Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

Namwambia anitajie divai yoyote tunayoijua ambayo haina kilevi hadi sasa hajataja. Halafu anataka tukubaliane na hoja zake nyepesi.
😅😅😅.
Siendelei nae tena kama ataendelea kubisha.
Non-Alcoholic Sparkling Rosé

Hiyo nimekupa Official website link ya hiyo company ambayo wanatengeneza hiyo Surely Rose Non Alcohol Wine.

Je hiyo wine utaiita ni Pombe?
 
Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.

Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.

Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana wamletee maji, na walipoyafunua yakawa divai iliyo bora Sana.

Sasa inakuwaje leo makanisani wanasema tusinywe kabisa maji mema?🥃🥂🍻🍺🍷
Mkuu kwani ukiitaka people si unaenda peke yako sio na kanisa ukiona gambe linafaa wewe kunywa tuu...
 
Za

Za Kunywa kwa uficho hazinogi
Kanisa linaweza kuruhusu harafu kumbe bado ni ishu ya jehanamu...mimi nadhani madhara ya gambe ndio wameangalia zaidi wahuni wakishika mshahara mpaka uishe wengine ndio wanarudi nyumbani achilia mbali wale wanakunywa kwa Bill mpaka apate mshahara wakati mtaani hawezi kuweka Bill ya maziwa kwa familia...hiyo ngoma haina sare nyepesi ni ngoma ngumu..
 
Gambe noma sana. Ukifikiria sana, unaona dhahiri umuhimu wa kumkataa shetani na kazi zake zote na mambo yake yote
 
Wale wanaoikashifu pombe Ni wapumbavu tu wasioelewa kilichoandikwa Kwenye Biblia kuhusu pombe.Someni kifungu kifuatacho;

1 Timothy 5:23- Msinywe maji pekee Yake bali kunyweni na mvinyo( pombe) kiasi ili iweze kusaidia katika mmeng'enyo( digestion) wa chakula miilini mwenu pamoja na kuwaepusha na magonjwa mbali mbali.

N/ B-Kunywa pombe sio mbaya ila kunywa pombe kupitiliza ( ulevi) Ni dhambi.Kunywa kwa kiasi.
 
Non-Alcoholic Sparkling Rosé

Hiyo nimekupa Official website link ya hiyo company ambayo wanatengeneza hiyo Surely Rose Non Alcohol Wine.

Je hiyo wine utaiita ni Pombe?
Hiyo ndo ambayo Noah alikunywa ikamfanya afanye mambo ya ajabu?
Na yule nani sijui alileleweshwa na watoto wake akalewa akawatafuna. Ndo hiyo?
Basi maajabu
 
Vipi Mkuu kwa sasa umeshajua kwamba zipo pia Divai ambazo ni Non Alcohol?
 
Wale wanaoikashifu pombe Ni wapumbavu tu wasioelewa kilichoandikwa Kwenye Biblia kuhusu pombe.Someni kifungu kifuatacho;

1 Timothy 5:23- Msinywe maji pekee Yake bali kunyweni na mvinyo( pombe) kiasi ili iweze kusaidia katika mmeng'enyo( digestion) wa chakula miilini mwenu pamoja na kuwaepusha na magonjwa mbali mbali.

N/ B-Kunywa pombe sio mbaya ila kunywa pombe kupitiliza ( ulevi) Ni dhambi.Kunywa kwa kiasi.
Mkuu, unajua maana ya Mvinyo?
 
Napiga pombe, napiga bangi, napiga cocain, na mke wangu wa ndoa nilifukuza, nikaoa mchepuko, nikamdinya mtoto wa mchepuko, nikamtosa mchepuko, nikaoa mtanga, na bado natia timu sabatoni nasoma na maandiko. Na mbinguni nitatia timu kama wema wengine.
 
😂😂😂yani unafosi kingi mkuu!
 
Mafanikio yangu mwaka huu:-
Nimeacha kupiga puli.
Nimeacha pombe
Nimeacha kula tigo za dsda zenu

Hata kama sijaingiza hela ya kutosha ninamshukuru Mungu kwa hayo
 
Napiga pombe, napiga bangi, napiga cocain, na mke wangu wa ndoa nilifukuza, nikaoa mchepuko, nikamdinya mtoto wa mchepuko, nikamtosa mchepuko, nikaoa mtanga, na bado natia timu sabatoni nasoma na maandiko. Na mbinguni nitatia timu kama wema wengine.
1671500320154.png
 
Vipi Mkuu kwa sasa umeshajua kwamba zipo pia Divai ambazo ni Non Alcohol?
Kinywaji ambacho hakina alcohol hakiwezi kulewesha. Lakini kuna events kwenye Bible zinaonyesha kuna ambao walikunywa divai/kilevi wakalewa na kupelekea kufanya mambo ndivyo sivyo.
Walikunywa alkasusu, togwa au kinywaji gani kiongozi?
 
Napiga pombe, napiga bangi, napiga cocain, na mke wangu wa ndoa nilifukuza, nikaoa mchepuko, nikamdinya mtoto wa mchepuko, nikamtosa mchepuko, nikaoa mtanga, na bado natia timu sabatoni nasoma na maandiko. Na mbinguni nitatia timu kama wema wengine.
🤣🤣🤣🤣
 
Kinywaji ambacho hakina alcohol hakiwezi kulewesha. Lakini kuna events kwenye Bible zinaonyesha kuna ambao walikunywa divai/kilevi wakalewa na kupelekea kufanya mambo ndivyo sivyo.
Walikunywa alkasusu, togwa au kinywaji gani kiongozi?
Umesema vizuri kabisa Mkuu. Kwamba "Kinywaji ambacho hakina alcohol hakiwezi kulewesha"

Kwa Muktadha huo, inaonesha kwamba unakubali kuwa kuna vinywaji ni Non Alcohol na Alcohol, ikiwemo Divai, zipo Alcoholic na Non alcoholic.

Hivyo,
Ili mtu alewe ni lazima anywe kinywaji ambacho kina Alcohol. Hizo events unazosema watu walikunywa Divai wakalewa. Bila shaka hao watu walikunywa Divai zenye Alcohol, ndiyo maana Wakalewa.

Tukirudi kwenye Mada,
Mpaka sasa haujaweza kunithibitishia kwamba Bwana Yesu aliombea Divai yenye Alcohol (Pombe). Kama huo uthibitisho unao, naomba unipe Mkuu. Naendelea kusubiri.
 
Back
Top Bottom