Muujiza kwenye mkutano wa injili wa Mtume Mwamposa, waumini wadaiwa kupokea pesa kwenye simu zao kutoka kusikojulikana baada ya kuombewa

Muujiza kwenye mkutano wa injili wa Mtume Mwamposa, waumini wadaiwa kupokea pesa kwenye simu zao kutoka kusikojulikana baada ya kuombewa

Bwana Yesu mwenyewe alikuwa anatumiwa viumbe katika miujiza yake kwa sababu aliviumba kwa mfano samaki,matope,msikate,miti nk.Sasa hii miujiza inayofanywa Moja kwa Moja tunamwomba Mungu atufunulie
 
Back
Top Bottom