Inakataza kunywa na kuingia mahali pa kukutania yaani sehemu ya ibadaHAPO VIPI?View attachment 2066760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakataza kunywa na kuingia mahali pa kukutania yaani sehemu ya ibadaHAPO VIPI?View attachment 2066760
Hata mimi kuna muda najiuliza barua walizoandikiwa mfano waefeso au wakorinto kwa nini tuje tusomewe sisi watanganyika?MWANZO:9/20
Nuhu akaanza kuwa mukulima, akapanda mzabibu: AKANYWA DIVAI AKALEWA;
HAYO NI MAMBO YA WALAWI!
NA SISI WACHAGA TUNA MAMBO YETU!!!
Hata iweje tutakunywa na tutavuta tu..😂Npo nna observe kwanza.. ila nmegundua kuna watu wana chuki sana na dini fulani.. na wanatumia maandiko vibaya kwa ku quote vimistari ovyo ovyo.
Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.
Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.
Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana wamletee maji, na walipoyafunua yakawa divai iliyo bora Sana.
Sasa inakuwaje leo makanisani wanasema tusinywe kabisa maji mema?🥃🥂🍻🍺🍷
Mimi nimesoma Biblia ya Kiswahili, Kihebrania sikijui wala Waebrania hawatumii Biblia, maana Biblia ni kitabu cha Wakristo sio cha WayahudiNipe tafsiri ya divai in relation to origina Hebrew language to Swahili; maana Kwenye process ya tafsiri sometimes maana inapotea!
Yani nashangaa kwanini kanisani kuna ALTAR WINE! na huku tunakatazwa kuitumia😂😂Hata iweje tutakunywa na tutavuta tu..😂
Wameamua kutufanyia fujo tu hao hakuna namna!Yani nashangaa kwanini kanisani kuna ALTAR WINE! na huku tunakatazwa kuitumia😂😂
Mimi nimesoma Biblia ya Kiswahili, Kihebrania sikijui wala Waebrania hawatumii Biblia, maana Biblia ni kitabu cha Wakristo sio cha Wayahudi
Mwenzangu usiyekurupuka, hao ni akina nani walioambiwa hayo?
Inakataza kunywa na kuingia mahali pa kukutania yaani sehemu ya ibada
Kwani ili mtu usivembewe inatakiwa ule chakula cha kiasi gani?
Kulewa inategemea na uwezo wako wa kuimili pombe/kilevi
Divai hailevyi ndugu
Kwa hiyo hata kiingereza kina ufinyu na uhaba wa misamiati?Yesu hakutengeneza pombe!
Kwa hiyo tuendelee?Wameamua kutufanyia fujo tu hao hakuna namna!
Yesu hakutengeneza pombe!
Muulize mwenyewe maandiko si yapo
Au bado unasubiri kusomewa.
Muulize pia na huyo anayewatengenezea Mito ya Pombe naye ni Mlevi pia?
Wao wamekariri mistari ya agano la kale. Wamesahau kuwa agano jipya lilikuja kutimiliza la kale!!Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.
Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.
Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana wamletee maji, na walipoyafunua yakawa divai iliyo bora Sana.
Sasa inakuwaje leo makanisani wanasema tusinywe kabisa maji mema?🥃🥂🍻🍺🍷
Divai ni pombe ya kienyeji ya wayahudi kama ilivyo mbege kwa wachaga au rubisi kwa wahaya au togwa!!Kwani kila divai ina kileo?
Mwambie na mweka mada asiandike pombe abadili aite mvinyo!. Kazi iendelee.Kwa hiyo tuendelee?