Nzige Mdudu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,048
- 830
Je Divai isiyo na kilevi (Alcohol) ni POMBE?Ukisema divai isiyokuwa na kilevi ni sawa na kusema mbege iliyokamuliwa leo isiyo na kilevi. Kilevi kipo ndani ila bado hakijachanganya.
Mbona una quote nusu nusu.Mkuu, kwenye huu mstari kuna sehemu amesema "Akinywa Pombe"?
Quote ndefu ambayo yeye mwenyewe amesema amekunywa pombe.Mbona una quote nusu nusu.
Umeelewa lakini? Yani maana yake ni kwamba fermentation ilikuwa lazima itokee, na ikishatokea ndio alcohol inazaliwa. Someni muelewe.Mkuu, kama hakukua na teknologia ya kuhairisha fermentation unathibitisha vipi kwamba Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua na Kilevi (Alcohol)?
Rudi mwanzo uliponiqoute utaona ama ndio utasema walikuwa wanamsingizia?Quote ndefu ambayo yeye mwenyewe amesema amekunywa pombe.
Kwenye Comment yako ulioiandika unaweza kunioneshea mstari ambao Bwana Yesu amesema Anakunywa au amekunywa Pombe?Rudi mwanzo uliponiqoute utaona ama ndio utasema walikuwa wanamsingizia?
Mkuu, unaweza kuthibitisha kwamba Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua na Kilevi (Alcohol)?Umeelewa lakini? Yani maana yake ni kwamba fermentation ilikuwa lazima itokee, na ikishatokea ndio alcohol inazaliwa. Someni muelewe.
Yesu mwenyewe alikuwa mnywajiMbona una quote nusu nusu.
Ulisikia wapi kwenye sherehe za zamani wazee wa Baraza walikuwa wanakunywa Juice ?Mkuu, unaweza kuthibitisha kwamba Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua na Kilevi (Alcohol)?
Kama una majibu ya swali nililouliza unaweza kusaidia kuyatoa, maana mpaka sasa hakuna majibu yaliyotolewa kuthibitisha kwamba Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua na Kilevi (Alcohol). Karibu.Ulisikia wapi kwenye sherehe za zamani wazee wa Baraza walikuwa wanakunywa Juice ?
We kama unajua maana ya divai kwanini unauliza ina kileo au la ?Kama una majibu ya swali nililouliza unaweza kusaidia kuyatoa, maana mpaka sasa hakuna majibu yaliyotolewa kuthibitisha kwamba Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua na Kilevi (Alcohol). Karibu.
We kama unajua maana ya divai kwanini unauliza ina kileo au la ?Kama una majibu ya swali nililouliza unaweza kusaidia kuyatoa, maana mpaka sasa hakuna majibu yaliyotolewa kuthibitisha kwamba Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua na Kilevi (Alcohol). Karibu.
Nilichouliza umekijibu kwanza?We kama unajua maana ya divai kwanini unauliza ina kileo au la ?
Hebu nipe andiko linalokataza Alcohol kwaye Biblia ?
Divai aliyo itengeneza Yesu ilikuwa ya kulewesha na sio juice.Nilichouliza umekijibu kwanza?
We mzeeUkisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.
Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.
Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana wamletee maji, na walipoyafunua yakawa divai iliyo bora Sana.
Sasa inakuwaje leo makanisani wanasema tusinywe kabisa maji mema?🥃🥂🍻🍺🍷
Ni haramu kwakuwa wataalamu wa afya wamejiridhisha kuwa hiyo mimea haistahiri kutumika kama ulivyoeleza hapo juu.
Na sio kwamba haina matumizi kwa Binadamu bali ina matumizi mengine.
Ndio maana hata Petroli inalewesha lakini haikutengenezwa kwa madhumuni ya kunywa kama
kileo.
Hiyo mimea inatumika kutengenezea pamoja na madawa ya wanyama na Binadamu.
Ile Nusu Kaputi ya ganzi wakati wa kufanyiwa upasuaji hospitalini ni mojawapo katika dawa zinazotokana na hiyo mimea.
Unapo sikia neno Drug abuse sio kwamba hayo madawa hayana matumizi.
Bali yametumika kinyume na yanavyotakiwa kutumika.
Utashangaa Heroine na Cocaine zinamika vizuri tu katika shughuli nyingine na kuleta matokeo chanya.