Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Safi sana. Hii verse inaonesha wazi Yesu alikuwa akiongelea pombe maana kama ni maji tu hata Yohane Mbatizaji alikuwa akinywa maji. Nobody can possibly live without water.
Heri ya mwaka mpya...

Karibu Bunju hapa tuijadili hii mada huku tukishuhudiwa na glasi za bia baridi
 
Soma aya ya 9 mpaka ya 10.
Sasa sijui Kama yesu alikuwa analijua Hilo kuwa ulevi utasababisha yeye asiuone UFALME WA MUNGU
Kwani ingekuwa kitu haramu Yesu angewatengenezea watu wanywe ili iweje? Kwamba Yeye hakunywa sio issue. Issue ni kwamba kwa kuwa aliitengeneza Pombe na kuwapa watu wanywe, aliihalalisha.
Screenshot_20220103-095824.jpg
 
Kama yesu alikunywa POMBE Ina maana HATOUONA UFALME WA MUNGU..
SOMA AYA YA 9 MPAKA YA 10
Wapi na nani amesema Yesu alikuwa bikira? USITULISHE maneno na usitutoe nje ya mada. Mada ya leo ni ulabu

Mambo ya bikira tutaanzisha uzi wake
Screenshot_20220103-095204.jpg
 
Kama yesu alikunywa POMBE Ina maana HATOUONA UFALME WA MUNGU..
SOMA AYA YA 9 MPAKA YA 10View attachment 2066906
Kwani Yesu ni Mkorinto? Barua ya wakorinto inamhusu mini Yesu.

Afu nani alikudanganya Paulo ndo mwenye mamlaka ya kusema nani na nani ndio wataenda mbinguni? Paulo ni kama Makonda na watu wake wa Dar alipowaambia wasiingie town bila kuoga

Fuata maagizo ya Mungu sio ya binadamu... EBOO

Unanipotezea muda wa kupiga ulabu
 
Sasa wewe unataka neno la moja kwa moja then una reason ya kitoto Sana. Umeona hapo juu methali ilisema mpe Masikini pombe/kileo au hujasoma. Mvinyo/divai vyote vinalwesha alikunywa Nuhu na wala hakuzinguliwa. We unadhani kulikuwa na karami yoyote ilifanyia uyahudini bila divai/mvinyo hata last super ilikuwa na mvinyo.
Umepotoka. Si divai zote zinalewesha. Divai iliyotengenezwa siku hiyo hiyo haileweshi
 
Aya ya 18
Kwahiyo wewe unataka neno kilabuni. Ndo maana nakwambia una reason mambo kitoto Sana. Sababu hata neno la kufanya mapenzi nje ya ya ndoa halipo vile vile. Au kufanya mapenzi kabla ya ndoa hakuna katazo la namna hiyo kwa maneno exactly kama utakavyo wewe. Unapenda tu ubishi kama ulivyoaminishwa na huyo mwalimu Wako.
Screenshot_20220103-110905.jpg
 
Kwani mtu ukila ukavimbiwa unapata hasara gani?
Na ukinywa ukalewa una pata hasara gani?
Kama kuna kushiba automatiki kwanini maandiko yakateze Ulafi?
Au wewe unajua kuliko Mungu?

We chakula utajuaje kama Umetosheka ili Usiwe Mlafi?

Tena kwa taarifa yako wengi watapotea kwa dhambi ya Ulafi wanayojifanya hawaioni.
 
mathayo 11:7-19

katikati humo utakuta hayo maneno

"Kwa maana Yohane alikuja, akafunga na wala hakunywa divai, nao wakasema: ‘Amepagawa na pepo’. Mwana wa Mtu akaja, anakula na kunywa, nao wakasema: ‘Mwangalieni huyu, mlafi na mlevi, rafiki yao watozaushuru na wenye dhambi!’ '
Wewe hapo umeelewa vipi?
Ni akina Nani waliomlaumu yohana kuwa hakunywa Divai?
 
Oooohooo.
Leo Paulo amekuwa sio mtume wa YESU?
Si mnasema kuwa yesu alimtokea Paulo akampa utume?
Leo mnakataa maneno ya Paulo[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Kwani Yesu ni Mkorinto? Barua ya wakorinto inamhusu mini Yesu.

Afu nani alikudanganya Paulo ndo mwenye mamlaka ya kusema nani na nani ndio wataenda mbinguni? Paulo ni kama Makonda na watu wake wa Dar alipowaambia wasiingie town bila kuoga

Fuata maagizo ya Mungu sio ya binadamu... EBOO

Unanipotezea muda wa kupiga ulabu
 
Kwa chakula ukiona umeshiba una acha automatically.
Ila pombe utajuaje kuwa Sasa hapa inatoshaa.?
Na pombe sio Kama maji au soda
Ukiona unashundwa kujitambua ww ni nan jua umelewa
 
Back
Top Bottom