Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Mkuu, kama hakukua na teknologia ya kuhairisha fermentation unathibitisha vipi kwamba Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua na Kilevi (Alcohol)?
Umeelewa lakini? Yani maana yake ni kwamba fermentation ilikuwa lazima itokee, na ikishatokea ndio alcohol inazaliwa. Someni muelewe.
 
Pigeni Gambe wana!Maisha yenyewe ndiyo haya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rudi mwanzo uliponiqoute utaona ama ndio utasema walikuwa wanamsingizia?
Kwenye Comment yako ulioiandika unaweza kunioneshea mstari ambao Bwana Yesu amesema Anakunywa au amekunywa Pombe?
 
Umeelewa lakini? Yani maana yake ni kwamba fermentation ilikuwa lazima itokee, na ikishatokea ndio alcohol inazaliwa. Someni muelewe.
Mkuu, unaweza kuthibitisha kwamba Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua na Kilevi (Alcohol)?
 
Mbona una quote nusu nusu.
Yesu mwenyewe alikuwa mnywaji

18 Kwa maana Yohana Mbatizaji alikuja na akawa hali wala hanywi nao wanasema, ‘Amepagawa na pepo’. 19 Mimi mwana wa Adamu nimekuja nikila na kunywa, nao wanasema, ‘Mta zameni mlafi na mlevi; rafiki wa watoza kodi na wenye dhambi!’ Lakini hekima huthibitishwa kwa matendo yake.”
Mathayo 11:8-19

NIME-QUOTE COMMENT YAKO YOTE.
Haya nioneshe mstari ambao Bwana Yesu amesema amekunywa Pombe.
 
Ulisikia wapi kwenye sherehe za zamani wazee wa Baraza walikuwa wanakunywa Juice ?
Kama una majibu ya swali nililouliza unaweza kusaidia kuyatoa, maana mpaka sasa hakuna majibu yaliyotolewa kuthibitisha kwamba Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua na Kilevi (Alcohol). Karibu.
 
MSITUMIE MAANDIKO KUPOTOSHA, NA WALA MSITUMIKE KUPOTOSHA NENO LA MUNGU.
 
Kama una majibu ya swali nililouliza unaweza kusaidia kuyatoa, maana mpaka sasa hakuna majibu yaliyotolewa kuthibitisha kwamba Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua na Kilevi (Alcohol). Karibu.
We kama unajua maana ya divai kwanini unauliza ina kileo au la ?

Hebu nipe andiko linalokataza Alcohol kwaye Biblia ?
 
Kama una majibu ya swali nililouliza unaweza kusaidia kuyatoa, maana mpaka sasa hakuna majibu yaliyotolewa kuthibitisha kwamba Divai aliyoiombea Bwana Yesu ilikua na Kilevi (Alcohol). Karibu.
We kama unajua maana ya divai kwanini unauliza ina kileo au la ?

Hebu nipe andiko linalokataza hiyo divai kwenye Biblia ?
 
Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.

Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.

Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana wamletee maji, na walipoyafunua yakawa divai iliyo bora Sana.

Sasa inakuwaje leo makanisani wanasema tusinywe kabisa maji mema?🥃🥂🍻🍺🍷
We mzee
Kunywa kwa hiyari na raha zako. Kutusemea sisi ambao hatunywi inakuwa jau
 
Ni haramu kwakuwa wataalamu wa afya wamejiridhisha kuwa hiyo mimea haistahiri kutumika kama ulivyoeleza hapo juu.

Na sio kwamba haina matumizi kwa Binadamu bali ina matumizi mengine.

Ndio maana hata Petroli inalewesha lakini haikutengenezwa kwa madhumuni ya kunywa kama
kileo.

Hiyo mimea inatumika kutengenezea pamoja na madawa ya wanyama na Binadamu.

Ile Nusu Kaputi ya ganzi wakati wa kufanyiwa upasuaji hospitalini ni mojawapo katika dawa zinazotokana na hiyo mimea.

Unapo sikia neno Drug abuse sio kwamba hayo madawa hayana matumizi.

Bali yametumika kinyume na yanavyotakiwa kutumika.

Utashangaa Heroine na Cocaine zinamika vizuri tu katika shughuli nyingine na kuleta matokeo chanya.

Ule uzi niliokuandikia kuhusu Yesu hakusulubiwa ulipouona ushahidi mliufunga haraka sana.

Ukweli Yesu si Mungu na hakufa msalabani.
 
Back
Top Bottom