Muungano bado una shida nyingi tusidanganyane

Sikujua Zanzibar ina wimbo wao wa Taifa Leo ndio nimejua wakati Timu ya Taifa ya Tanganyika inacheza na Timu toka Zanzibar. Muungano wa kipuuzi sana huu.
 
Sasa hivi hapa nchini vyeo vyooote vimepoteza hadhi na heshima isipokuwa cheo cha Rais tu. Viongozi woooooote hawana majibu ya kuaminika ya maswali ya wananchi isipokuwa Rais. Viongozi woote wanalazimika kumtaja Rais hata kama hawapendi kufanya hivyo. Rais akifika wilayani ana majibu ya maswali yote ya wananchi. Na sababu iko wazi tu, wanaoteuliwa hawana sifa wala hadhi ya kushika nafasi hizo.
 
Sikujua Zanzibar ina wimbo wao wa Taifa Leo ndio nimejua wakati Timu ya Taifa ya Tanganyika inacheza na Timu toka Zanzibar. Muungano wa kipuuzi sana huu.
Kama kero za wazanzibar kuhusu muungano zikigoma kwisha kati ya sasa na 2030 hazitakuja kwisha milele. Embe kwenye mpilipili.
 
Watanganyika zamu yetu sasa kulalamika kuhusu huu Muungano, kelele za upande wa pili hazisikiki sana kipindi hiki.
 
Hakika hata mimi Muungano sijawahi kuuelewa.. kuna sehemu hapajawahi kueleweka..
 
Muungano tunaufosi sisi tu, kwanza wenzetu huu Muungano wala hawautaki..
Kuanzia madeni, mgawanyo wa fedha na kadhalika, visiwani wanakuwa kama kupe.

Ila cha kushangaza sisi ng'ombe ndio tunakumbatia kupe.

Hakuna mtanganyika anayetaka huu muungano zaidi ya viongozi wa juu wa ccm
 
Sikujua Zanzibar ina wimbo wao wa Taifa Leo ndio nimejua wakati Timu ya Taifa ya Tanganyika inacheza na Timu toka Zanzibar. Muungano wa kipuuzi sana huu.
Muungano umefika mbali na umefanya mengi. ulipofikia sasa sio kama koti unaloweza kulivua kama likikubana au kukiwa na joto kali. Muungano huu utaimarika sana siku zijazo baada ya wababaishaji kama akina Duni, Hamadi, Jusa na wengine wa hivi watakapostaafu maisha.
 
Muungano tunaufosi sisi tu, kwanza wenzetu huu Muungano wala hawautaki..
Kuanzia madeni, mgawanyo wa fedha na kadhalika, visiwani wanakuwa kama kupe.

Ila cha kushangaza sisi ng'ombe ndio tunakumbatia kupe.
Sasa nje ya Muungano kuna wapemba na kuna waunguja, pia kuwa wa Zanzibari na kuwa wazazibara
 
Mm binafsi ni wa bara. Nilishaenda Zenji kwa ajili ya boot camp program. Tulikuwa watu wa bara na wengine wa kisiwani. Nilichokigundua ni kuwa aslimia kubwa wana ubinafsi, wanajiona wana akili sana, then wao ni wa bora kuliko sisi. Kingine wanaamini maovu yote yanayofanyika kisiwani mfano biashara za chini za madawa ya kulevya, umalaya, ushoga n.k ni watu wa bara kuyaleta kisiwani lakini kiuhalisia ni wao wenyewe ndio wamekubuu. Rafiki zangu wawili ambao ni wa kigeni walitembelea kisiwani hapo kwa mapumziko kila mmoja kwa wakati wake. Walichoniambia kuhusu waliyoyaona kuhusiana na kisiwani hapo ukiachilia mbali raha zake kiutalii ni hayo niliyoyasema hapo. Wanaonekana sana kwamba ni wakarimu (hospitality at its highest level) but they do this for foreigners hata kama ni black as long as you are not a Tz mainland folk.
 

Kuna mahali tulikutana nje ya nchi!! Nilikuwa M'bara pekee na Wazenji wawili!!

Waligoma kabisa kujulikana ni Watanzania bali wao ni Wazanzibar hata introductions zao kwenye public!! Nikapata mic siku hiyo nikakata mzizi wa fitna kwa kutoa ufafanuzi kuwa Zanzibar si nchi ni mkoa tu kama mikoa mingine ndani ya Tanzania!!

Baada ya hapo sikuwahi kupata even salam zao umbwa wale kwa takriban miezi saba tuliyokaa pamoja, hata ningepoteza fahamu bahati mbaya wangenimalizia kabisa!!
 
Huo ni uhalisia kuwa Wazanzibar walistaarabika tangu zamani kuliko Tanganyika. Wakati baba wa Taifa anachunga ng'ombe Mzee Karume tayari alikuwa baharia mwenye exposure kubwa ya mambo ya dunia. Ustaarabu wa kujua kusoma na kuandika, kutumia maji ya bomba, umeme na magari, baiskeli, pikipiki, Radio, Television na nyumba bora waliaza navyo mapema sana tangu enzi za usulutani. Ndio maana sio ajabu kuona Zanzibar kuna viwanja na nafasi za wazi nyingi za michezo, Mzee Karume alisaidia sana timu za Yanga na Simba. Wakati Nyerere akijitwisha gunia zito la kukomboa Afrika Karume alikuwa akihangaikia maendeleo na ustawi wa wazanzibar.
 
Hakuna mtanganyika anayetaka huu muungano zaidi ya viongozi wa juu wa ccm
Muungano huu ni mali ya Nyerere, ndiyo maana wazanzibar wanaona kama kero tu kwao. Zanzibar ni muhimu kwa Tanganyika KIULINZI baaaasi na sio kwa mengine. Huwezi kuwaacha wazanzibar waliopinduana na kuuana wenyenyewe wajitawale. Huwezi kuwaacha wenyewe wazanzibar wasiotaka kufanya kazi ngumu, huwezi kuwaacha wenyewe wazanzibar wanaotaka starehe zaidi kuliko kitu kingine. Nilikuwa jeshini kambi moja na wazanzibar; ni laini mmmnoooo!!
 
Sasa nje ya Muungano kuna wapemba na kuna waunguja, pia kuwa wa Zanzibari na kuwa wazazibara
Mikwara ya nyerere hiyo, sio lazima tuwe wamoja, tungetaka hivyo basi bara zima au dunia zima tungekuwa taifa moja.
Acha kila mtu ashike chake, nao wakiparaganyika waparaganyike tu, ya nini kushikilia makali unaumia wewe tu, sisi kama tanganyika tuma faida gani haswa na huu muungano mpaka tuung'ang'anie!? Je tuna faida kulilo hasara!?
 
Muungano tunaufosi sisi tu, kwanza wenzetu huu Muungano wala hawautaki..
Kuanzia madeni, mgawanyo wa fedha na kadhalika, visiwani wanakuwa kama kupe.

Ila cha kushangaza sisi ng'ombe ndio tunakumbatia kupe.
Kama kuna vitu nyerere alibugi basi mojawapo ni huu muungano.
Ajira za Tanzania ni za wote bara na visiwani lakini za visiwani ni ya wazanzibar peke yao, ardhi ya Zanzibar huruhusiwi mtu wa bara kuimiliki lakini wazanzibar wanamiliki ardhi ya Tanganyika.
Halafu sisi watanganyika ndiyo tunaulazimisha sijui tunaumwa nini,
 
Tatizo lipo Kwa hao wanaofaidika Kwa sasa
 
Hiyo ndiyo ingekaa vizuri, lakini kama ilishindikana basi hata tungekuwa na Serikali tatu badala ya mbili kama ilivyo sasa.
ya nini yote hayo ?????

kwa nini tusiachane nao jumla ???

nchi moja, nchi mbili, serikali moja, serikali mbili, tatu... za nini na nini cha mno ???????


Zanzibar wana kitu gani cha mno tunachokihitaji cha kutupa stress hii ya Muungano ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…