Musundi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,584
- 2,613
Safi sana. Hii verse inaonesha wazi Yesu alikuwa akiongelea pombe maana kama ni maji tu hata Yohane Mbatizaji alikuwa akinywa maji. Nobody can possibly live without water.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heri ya mwaka mpya...Safi sana. Hii verse inaonesha wazi Yesu alikuwa akiongelea pombe maana kama ni maji tu hata Yohane Mbatizaji alikuwa akinywa maji. Nobody can possibly live without water.
Kwani ingekuwa kitu haramu Yesu angewatengenezea watu wanywe ili iweje? Kwamba Yeye hakunywa sio issue. Issue ni kwamba kwa kuwa aliitengeneza Pombe na kuwapa watu wanywe, aliihalalisha.
Wapi na nani amesema Yesu alikuwa bikira? USITULISHE maneno na usitutoe nje ya mada. Mada ya leo ni ulabu
Mambo ya bikira tutaanzisha uzi wake
Kwanini Yesu muujiza wake wa kwanza uwe kubadili maji kuwa divai? Alitaka kutufundisha nini?
Kiasi maana yake ni nini kwa muktadha wa dini/theologyna mkayafanye mambo yote kwa kiasi,
Na kwako pia.Heri ya mwaka mpya...
Karibu Bunju hapa tuijadili hii mada huku tukishuhudiwa na glasi za bia baridi
Kwani Yesu ni Mkorinto? Barua ya wakorinto inamhusu mini Yesu.Kama yesu alikunywa POMBE Ina maana HATOUONA UFALME WA MUNGU..
SOMA AYA YA 9 MPAKA YA 10View attachment 2066906
Basi utakunywa wine. Usikatae wito bhanaNa kwako pia.
Mie sinywi bia lakini ukweli naujua na kuushudia.
Umepotoka. Si divai zote zinalewesha. Divai iliyotengenezwa siku hiyo hiyo haileweshiSasa wewe unataka neno la moja kwa moja then una reason ya kitoto Sana. Umeona hapo juu methali ilisema mpe Masikini pombe/kileo au hujasoma. Mvinyo/divai vyote vinalwesha alikunywa Nuhu na wala hakuzinguliwa. We unadhani kulikuwa na karami yoyote ilifanyia uyahudini bila divai/mvinyo hata last super ilikuwa na mvinyo.
Basi utakunywa wine. Usikatae wito
Kwahiyo wewe unataka neno kilabuni. Ndo maana nakwambia una reason mambo kitoto Sana. Sababu hata neno la kufanya mapenzi nje ya ya ndoa halipo vile vile. Au kufanya mapenzi kabla ya ndoa hakuna katazo la namna hiyo kwa maneno exactly kama utakavyo wewe. Unapenda tu ubishi kama ulivyoaminishwa na huyo mwalimu Wako.
Hebu njoo hapa Visiga nikupe divai iliyotoka kiwandani sasa hivi uone kama hutalewa...Umepotoka. Si divai zote zinalewesha. Divai iliyotengenezwa siku hiyo hiyo haileweshi
Hujui maana ya mlevi??
Kama kuna kushiba automatiki kwanini maandiko yakateze Ulafi?
Au wewe unajua kuliko Mungu?
We chakula utajuaje kama Umetosheka ili Usiwe Mlafi?
Tena kwa taarifa yako wengi watapotea kwa dhambi ya Ulafi wanayojifanya hawaioni.
Wewe hapo umeelewa vipi?mathayo 11:7-19
katikati humo utakuta hayo maneno
"Kwa maana Yohane alikuja, akafunga na wala hakunywa divai, nao wakasema: ‘Amepagawa na pepo’. Mwana wa Mtu akaja, anakula na kunywa, nao wakasema: ‘Mwangalieni huyu, mlafi na mlevi, rafiki yao watozaushuru na wenye dhambi!’ '
Kwani Yesu ni Mkorinto? Barua ya wakorinto inamhusu mini Yesu.
Afu nani alikudanganya Paulo ndo mwenye mamlaka ya kusema nani na nani ndio wataenda mbinguni? Paulo ni kama Makonda na watu wake wa Dar alipowaambia wasiingie town bila kuoga
Fuata maagizo ya Mungu sio ya binadamu... EBOO
Unanipotezea muda wa kupiga ulabu
Ukiona unashundwa kujitambua ww ni nan jua umelewaKwa chakula ukiona umeshiba una acha automatically.
Ila pombe utajuaje kuwa Sasa hapa inatoshaa.?
Na pombe sio Kama maji au soda
Kwani sisi ni Waefeso?Aya ya 18.
POMBE ni pombe tu.
Unywe kidogo au nyingi inabaki kuwa pombe TUUUUView attachment 2066911
Ukiona unashundwa kujitambua ww ni nan jua umelewa