunayoyahitaji miaka mia moja ijayo, ni lazima tufanye speculation ya mahitaji yetu kama nchi katika miaka 100 ijayo na kuyaingiza katika katiba ili kuepuka marekebisho ya mara kwa mara ya katiba ya nchi. Katiba ni sheria mama ya nchi,japo marekebisho ya katiba na sheria ni kitu cha kawaida katika kuendana na matakwa ya muda lakini sheria moja inapokuwa na marekebisho mengi kupita kiasi inakuwa ni tatizo kubwa sana katika matumizi yake, kwa mfano rejea sheria ya jeshi la kujenga taifa imefanyiwa marekebisho mengi mpaka sasa inaleta ugumu katika kuitumia kwa kuwa kila unachogusa kimeshafanyiwa marekebisho. Jambo jingine muswada huu wa katiba umeanza vibaya kwa kuweka vitisho vya watu kufungwa katika kukosoa au kupinga mahakamani,sasa hapa inakuwa haina maana tena, kwa kuwa inaonekana inataka kutungwa katiba ya watu wachache siyo ya watz, inawapasa wakumbuke kwamba leo wapo ofisini kesho watakuwa nje ya ofisi , hivyo katiba hiyo wanayoitaka itakapowabana wakiwa raia wa kawaida hapo baadaye wasipige kelele.
 
I have different questions!
1. Katiba Mpya ifaayo ni inayo favor kikundi au chama/vyama fulani?
2. If not, kwanini chama fulani, hakioni umuhimu wala nia ya kuleta positive change?
3. Katiba ni ya miaka 5 au 10? Coz, hata kuchakachua kuna mwisho? Say 2015 CUF wamechukua nchi, hao CCM hawatakuwa wa kwanza kuomba new constitution? Another process, more tume more unnecessary matumizi ya tax payer's money
4. Hao wasomi, wanasheria wa Serikali, r they real that myopic, that they don't see the importancy of this process, sio tu kwao bali kwa maisha na ustatawi wa watoto wao na wajukuu zao?
5. Viongozi wetu, sijui ni utamaduni, au kutokuwa na uhakika wa their myopic kesho? They don't care about legacy (kwamba wakumbukwe kwa lipi) they only care of how much they reap after they leave?

Naomba msaada wenzangu, hainiingii akilini kabisa. Natamani tungeandaa semina ya Uraia na Uzalendo kwa Wabunge wote wa CCM. Na tuwafanye waanze kuona, jinsi gani maamuzi yao ndio yatakavyoMUUA binti yake ambaye mwenye miaka 2 sasa, 25 years later kwa kukosa huduma nzuri za afya wakati anajifungua!

You have spoken whats in my heart. I really fail to understand these CCM members who are held in captive na baadhi ya watu ndani ya hicho chama chao na wamebakia kama vile misukule wakiambiwa kila jambo wanalikubali bila kufikiria what would be the results of their un critical analysis in whatever decision they are asked to support. Hapa naamini kweli maneno ya mitaani kwamba mwenge ni ulozi unaofanya watanzania wasifikiri zaidi ya wanachoambiwa na viongozi wao. Sasa kama raia wote impact ya thinking yao imekuwa influenced kwa kiasi hiki na huo ulozi ni vipi basi ukiwa member wa hiyo 'ocult' group ya CCM? I realy can't understand mtu akubali kuburuzwa kama kondoo wakati hayo maisha bora yako kwa hao wanao waburuza na wao ukiwaona utaona huruma; is it normal? No thank you there is some inside powers which can also affect somebody's thinking that he is un able to realise who he is. I hate CCM jamani nisaidieni naichukia kupita kiasi mpaka naogopa am going to the extrem what should I do? To me I find it like an ocult group fo whatsoever they think or do create sufferings na bado hawana huruma hata kidogo! Hivi kama siyo uchawi ni nini kuweka vipengele vya ooh mswada ukipita atakaye pinga ana comite crime, yaani wanatubaka (freedom of expression) hadharani na bado wanataka ku legalise hiyo act yao. Mtaniambia siyo CCM walio andika je hii serikali ni ya chama gani?
 
kwa mfano kusema kuhoji tume ya iliyoundwa na rais ni kosa la jinai amabayo azabu yake ni jela miaka mbili au failni ya mil. 5 au vote pamoja haina tofauti kabisa na ile sharia ya kiarabu ya kuadhibu kwa kupigwa mawe hadi kufa ukienda kinyume na uislamu.

kwa ndoto niliyooteshwa leo ni kwuwa huu mswaada kama wakristo wataukubali upite, basi watakuwa wahanga wa sharia kali za kiislamu na watapata mateso makubwa kutoka kwa hawa waislamu wa pwani.

na huu muswaada ukipita tu, basi tzazania haitakwepa kitanzaia cha kujiunga na OIC na kmakhakama za Kadhi ambazo huwa ni kero kubwa kwa jamii ya wakristo duniania kokote.

nawakilisha.

Hii wala si siri. Naomba niwe mdini kwa mara ya kwanza na nipo tayari kuutetea ukristo wangu hata kwa garama ya kifo. Hapa wanaposema wajumbe watakuwa sawa bara na visiwani tafsiri iliyonijia ni kuwa kwakua huko visiwani almost 100% ni waislamu na bara huku ni mchanganyiko na automatically haiwezekani wajumbe wote wa bara wawe wakristo then you expect hapo mwisho wa siku muslimu will be more than christian in that composition then issue yoyote ile ya kuiingiza kwenye katiba ambazo kwa sasa ni hiyo ya kadhi itapata baraka hata kama ni kwa democracy ya ujanja kwamba wakipiga kura all muslimu will come together and vote. Ikipita tayari inachukuliwa ni democracy na kila atakaye question ataonekana mdini kwani watatuambia uchaguzi wa wajumbe haukuzingatia dini bali profession. Ila kitu amacho hawatatuambia decisions huwa hazitokani na exogenous variables tu bali huwa zinatokana na latent variables ambazo mara nyingi haziwezi kuonekana japo zinaweza kuwa modeled kama hiyo endogenous factor iko expected.

Nafahamu si waislamu wote wako hivyo ila wale ambao wako selfish nakusahau kwamba kuna wenzao ambao kwa selfishness yao wataingia kwenye matatizo. Hili hata lingetaka kufanywa na wakristo wenzangu nisingelikubali maana for me selfishness is the root of all sins. It is selfishness that cause sufferings to everybody while love does the opposite. Hii haiwezekani na wala halita tokea whether am dead or alive!
 
kobello

Kwa nini wewe umekazania kitu hiki who doesnt know that CCM won by God's hand, but here we are not discussing who is the winner we are discussing the tabled bill and its amendments can you add something from there than repeatedly saying Kikwete won Slaa lost
ooh okay!
 
Unaijuwa Sharia wewe au unapayuka tu?

QUOTE=The Prophet;1812068]kwa mfano kusema kuhoji tume ya iliyoundwa na rais ni kosa la jinai amabayo azabu yake ni jela miaka mbili au failni ya mil. 5 au vote pamoja haina tofauti kabisa na ile sharia ya kiarabu ya kuadhibu kwa kupigwa mawe hadi kufa ukienda kinyume na uislamu.

kwa ndoto niliyooteshwa leo ni kwuwa huu mswaada kama wakristo wataukubali upite, basi watakuwa wahanga wa sharia kali za kiislamu na watapata mateso makubwa kutoka kwa hawa waislamu wa pwani.

na huu muswaada ukipita tu, basi tzazania haitakwepa kitanzaia cha kujiunga na OIC na kmakhakama za Kadhi ambazo huwa ni kero kubwa kwa jamii ya wakristo duniania kokote.

nawakilisha.[/QUOTE
Tafadhalini, watu wanajadili mambo ya maana yenye manufaa kwa nchi yetu.
Kama humuwezi kuchangia kaeni kimya,msianze kutuchafulia hali ya hewa. Uchanga wenu JF si sababu ya kushindwa kufikiri, tumewachoka kwa miezi 2.
Please!!! hatupendi mchangie kwasababu hamna lolote la kuwasaidia watanzania kimawazo, hamieni jukwaa la dini mlumbane kwa vitu mlivyodandia na msivyovijua.
 
Mswaada huu haujatulia hata kidogo kwani unataka kuturudisha nyuma kwenye tume mbalimbali zilizokuwa zinaundwa.

Kwa nini bado tunampa Rais mamlaka yote ya kuunda tume hizi? Ni lini Rais aliridhika na mapendekezo ya tume wanazoziunda kama siyo kuwadanganya na kuwafumba macho wananchi? Terms of references kwa nini zitolewe na Rais badala ya Bunge? Je, unafikiri Rais hawezi kuingiza terms za kulinda chama chake na masilahi ya kundi lake analolilinda?

Hapa watanzania na hasa wabunge wanatakiwa wafanye marekebisho, tume ya katiba ithibitishwe na bunge. Na kwa nini kuwe na idadi sawa ya uwakilishi kwenye tume kati ya Zanzibar na Tz bara wakati tunajua wazi kuwa Zanzibar ina watu wasiozidi milioni 1.5 na huku bara ina zaidi wa watu milioni 40?

Tuacheni siasa kwenye mambo ya msingi kama haya.

Naunga mkono maoni ya mwananchi hapo juu. Kwanini watanzania siku zote wanajifanya kama hawajui nia na malengo ya ccm? Huyu kikwete kaiba kura just less than six months ago na leo tunaipa hii ofisi ya kikwete tena kuunda tume ya katiba. Huyo huyo kikwete refused to report on richmond issue bungeni, huyo huyo kikwete mbagala alikaa kimya na gongo la mboto anatajiwa kukaa kimya. Hivi sisi watanzania what's wrong with us? Do we really care about our future or we are pretending? Kwanini hili swala la katiba lisiondolewe mikononi mwa ofisi ya kikwete?

Katiba ni ya Taifa la leo na la kesho na lengo ni kutatua matatizo ya Taifa leo hii ambayo yamesababishwa na hawa ccm. Let's be clear kabla hatuja kubaliana na incompetency ya ccm​
 
Jamani naomba pia kuuliza je ni lini (Tarehe ngapi, siku gani?) huu muswada wa katiba utasomwa na kujadiliwa bungeni???
 
Guys, I remember somebody posted a copy of mswada. Naitafuta hiyo thread siipati. I need help, anybody
 
Kweli serikali ya CCM imeshindwa kusoma alama za nyakati.

Akili ya kawaida inanituma kwamba hii ni golden opportunity ya CCM na serikali yake kuhakikisha madaraka ya Rais yanapunguzwa.

Hii ni kwavile siku zao kuwepo madarakani zinahesabika na huyo ajaye atakuwa hana simile na wajingawajinga. WATAPONEA WAPI?

They should borrow a leaf from me....
 
It can be done if everyone of us can play his part. See now we need to read this document and educate our fellow citizens. Hawa watu wana tabia chafu sana ya kuwaamulia wananchi mambo nyeti

Katiba yenyewe haikutokana na wananchi
Muungano haukuwa na ridhaa ya wananchi
Sijui Azimio la Arusha
Azimia la Zanzibar

Hatuwezi kuendelea na utaratibu mchafu wa mtindo huu
Let us standa up for our right.:hug:
 
Dear fellow Tanzanians,

I have gone through the bill and I have strong reservations that the government hasn't taken seriously the issue of ''New constitution''. A quick review of the proposed bill indicates that the ruling party wants to have full control of the process in order to have the new constitution in its favor. The draft of the bill may also have been influenced by the prevailing political climate in the country including but not limited to an overwhelming popular support Chadema is winning from citizens. Of recent Chadema has been trying to position itself as an alternative political force to lead the country. Whether this is possible or not history will eventually tell us.
I have identified 8 areas of serious concern with the bill and I would like to highlight some skepticism on each one of them:

1. Appointment of the commission members by the incumbent president
Yes in a trusted circumstances doubtful though, President Kikwete won over 60% of the votes casted for presidency. Democratically and based on the current constitution JK got a mandate to lead Tanzania. We have entrusted him to represent us in our matters of interest in general but particularly to uphold the rule of law. When he was sworn in that is what he promised to abide.

In a democratic country Constitution is understood to be the rule of a game between the leaders and those who are being led. It is a contract which the government accedes to uphold when governing its people. There is no single person in our country who has a title deed of leadership, so on one hand all people are leaders and on the other all people are subjects. At least your son or daughter will be either of those two at one point in time! The supreme principle (I would call it) of the constitution is, it is for the people by the people. People should be given (not only to be seen given) a chance to make the constitution. This is contrary to what we can deduce from the recently released Special Supplement Bill of March 2011 which in essence has put it that the President will be the person not only to determine how the new constitution will be prepared but also what should be in the constitution. In legal terms the President has been given some discretionary powers to accept or reject part or all proposals purported to be in the new constitution. In a crude sense the bill has given power to the President to make the new constitution while Tanzanians are just entitled some limited rights of advising the president on what they would want to be in the new constitution.

The current president is the head of the ruling political party, how can he be impartial when it comes to selection of the commission members? How can we ensure that the commission takes in the balance of the divergent views of our population both in Tanzania Mainland and Zanzibar? Surely the excessive power of the president is spilling over and will result into a constitution which is not the will of the people. This practice is amongst the key issues why we are calling for the new constitution – excessive and unchecked powers of the President. Those who drafted the bill seem to consciously capitalize on the weakness of the current constitution and they chose to use it. If Tanzanians will not reject this bill we are going to have another weaker constitution which will in no way stand the test of the current generation and will be a potential source of struggles between citizens and those in power.

2. Equal numbers of representatives from Zanzibar and Tanganyika
This is another nagging issue to our union - how should the two sides of the union be represented in the decision making bodies. Zanzibar's worry is to be swallowed and consequently become insignificant in the union. The complaints have continued for quite long and corrective measures on some decision making circles have been over improved and now are becoming a concern to the mainlanders.
There is therefore no rationale here, it looks the draft of the bill was also represented by 50/50 Zanzibar and Mainland. This doesn't sound good to mainlanders; we therefore need to embed in the constitution change process a cordial understanding between the two sides and the fact that no any one side is going to outsmart the other. Zanzibar has about 1million people and on the mainland are over 40 million! What criteria did they use to arrive at this ratio of 1:1? Zanzibar is over represented in this commission while the mainland is under represented.

3. Terms of reference to be issued by the president
ToR is the backbone of the new constitution formation process, how can such a sensitive issue be vested to the president? I know presidency is an institution but he will still have powers to overrule any proposal which does not serve the interest of his party if he so wishes. How can we ensure that the ToRs given to the said commission is going to consider all the diversity nature of our society? What if the president will orient himself to only such terms as those acceptable to his party and protecting its future interests?

4. The commission shall adhere to national values and ethos and shall in that respect observe inviolability and sanctity of the following matters (Including: Union of Tanganyika and Zanzibar, Executive, Legislature and Judicature, the presidency, The existing of the revolutionary Government of Zanzibar etc)

The things mentioned here are supposed to form the fundamentals of the law of the land. How were they arrived at? Who has the unanimous authority to dictate the key principles to hold our nation? Aren't some of the issues mentioned part of the very things citizens are challenging and need to be discussed and agreed upon? Why this kind of imposition? Don't we as people of Tanganyika and Zanzibar have right to determine how we should be governed? Don't we have rights to review the union and how it is constituted and finally determine how it should be? Yes Executive, Legislature and Judicature are key pillars of any democracy but what is the current status of affairs where our president is like a king with supreme powers over the other arms of governance and almost appointing everybody?

The presidency: Why restricting us to discuss this institution and eventually change what we think is not appropriate for us? There are issues on the current excessive powers conferred to the President and we would like to have them reviewed. We might come up with a formula which can potentially affect the roles of top government officials including the President. The President is overprotected and above the law - we have concern on this and we need to discuss and give our opinions. The incumbent Prime Minister of Italy is currently being prosecuted for corruption, he is still a PM, it doesn't mean that when you are head of state you are immune. Presidents are humans they are prone to making mistakes and sometime offenses due to the excessive appetite to gratify themselves. We need to protect the interest of the people against such unscrupulous rulers who may choose to use the loopholes in our constitution. We can't entrust the responsibility to the very person to oversee changes on the very things he enjoys to have. The matters listed above are neither ethos nor values of our society, these are institutions which may come and go. Values and ethos are the principles we want to be identified with and breaking them or living contrary to them would mean to violate the very foundation of our constitution.

The existing of the revolutionary government in Zanzibar:
This is a complete ridicule to democracy in Zanzibar. Revolutionary government is not elected, Zanzibar government is no longer a revolutionary government, it is the government of the people by the people. It is very illogical to continue calling it that way and even to maintain the revolutionary council in Zanzibar. We want to discuss this; this is not our national ethos at all. Why does the bill shield this from being discussed?


Tanzanians have a right to discuss and determine what fundamentally constitutes our national ethos. The committee which prepared this bill went beyond to almost drafting the constitution. How did they arrive at the list? Is the list exhaustive? Is it superfluous? Are things therein really national ethos? What if the list lacks some things of key concern to Tanzanians?


5. The commission report shall be submitted to the president..... and after considering the report.......
Assuming the commission will do an excellent job of collecting, compiling and coming up with initial proposals (report) reflecting the will of the people but somehow contrary to the will of the president or his confidants. How will the President take this? The bill has given so much power to the president, he has discretion to accept the report, reject some parts of the report or the whole of the report. How can we be ensured that this process is going to have an absolute buy in by the president at the end? The process depends on the president and we have seen in the past similar commission's reports were put in a dust bin!

6. Constituent Assembly will be appointed by the president.
Same issues as in 1 above. The assembly is likely to reflect the will of the president and his party. There is no ensured impartiality in the process; all things will be at the mercy of the president, his party and his aides!

7. The referendum shall be organized by NEC (National Electoral Commission)
NEC in the just ended election did not do a good job at least according the opposition and EU election monitory report. How can we be sure that things will be different in the referendum? What measures are going to be in place to ensure that people's wills are safeguarded in the process? The commissioners of NEC are appointed by the president; the Constitution Commission will be selected by the president, why is the government encroaching the important and historical event which will lay a new foundation of our country? Why this control? What is the fear? Do we need to review the law establishing NEC before the referendum to guarantee its independence and the fact it won't be influenced by yes or no sides? After all we are all Tanzanians; there is not any one of us who is more or less Tanzanian than the rest.


8. Referendum campaign shall be conducted by the commission and no political party or an affiliate organization to a political party shall participate in the referendum campaign
The bill further imposes a punishment up to 2 years in jail for any individual violating this. The bill suggests tightening mouths of people not to say their views or share their stand during the referendum. Who will represent the yes answer and who will represent the no? Who will speak for the yes and who will speak for the no? In any election there must be campaigns, constitution making is a political process why ban political organizations and their affiliates to participate at the culmination process? If for example the commission and the president will come with a proposal not popular to people who will speak these realities?

Conclusion
The government has hijacked the constitution process and there are clear indications that it will not offer its citizens a space to debate and come with a new constitution reflecting their will. If the government is not ready to accept the will of the people we would rather halt this process until at times such that we are sure the will of the people will be respected. Otherwise manipulating the constitution process will mark the end of our enviable peace we have enjoyed since independence. Those who are thinking they can still manipulate Tanzanians are on the wrong side of history. I would like therefore to urge all Tanzanians to reject this bill with strongest terms possible until our rulers understand to respect peoples' voice.
 
Sijawahi kuandika lolote kuhusiana na katiba toka JK alipokubali kuhakikisha katiba mpya inaandikwa ..

Akilini nilijua kwamba hili haliwezekani na zilikuwa porojo tu kwa sababu naelewa what is at stake kwa CCM na viongozi wake..

Madai makubwa ya wananchi ni angamizo la Utawala uliopo na vibaraka wake,hivyo sidhani kwamba JK na mtandao wanaweza kukubali mabadiliko ambayo yatakuwa angamizo lao..

Hivyo tusitegemee lolote jipya na kwa uhakika Katiba mpya haiwezekani ndani ya Utawala wa CCM kwani vio gozi woote wa CCM walikuwa maskini walipoingia madarakani na leo hii ni matajiri wakitumikia katiba iliyopo ikitawaliwa na mfumo dume...

Maadam nchi hii inaongozwa na chama ambacho kimeshika njia zoote za kiutawala na nguvu ya dola hivyo sidhani kama kuna suluhisho lolote la katiba mpya kupitia CCM au JK..
 
Sijawahi kuandika lolote kuhusiana na katiba toka JK alipokubali kuhakikisha katiba mpya inaandikwa ..

Akilini nilijua kwamba hili haliwezekani na zilikuwa porojo tu kwa sababu naelewa what is at stake kwa CCM na viongozi wake..

Madai makubwa ya wananchi ni angamizo la Utawala uliopo na vibaraka wake,hivyo sidhani kwamba JK na mtandao wanaweza kukubali mabadiliko ambayo yatakuwa angamizo lao..

Hivyo tusitegemee lolote jipya na kwa uhakika Katiba mpya haiwezekani ndani ya Utawala wa CCM kwani vio gozi woote wa CCM walikuwa maskini walipoingia madarakani na leo hii ni matajiri wakitumikia katiba iliyopo ikitawaliwa na mfumo dume...

Maadam nchi hii inaongozwa na chama ambacho kimeshika njia zoote za kiutawala na nguvu ya dola hivyo sidhani kama kuna suluhisho lolote la katiba mpya kupitia CCM au JK..
twafwa jamaa ndo wameshika mpini.... Kunyongw ndo imesashindikana na watoto wao wanaenjoy free political ride...... Tutaloloma wenzetu wanabuunyaaa
 
Back
Top Bottom