Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Si nimekuandikia hapo juu au unasoma juu juu.Ili USIWE mlevi unatakiwa unywe bia kuanzia ngapi?
Au alcohol ngapi imewekwa Kama kipimo yaani ukifika hyo alcohol inakuwa umekuwa mlevi.
Hivi inaingia akilini kweli.
Yesu kutengeneza POMBE?
hata kwa akiki tu za kuvukia Barabara.
Hapo watakwambia hilo ni agano la kale na ni sheria kipindi cha Musa, ila alipokuja Yesu alitengua kwa yeye mwenyewe kiyageuza maji kua divai katika sherehe kisha waumini wakapombeka.
Nuhu alilewa mvinyo akakaa uchi watoto wake wakamsitiri isipokuwa mdogo alimchekaMimi muislam naamini mitume na manabii wa Mungu hawawezi kuwa walevi.
Ila Kama wakristo mnaamini yesu alikuwa mlevi.
MIMI SIMOOOOOOOOOOOO
Si nimekuandikia hapo juu au unasoma juu juu.
Usinywe pombe kuzidi UWEZO WAKO WA MWILI.
Kunywa ILIYORUHUSIWA NA SERIKALI.
Kunywa MUDA WA MAPUMZIKO baada ya kazi zako
Usinyweee BAJETI YA MAMBO MENGINE KAMA ada, matibabu, ujenzi, Akiba yako, chakula cha nyumbani nk.
Nuhu alilewa mvinyo akakaa uchi watoto wake wakamsitiri isipokuwa mdogo alimcheka
Ndio ila hakuwa Mlevi.View attachment 2066799
Yesu anakiri kwamba alikuwa anakunywa divai
View attachment 2066799
Yesu anakiri kwamba alikuwa anakunywa divai
MWANZO:9/20Je, divai ni pombe?
HAYO NI MAMBO YA WALAWI!Aya ya 9.
Muwe mnasoma maandiko yenu jamani.View attachment 2066759
Hayo maji yenu mmetengeneza wenyewe mmeweka matakataka ya chemical zinazo haribu akili yenuUkisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.
Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.
Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana wamletee maji, na walipoyafunua yakawa divai iliyo bora Sana.
Sasa inakuwaje leo makanisani wanasema tusinywe kabisa maji mema?[emoji1634][emoji1635][emoji482][emoji481][emoji485]
Lutu alilewa akawapitia watoto wake hadi akazaa naoNa wewe unaamini Hilo andiko kuwa nabii wa Mungu alimwaga radhi?
Ndio ila hakuwa Mlevi.
Na alikuwa anakula chakula ila hakuwa Mlafi
Ndio maana ya hilo Andiko
Iko tofauti kati ya Kula chakula, na kuwa Mlafi.
Na Kunywa Pombe, na kuwa Mlevi.
Kwani Pombe iliumbwa na nani?Hawa jamaa wajanja wajanja Sana.[emoji16][emoji16].
Yaani haiingii akilini kweli nabii wa Mungu.
Au Mungu au mtoto wa Mungu Kama wao wanavyomuita
AKATENGENEZA POMBE
DuhHayo maji yenu mmetengeneza wenyewe mmeweka matakataka ya chemical zinazo haribu akili yenu
Sio ile divai aliyo ibariki Yesu
MWANZO:9/20
Nuhu akaanza kuwa mukulima, akapanda mzabibu: AKANYWA DIVAI AKALEWA;
HAYO NI MAMBO YA WALAWI!
NA SISI WACHAGA TUNA MAMBO YETU!!!
Watch tbc you'll gonna see me..😜Wewe na bangi sasa..
Kwani Pombe iliumbwa na nani?
Nyie Mbinguni si mmetengenezewa Mito ya Pombe kabisa.
Mito kama Nile na Rufiji ya Pombe.
Katengeneza nani hiyo?
Lutu alilewa akawapitia watoto wake hadi akazaa nao
Yesu alishuka duniani kwa lengo moja tu.
Kuwatangazia walimwengu Habari Njema ya Ufalme wa Mbingu.
Alipo maliza alipaa Mbinguni.