Nzige Mdudu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,048
- 830
Hahaha Mkuu, ngoja nibadilishe niiweke hivi:-Weka maelezo yaliyojitosheleza, mimi sio mtoto wa darasa la pili
Je Non Alcohol Wine (Divai isiyo na Kilevi), ni Pombe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha Mkuu, ngoja nibadilishe niiweke hivi:-Weka maelezo yaliyojitosheleza, mimi sio mtoto wa darasa la pili
Non-Alcoholic Sparkling RoséNamwambia anitajie divai yoyote tunayoijua ambayo haina kilevi hadi sasa hajataja. Halafu anataka tukubaliane na hoja zake nyepesi.
😅😅😅.
Siendelei nae tena kama ataendelea kubisha.
Mkuu kwani ukiitaka people si unaenda peke yako sio na kanisa ukiona gambe linafaa wewe kunywa tuu...Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.
Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.
Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana wamletee maji, na walipoyafunua yakawa divai iliyo bora Sana.
Sasa inakuwaje leo makanisani wanasema tusinywe kabisa maji mema?🥃🥂🍻🍺🍷
Za Kunywa kwa uficho hazinogiMkuu kwani ukiitaka people si unaenda peke yako sio na kanisa ukiona gambe linafaa wewe kunywa tuu...
Kanisa linaweza kuruhusu harafu kumbe bado ni ishu ya jehanamu...mimi nadhani madhara ya gambe ndio wameangalia zaidi wahuni wakishika mshahara mpaka uishe wengine ndio wanarudi nyumbani achilia mbali wale wanakunywa kwa Bill mpaka apate mshahara wakati mtaani hawezi kuweka Bill ya maziwa kwa familia...hiyo ngoma haina sare nyepesi ni ngoma ngumu..Za
Za Kunywa kwa uficho hazinogi
Gambe noma sana. Ukifikiria sana, unaona dhahiri umuhimu wa kumkataa shetani na kazi zake zote na mambo yake yoteKanisa linaweza kuruhusu harafu kumbe bado ni ishu ya jehanamu...mimi nadhani madhara ya gambe ndio wameangalia zaidi wahuni wakishika mshahara mpaka uishe wengine ndio wanarudi nyumbani achilia mbali wale wanakunywa kwa Bill mpaka apate mshahara wakati mtaani hawezi kuweka Bill ya maziwa kwa familia...hiyo ngoma haina sare nyepesi ni ngoma ngumu..
Hiyo ndo ambayo Noah alikunywa ikamfanya afanye mambo ya ajabu?Non-Alcoholic Sparkling Rosé
Hiyo nimekupa Official website link ya hiyo company ambayo wanatengeneza hiyo Surely Rose Non Alcohol Wine.
Je hiyo wine utaiita ni Pombe?
Vipi Mkuu kwa sasa umeshajua kwamba zipo pia Divai ambazo ni Non Alcohol?Hiyo ndo ambayo Noah alikunywa ikamfanya afanye mambo ya ajabu?
Na yule nani sijui alileleweshwa na watoto wake akalewa akawatafuna. Ndo hiyo?
Basi maajabu
Mkuu, unajua maana ya Mvinyo?Wale wanaoikashifu pombe Ni wapumbavu tu wasioelewa kilichoandikwa Kwenye Biblia kuhusu pombe.Someni kifungu kifuatacho;
1 Timothy 5:23- Msinywe maji pekee Yake bali kunyweni na mvinyo( pombe) kiasi ili iweze kusaidia katika mmeng'enyo( digestion) wa chakula miilini mwenu pamoja na kuwaepusha na magonjwa mbali mbali.
N/ B-Kunywa pombe sio mbaya ila kunywa pombe kupitiliza ( ulevi) Ni dhambi.Kunywa kwa kiasi.
We nielezee labda mi ndo sielewi vizuri mkuuMkuu, unajua maana ya Mvinyo?
Nimeona kwenye andiko uliloliweka limetamka Mvinyo, wewe ukawekea (Pombe). Ndo maana nimekuuliza Unafahamu maana ya Mvinyo?We nielezee labda mi ndo sielewi vizuri mkuu
😂😂😂yani unafosi kingi mkuu!Napiga pombe, napiga bangi, napiga cocain, na mke wangu wa ndoa nilifukuza, nikaoa mchepuko, nikamdinya mtoto wa mchepuko, nikamtosa mchepuko, nikaoa mtanga, na bado natia timu sabatoni nasoma na maandiko. Na mbinguni nitatia timu kama wema wengine.
Napiga pombe, napiga bangi, napiga cocain, na mke wangu wa ndoa nilifukuza, nikaoa mchepuko, nikamdinya mtoto wa mchepuko, nikamtosa mchepuko, nikaoa mtanga, na bado natia timu sabatoni nasoma na maandiko. Na mbinguni nitatia timu kama wema wengine.
Kinywaji ambacho hakina alcohol hakiwezi kulewesha. Lakini kuna events kwenye Bible zinaonyesha kuna ambao walikunywa divai/kilevi wakalewa na kupelekea kufanya mambo ndivyo sivyo.Vipi Mkuu kwa sasa umeshajua kwamba zipo pia Divai ambazo ni Non Alcohol?
🤣🤣🤣🤣Napiga pombe, napiga bangi, napiga cocain, na mke wangu wa ndoa nilifukuza, nikaoa mchepuko, nikamdinya mtoto wa mchepuko, nikamtosa mchepuko, nikaoa mtanga, na bado natia timu sabatoni nasoma na maandiko. Na mbinguni nitatia timu kama wema wengine.
Kwenye harusi ya wayahudi utawapa watu juice??? Think twice!MwanaWaMungu hawezi tengeneza pombe
Umesema vizuri kabisa Mkuu. Kwamba "Kinywaji ambacho hakina alcohol hakiwezi kulewesha"Kinywaji ambacho hakina alcohol hakiwezi kulewesha. Lakini kuna events kwenye Bible zinaonyesha kuna ambao walikunywa divai/kilevi wakalewa na kupelekea kufanya mambo ndivyo sivyo.
Walikunywa alkasusu, togwa au kinywaji gani kiongozi?