Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Mimi najua divai zote zina kilevi na sijawahi iona divai isiyo na kilevi.

Kwetu Roman Cathoric ndio tunayo itumia kumega mkate na kunywa divai kwa ukumbusho wa mateso ya Bwana Yesu.

Kama wewe umeiona na unathitibisha kuwa ndiyo aliyotengeneza isiyo na kilevi yaani divai juice, basi uwanja ni wako lete huo ushahidi hapa tuusome.

Kwangu mimi ushahidi wa Kibiblia ni huu hapa unaoutaka.

Mwanzo 9:20 Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu;
21 akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.

Je wanalewaga divai juice ?
Uthibitisho niliokuomba wa Divai aliyoiombea Bwana Yesu kwamba ilikua ni Pombe, mpaka sasa bado haujanipa, nakukumbusha naendelea kuusubiria.

Nithibitishie kwa Bwana Yesu kwanza. Kabla ya kuhamia ajenda hiyo nyingine.
 
Mimi siifahamu wala sijawahi kuiona hiyo divai isiyo lewesha.
Mimi naifahamu hii hapa.

Mwanzo 9:20 Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu;

21 akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.

Inatosha sasa kuni nukuu nukuu na kunibishia bishia.

Hiyo divai yako siifahamu.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hii kali.
Nasubiri jibu lake, Uniite tafadhali
 
Divai mpaka saiv si inatumika kama chakula cha bwana lakin pitia mithal uone na zaburi jinsi zinavyopinga ulevi
Pombe na ulevi ni vitu viwili tofauti ni kama bastora na ujambazi ...siyo kila mwenye bastora ni jambazi ila wapo majambazi wenye bastora hivyo usichanganye mambo ...nadhani ujui maana ya mlevi...wacha nitumie ujiniasi wangu wa logic kuku patieni maana ya neno ULEVI AU MLEVI
1)ULEVI ni unyaji wa pombe kufikia hatua ya pombe kutawala akili ya mtu.
@ Maana inatakiwa akili itawale pombe siyo pombe itawale akili...hapo ndipo neno mlevi linazaliwa ni mtu ambaye pombe inatawala Akili zake .ila wapo watu wanakunya ila unywaji wao Akili ndiyo inatawala pombe hao siyo walevi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii kali.
Nasubiri jibu lake, Uniite tafadhali
Hawa watu wanataka ligi za ubishani tu
Mi sijawahi kusikia kuna divai juice.
We ukamuwekea hadi maana ya divai ya kwenye kamusi kaziba masikio.
Sasa mtu anabishana hata na dictionary utamwambia nini hadi aelewe ?

Hivi ulishawahi kusikia kwenye harusi watu wanafurahia kunywa juice ?
Nimekuachia mtu wako uendelee naye[emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani Bwana Yesu anafika kwenye Harusi halafu atengeneze Juice ?

Kwani Bwana Yesu alipo umba Pombe hapo Mwanzo kabla ya Ulimwengu kuwako alitaka tuwe tunawapa bata ili wanywe ?
 
Namwambia anitajie divai yoyote tunayoijua ambayo haina kilevi hadi sasa hajataja. Halafu anataka tukubaliane na hoja zake nyepesi.
😅😅😅.
Siendelei nae tena kama ataendelea kubisha.
 
Wewe ambae uliitoa hiyo Definition ya kugoogle, ndio unithibitishie kwanza kwamba ni Valid Truth.
Dah, kwani mkuu una miaka mingapi?
Kama unashindwa kuamini definition niliyokupa na umeshindwa kunipa definition ya ukweli nabaki kujiuliza mengi.
Mi naishia hapa.
 
Tunywe kistaarabu husimpe demu mvinyo kwa Nia ya kutazama uchi wake

Hab 2:15 SUV
Ole wake yeye ampaye jirani yake kileo, wewe utiaye sumu yako, na kumlevya pia, ili kuutazama uchi wao!
 
Tunywe kistaarabu husimpe demu mvinyo kwa Nia ya kutazama uchi wake

Hab 2:15 SUV
Ole wake yeye ampaye jirani yake kileo, wewe utiaye sumu yako, na kumlevya pia, ili kuutazama uchi wao!
Na hapa pia panasema tunywe kileo kwa kiasi bila kusahau majukumu yetu ya kazi na kuhudumia jamii. Tusikeshe kwenye pombe na kuishia kuwa walevi.

Isaya 5:11 Ole wao waamkao asubuhi na mapema, wapate kufuata kileo; wakishinda sana hata usiku wa manane mpaka mvinyo imewaka kama moto ndani yao!

12 Na kinubi, na zeze, na matari, na filimbi, na mvinyo, zote ziko katika karamu zao; lakini hawaiangalii kazi ya Bwana wala kuyafikiri matendo ya mikono yake.

13 Kwa sababu hiyo watu wangu wamechukuliwa mateka, kwa kukosa kuwa na maarifa; na watu wao wenye cheo wana njaa, na wengi wao waona kiu sana.
 
Dah, kwani mkuu una miaka mingapi?
Kama unashindwa kuamini definition niliyokupa na umeshindwa kunipa definition ya ukweli nabaki kujiuliza mengi.
Mi naishia hapa.
Kila Fact unayonipa unahitaji unithibitishie kwamba ni Valid Truth, au haujui definitions kwenye mitandao mtu yoyote anaweza kujiwekea tu kwa utashi wake?

Ndo maana baada ya kuitoa nikakuhoji, una uthibitisho kwamba ni Valid Truth?

Kwanini nimekuuliza hivyo? Ili uihalalishe fact yako. So unaweza ukadhibitisha hilo?
 
Mimi siifahamu wala sijawahi kuiona hiyo divai isiyo lewesha.
Mimi naifahamu hii hapa.

Mwanzo 9:20 Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu;

21 akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.

Inatosha sasa kuni nukuu nukuu na kunibishia bishia.

Hiyo divai yako siifahamu.
Unasema kuwa wewe hufahamu na wala hujawahi kuiona Divai isiyolewesha, Je umewezaje kusema Bwana Yesu aliombea Divai yenye kilevi? Ikiwa hufahamu na hujawahi kuiona Divai aliyoiombea?
 
Safi Mkuu, Unakubali pia ili kimiminika chochote kisiwe Pombe, ni lazima kisiwe na % of Alcohol?
Weka maelezo yaliyojitosheleza, mimi sio mtoto wa darasa la pili
 
Back
Top Bottom