Nzige Mdudu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,048
- 830
Una Uthibitisho wowote kwamba hii Definition yako uliyoigoogle ni Valid Evidence?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una Uthibitisho wowote kwamba hii Definition yako uliyoigoogle ni Valid Evidence?
Una uthibitisho kwamba hii definition uliyoigoogle kwamba ni Valid Truth?
We mtu bana.Una Uthibitisho wowote kwamba hii Definition yako uliyoigoogle ni Valid Evidence?
Unakubali kwamba ili kimiminika chochote kiwe ni pombe ni lazima kiwe na level % of Alcohol?Ndo tupo hapa kujifunza, tutajie
Je kiwanda kikichukua zabibu kikafanya process ya kutengeneza Divai bila kuweka % of Alcohol, Je hiyo Divai itakua ni Pombe?Ubora wa divai uko kwenye kuiva kwake....kuiva ni kupevuka kwa kiwango cha kileo
Wewe ambae uliitoa hiyo Definition ya kugoogle, ndio unithibitishie kwanza kwamba ni Valid Truth.We mtu bana.
Toa ambayo ni valid tuione
Uthibitisho niliokuomba wa Divai aliyoiombea Bwana Yesu kwamba ilikua ni Pombe, mpaka sasa bado haujanipa, nakukumbusha naendelea kuusubiria.Mimi najua divai zote zina kilevi na sijawahi iona divai isiyo na kilevi.
Kwetu Roman Cathoric ndio tunayo itumia kumega mkate na kunywa divai kwa ukumbusho wa mateso ya Bwana Yesu.
Kama wewe umeiona na unathitibisha kuwa ndiyo aliyotengeneza isiyo na kilevi yaani divai juice, basi uwanja ni wako lete huo ushahidi hapa tuusome.
Kwangu mimi ushahidi wa Kibiblia ni huu hapa unaoutaka.
Mwanzo 9:20 Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu;
21 akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.
Je wanalewaga divai juice ?
NdioUnakubali kwamba ili kimiminika chochote kiwe ni pombe ni lazima kiwe na level % of Alcohol?
Mimi siifahamu wala sijawahi kuiona hiyo divai isiyo lewesha.Uthibitisho niliokuomba wa Divai aliyoiombea Bwana Yesu kwamba ilikua ni Pombe, mpaka sasa bado haujanipa, nakukumbusha naendelea kuusubiria.
Nithibitishie kwa Bwana Yesu kwanza. Kabla ya kuhamia ajenda hiyo nyingine.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hii kali.Mimi siifahamu wala sijawahi kuiona hiyo divai isiyo lewesha.
Mimi naifahamu hii hapa.
Mwanzo 9:20 Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu;
21 akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.
Inatosha sasa kuni nukuu nukuu na kunibishia bishia.
Hiyo divai yako siifahamu.
Pombe na ulevi ni vitu viwili tofauti ni kama bastora na ujambazi ...siyo kila mwenye bastora ni jambazi ila wapo majambazi wenye bastora hivyo usichanganye mambo ...nadhani ujui maana ya mlevi...wacha nitumie ujiniasi wangu wa logic kuku patieni maana ya neno ULEVI AU MLEVIDivai mpaka saiv si inatumika kama chakula cha bwana lakin pitia mithal uone na zaburi jinsi zinavyopinga ulevi
Hawa watu wanataka ligi za ubishani tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii kali.
Nasubiri jibu lake, Uniite tafadhali
Namwambia anitajie divai yoyote tunayoijua ambayo haina kilevi hadi sasa hajataja. Halafu anataka tukubaliane na hoja zake nyepesi.Hawa watu wanataka ligi za ubishani tu
Mi sijawahi kusikia kuna divai juice.
We ukamuwekea hadi maana ya divai ya kwenye kamusi kaziba masikio.
Sasa mtu anabishana hata na dictionary utamwambia nini hadi aelewe ?
Hivi ulishawahi kusikia kwenye harusi watu wanafurahia kunywa juice ?
Nimekuachia mtu wako uendelee naye[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani Bwana Yesu anafika kwenye Harusi halafu atengeneze Juice ?
Kwani Bwana Yesu alipo umba Pombe hapo Mwanzo kabla ya Ulimwengu kuwako alitaka tuwe tunawapa bata ili wanywe ?
Dah, kwani mkuu una miaka mingapi?Wewe ambae uliitoa hiyo Definition ya kugoogle, ndio unithibitishie kwanza kwamba ni Valid Truth.
Na hapa pia panasema tunywe kileo kwa kiasi bila kusahau majukumu yetu ya kazi na kuhudumia jamii. Tusikeshe kwenye pombe na kuishia kuwa walevi.Tunywe kistaarabu husimpe demu mvinyo kwa Nia ya kutazama uchi wake
Hab 2:15 SUV
Ole wake yeye ampaye jirani yake kileo, wewe utiaye sumu yako, na kumlevya pia, ili kuutazama uchi wao!
Kila Fact unayonipa unahitaji unithibitishie kwamba ni Valid Truth, au haujui definitions kwenye mitandao mtu yoyote anaweza kujiwekea tu kwa utashi wake?Dah, kwani mkuu una miaka mingapi?
Kama unashindwa kuamini definition niliyokupa na umeshindwa kunipa definition ya ukweli nabaki kujiuliza mengi.
Mi naishia hapa.
Unasema kuwa wewe hufahamu na wala hujawahi kuiona Divai isiyolewesha, Je umewezaje kusema Bwana Yesu aliombea Divai yenye kilevi? Ikiwa hufahamu na hujawahi kuiona Divai aliyoiombea?Mimi siifahamu wala sijawahi kuiona hiyo divai isiyo lewesha.
Mimi naifahamu hii hapa.
Mwanzo 9:20 Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu;
21 akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.
Inatosha sasa kuni nukuu nukuu na kunibishia bishia.
Hiyo divai yako siifahamu.
Safi Mkuu, Unakubali pia ili kimiminika chochote kisiwe Pombe, ni lazima kisiwe na % of Alcohol?Ndio
Weka maelezo yaliyojitosheleza, mimi sio mtoto wa darasa la piliSafi Mkuu, Unakubali pia ili kimiminika chochote kisiwe Pombe, ni lazima kisiwe na % of Alcohol?