Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi hapa nchini vyeo vyooote vimepoteza hadhi na heshima isipokuwa cheo cha Rais tu. Viongozi woooooote hawana majibu ya kuaminika ya maswali ya wananchi isipokuwa Rais. Viongozi woote wanalazimika kumtaja Rais hata kama hawapendi kufanya hivyo. Rais akifika wilayani ana majibu ya maswali yote ya wananchi. Na sababu iko wazi tu, wanaoteuliwa hawana sifa wala hadhi ya kushika nafasi hizo.Hii ndio point ya msingi sana, kiutendaji na kiutawala itarahisisha sana. Inakera Rais wa nchi mpaka aende Wilayani Masasi ndio aambiwe changamoto za hospital,maji, umeme nk, wakati pale masasi kuna viongozi chungu nzima na rasilimali zote muhimu, wanachopaswa na full authority ya kujitawala.
Uwajibikaji:
Kwa sasa mkurugenzi wa wilaya au mkoa akizingua labda ametumia rasilimali vibaya, ufisadi nk... sio mkuu wa wilaya/mkoa, naibu waziri Tamisemi, waziri Tamisemi, naibu waziri mkuu, waziri mkuu, makamu wa Rais anayeweza kumtoa, wote wanasubiri mtukufu Rais aamue.. nchi hii ina wakurugenzi wangapi? Wakuu wa wilaya wanagapi? Rais atawezaje kuwamanage wote hawa?
Kwanini tusitengeneze serikali za majimbo? Ambazo zitajitawala zenyewe? Zitumie rasimali zilizopo kila mmoj kujiletea maendeleo..
Kama kero za wazanzibar kuhusu muungano zikigoma kwisha kati ya sasa na 2030 hazitakuja kwisha milele. Embe kwenye mpilipili.Sikujua Zanzibar ina wimbo wao wa Taifa Leo ndio nimejua wakati Timu ya Taifa ya Tanganyika inacheza na Timu toka Zanzibar. Muungano wa kipuuzi sana huu.
Watanganyika zamu yetu sasa kulalamika kuhusu huu Muungano, kelele za upande wa pili hazisikiki sana kipindi hiki.Nikiwa barabarani naendesha gari, Siti yangu ya mbele alikaa mjukuu wangu wa miaka 11. Mbele yetu kulikuwa na gari Ina namba za Zanzibar kwenye number plate yenye bendera ya Zanzibar. Mjukuu akaniuliza Ile gari mbona Ina namba za tofauti na hizi zetu, ni gari kutoka nchi gani?.
Nikamwambia ni gari kutoka Zanzibar. Akauliza kwani Zanzibar sio Tanzania? Nikamwambia Zanzibar ni Tanzania. Akaendelea kusema kwani T kwenye namba za magari inamaanisha Tanzania au Tanganyika? Nikamjibu inamaanisha Tanzania. Hakuuliza tena, bali nikamuona kama vile hakuridhika na majibu yangu anaona ninamchanganya TU.
Kuna watu ndani ya muungano waliondoa super league ikaonekana ni sawa, Kuna watu walitaka bendara Yao na wimbo wao wa taifa wakaonekana wako sawa TU, Kuna watu wakataka zibaki serikali mbili ya tanzania na ya Zanzibar ikaonekana ni sawa TU. Kuna watu wanafaidi sana ndani ya muungano lakini hawataki kuweka mambo yanavyotakiwa yawe kwa sababu zao TU.
Hiyo ndiyo ingekaa vizuri, lakini kama ilishindikana basi hata tungekuwa na Serikali tatu badala ya mbili kama ilivyo sasa.Nyerere alikosea sana ingepaswa iwe nchi moja
Muungano tunaufosi sisi tu, kwanza wenzetu huu Muungano wala hawautaki..
Kuanzia madeni, mgawanyo wa fedha na kadhalika, visiwani wanakuwa kama kupe.
Ila cha kushangaza sisi ng'ombe ndio tunakumbatia kupe.
Muungano umefika mbali na umefanya mengi. ulipofikia sasa sio kama koti unaloweza kulivua kama likikubana au kukiwa na joto kali. Muungano huu utaimarika sana siku zijazo baada ya wababaishaji kama akina Duni, Hamadi, Jusa na wengine wa hivi watakapostaafu maisha.Sikujua Zanzibar ina wimbo wao wa Taifa Leo ndio nimejua wakati Timu ya Taifa ya Tanganyika inacheza na Timu toka Zanzibar. Muungano wa kipuuzi sana huu.
Sasa nje ya Muungano kuna wapemba na kuna waunguja, pia kuwa wa Zanzibari na kuwa wazazibaraMuungano tunaufosi sisi tu, kwanza wenzetu huu Muungano wala hawautaki..
Kuanzia madeni, mgawanyo wa fedha na kadhalika, visiwani wanakuwa kama kupe.
Ila cha kushangaza sisi ng'ombe ndio tunakumbatia kupe.
Mm binafsi ni wa bara. Nilishaenda Zenji kwa ajili ya boot camp program. Tulikuwa watu wa bara na wengine wa kisiwani. Nilichokigundua ni kuwa aslimia kubwa wana ubinafsi, wanajiona wana akili sana, then wao ni wa bora kuliko sisi. Kingine wanaamini maovu yote yanayofanyika kisiwani mfano biashara za chini za madawa ya kulevya, umalaya, ushoga n.k ni watu wa bara kuyaleta kisiwani lakini kiuhalisia ni wao wenyewe ndio wamekubuu. Rafiki zangu wawili ambao ni wa kigeni walitembelea kisiwani hapo kwa mapumziko kila mmoja kwa wakati wake. Walichoniambia kuhusu waliyoyaona kuhusiana na kisiwani hapo ukiachilia mbali raha zake kiutalii ni hayo niliyoyasema hapo. Wanaonekana sana kwamba ni wakarimu (hospitality at its highest level) but they do this for foreigners hata kama ni black as long as you are not a Tz mainland folk.Huu Muungano ni wa kijinga mpaka basi. Yaani hauna tofauti na zile mbio za mwenge za kila mwaka! Kiufupi hauna faida yoyote ile kwa nchi ya Tanganyika.
I wish ungevunjika hata kesho ili kila upande ujitegemee kwa 100%. Huwezi kuungana na watu wanyonyaji, wabinafsi, kupe na wa watu wa kunung'unika na kudeka muda wote kama Wazanzibari.
Na kwamba huwezi kuta mtu wa bara anafanya kazi ZRB ila wa visiwani wana nafasi zao ktk ajira za TRA, yani 25% ya kila vacancies ni za watu wa visiwani.Lakini hamshangai kuwa kuna TRA na ZRA.!!!
Mm binafsi ni wa bara. Nilishaenda Zenji kwa ajili ya boot camp program. Tulikuwa watu wa bara na wengine wa kisiwani. Nilichokigundua ni kuwa aslimia kubwa wana ubinafsi, wanajiona wana akili sana, then wao ni wa bora kuliko sisi. Kingine wanaamini maovu yote yanayofanyika kisiwani mfano biashara za chini za madawa ya kulevya, umalaya, ushoga n.k ni watu wa bara kuyaleta kisiwani lakini kiuhalisia ni wao wenyewe ndio wamekubuu. Rafiki zangu wawili ambao ni wa kigeni walitembelea kisiwani hapo kwa mapumziko kila mmoja kwa wakati wake. Walichoniambia kuhusu waliyoyaona kuhusiana na kisiwani hapo ukiachilia mbali raha zake kiutalii ni hayo niliyoyasema hapo. Wanaonekana sana kwamba ni wakarimu (hospitality at its highest level) but they do this for foreigners hata kama ni black as long as you are not a Tz mainland folk.
Huo ni uhalisia kuwa Wazanzibar walistaarabika tangu zamani kuliko Tanganyika. Wakati baba wa Taifa anachunga ng'ombe Mzee Karume tayari alikuwa baharia mwenye exposure kubwa ya mambo ya dunia. Ustaarabu wa kujua kusoma na kuandika, kutumia maji ya bomba, umeme na magari, baiskeli, pikipiki, Radio, Television na nyumba bora waliaza navyo mapema sana tangu enzi za usulutani. Ndio maana sio ajabu kuona Zanzibar kuna viwanja na nafasi za wazi nyingi za michezo, Mzee Karume alisaidia sana timu za Yanga na Simba. Wakati Nyerere akijitwisha gunia zito la kukomboa Afrika Karume alikuwa akihangaikia maendeleo na ustawi wa wazanzibar.Mm binafsi ni wa bara. Nilishaenda Zenji kwa ajili ya boot camp program. Tulikuwa watu wa bara na wengine wa kisiwani. Nilichokigundua ni kuwa aslimia kubwa wana ubinafsi, wanajiona wana akili sana, then wao ni wa bora kuliko sisi. Kingine wanaamini maovu yote yanayofanyika kisiwani mfano biashara za chini za madawa ya kulevya, umalaya, ushoga n.k ni watu wa bara kuyaleta kisiwani lakini kiuhalisia ni wao wenyewe ndio wamekubuu. Rafiki zangu wawili ambao ni wa kigeni walitembelea kisiwani hapo kwa mapumziko kila mmoja kwa wakati wake. Walichoniambia kuhusu waliyoyaona kuhusiana na kisiwani hapo ukiachilia mbali raha zake kiutalii ni hayo niliyoyasema hapo. Wanaonekana sana kwamba ni wakarimu (hospitality at its highest level) but they do this for foreigners hata kama ni black as long as you are not a Tz mainland folk.
Muungano huu ni mali ya Nyerere, ndiyo maana wazanzibar wanaona kama kero tu kwao. Zanzibar ni muhimu kwa Tanganyika KIULINZI baaaasi na sio kwa mengine. Huwezi kuwaacha wazanzibar waliopinduana na kuuana wenyenyewe wajitawale. Huwezi kuwaacha wenyewe wazanzibar wasiotaka kufanya kazi ngumu, huwezi kuwaacha wenyewe wazanzibar wanaotaka starehe zaidi kuliko kitu kingine. Nilikuwa jeshini kambi moja na wazanzibar; ni laini mmmnoooo!!Hakuna mtanganyika anayetaka huu muungano zaidi ya viongozi wa juu wa ccm
Mikwara ya nyerere hiyo, sio lazima tuwe wamoja, tungetaka hivyo basi bara zima au dunia zima tungekuwa taifa moja.Sasa nje ya Muungano kuna wapemba na kuna waunguja, pia kuwa wa Zanzibari na kuwa wazazibara
Kama kuna vitu nyerere alibugi basi mojawapo ni huu muungano.Muungano tunaufosi sisi tu, kwanza wenzetu huu Muungano wala hawautaki..
Kuanzia madeni, mgawanyo wa fedha na kadhalika, visiwani wanakuwa kama kupe.
Ila cha kushangaza sisi ng'ombe ndio tunakumbatia kupe.
Tatizo lipo Kwa hao wanaofaidika Kwa sasaMikwara ya nyerere hiyo, sio lazima tuwe wamoja, tungetaka hivyo basi bara zima au dunia zima tungekuwa taifa moja.
Acha kila mtu ashike chake, nao wakiparaganyika waparaganyike tu, ya nini kushikilia makali unaumia wewe tu, sisi kama tanganyika tuma faida gani haswa na huu muungano mpaka tuung'ang'anie!? Je tuna faida kulilo hasara!?
ya nini yote hayo ?????Hiyo ndiyo ingekaa vizuri, lakini kama ilishindikana basi hata tungekuwa na Serikali tatu badala ya mbili kama ilivyo sasa.