Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Daima huwa napata shaka sana juu ya kiburi cha zanzibar juu ya muungano na inavyo onekana sisi ndio tunalazimisha, wameanzisha wimbo wa taifa tumekaa kimya, wameanzisha bendera ya taifa lao tumekaa kimya, wamefanya marekebisho ya kayiba yao na kuitambua zanzibar kama taifa tumekaa kimya na sasa wameenda mbali kwa kuanzisha bodi yao ya mikopo na bado tumekaa kimya ina maana wao ndio werevu pekee?



BARAZA la Wawakilishi limepitisha Muswada wa Sheria ya kuanzisha Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Zanzibar na baadhi ya wawakilishi wamependekeza Bodi hiyo ipewe fedha na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ya Tanzania (HELSB).

Uamuzi huo wa Zanzibar, utakuwa umeondoa suala la elimu ya juu kutoka kuwa la Muungano na kuwa suala la Zanzibar na linaweza kuzua changamoto ya Muungano kuhusu fomula ya kugawana fedha za HELSB, kwa kuwa mpaka sasa fomula ya kugawana fedha za misaada inaonekana kuwa changamoto inayoendelea.

Angalizo: Sidhani kama muungano unafaa kuendelea kuwepo tena kama waloungana hawauheshimu!!
 
Niliisha sema huko nyuma humu Janvini. Wananchi wa tanzania bara wamekuwa kama wamerdhika na Muungano. Hwana hoja. Ulisikia wapi Bajeti kwa ajili ya uchumi wa Tanzania bara (Tanganyika) ukijadiliwa na Bunge kupitishwa? Muungano uliopo iliaanzishwa na watu walikuwa na uchu wa kutawala pakubwa. Ili ionekane anatoa kafara akaamua kuifuta TANGANYIKA. Je Wana JF kuna Document zozote kuwa kuna kura zilipigwa na WATANGANYIKA ili kuifuta Kama huo sio UHAINI ni nini? Nashangaa sana wanaodai ni Wazanzibar tu lakini WATANGANYIKA kimyaaaaaaa! Wamenyamaza utadhani wamepigwa sindano ya Ganzi.
 
Mtanganyika sio mtaliii kabisa,ulienda zanzbar kuuza njugu wewe,unauliza utalii zanzbar upo wapi wewe kichaa sana,uliza egypt utalii upo wapi ? au wana mbuga za wanyama wale ? katika akili yako utalii ni mbuga za wanyama tu ?
Mtanganyika sio mtalii ulinganisha na wazanzibari,mtanganyika hata awe bilioni ngapi unaweza kuona hata dubai hajafika sijui UK au Americ, au around europe ,,Nimefika mbali,,hata kenya mtu haendii kutembeea,,hee pia mbali kenya,,,kilimanjaro mtu haijui na kazaliwa dar es salaa,au dodoma,
Kwanza mimi nashangaa watalii wanaenda kutizama nini zanzibar,nlienda kutalii and to be honest nothng impressed me,absolutely nothng.
 
Hivi ni kwanini tunakomalia kuungana(Muungano), mwenye kujua sababu kuu za msingi atujuze aisee.
 
Hivi ni kitu gani ambacho kina wapa wazanzibari kiburi?....ule si mkoa tu, hauna madini wala nini.

Mhhh jamani tuwe wakweli hii wala si kiburi ni katika jitihada ya kujiondoa na monopoly ya HELSB. Hivi kuna mantiki gani kwa HESLB kutoa mikopo kwa wanafunzi watokao Zanzibar. Ingewaundia Bodi yao iwashughulikie. Watanzania Tujivue GAMBA tuache kuwaona Wazenji kama ni wasaliti kwa kila wanachodai kwa manufaa ya watu wao.
 
Hivi ni kwanini tunakomalia kuungana(Muungano), mwenye kujua sababu kuu za msingi atujuze aisee.
hakuna sababu wala faida zozote za huu muungano-ni ubishi wa hawa viongozi wetu hawataki kuuvunja
 
Zanzibar itaanzisha kila walitakalo kwa mujbu wa Sheria zake. Wewe umeona Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ndio kubwa?

Zanzibar kwa taarifa yako inayo mpaka Bodi yake ya Mapato - Zanzibar Revenue Board na itafanya itakavyo na hamna la kufanya ila kutizama tu.

Zanzibar ni nchi , daini yenu maana Tanzania ni yetu sote.
 
Tumain umesema, "Muungano una faida zake na nyingi zimekwishapatikana na kuonekana"

Faida zipi na kwa nani?
 
Zanzibar ilikuwa Jamhuri na itarudi kuwa Jamhuri

Keep watching this page.
 
Soma Mabadiliko ya 10 ya Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984 utapata jibu Msando.

Kazi ndio inaanza HIVYO na nyinyi baada ya kudai Tanganyika yenu mnang'ang'ania visivyo vyenu.

Ikiwa mpaka leo adui yenu hamjamjua, kazi mnayo.

Amkeni nyinyi, ya Zanzibar tuwachieni wenyewe.
 
Ndg zangu huo ndiyo ukweli na mimi siku zote nimekuwa nikitafakari sana maneno ya Hayati Mwl. Nyerere linapokuja suala la Muungano. Hivi sasa kuna vuguvugu la chini la wazanzibar kujitenga na Tanganyika. Lakini ikitokea muungano ukavunjika, huo ndiyo utakuwa mwisho wa Zanzibar. Lazima chokochoko zitaanza kati ya wapemba na waunguja. Sijui kama akina 'yakhe' wanatambua hilo.
 
Hivyo ndio mlivyozugwa kuamini wakati viongozi wa Tanganyika ndio waliokuja kuingiza fitna za kutugawa ili kututawala.

Baada ya kuona sasa tumemjua adui yetu ambae ni CCM Tanganyika na kumaliza tofauti zetu, mmebaki kuchonga sana tu.

Daini Tanganyika, Zanzibar sasa mwendo mdundo tu na mtaachia wenyewe karibuni tu
 
Wenyewe wapemba na wa Unguja hata hawaangalii wala kutilia maanani!
 
Ndg zangu huo ndiyo ukweli na mimi siku zote nimekuwa nikitafakari sana maneno ya Hayati Mwl. Nyerere linapokuja suala la Muungano. Hivi sasa kuna vuguvugu la chini la wazanzibar kujitenga na Tanganyika. Lakini ikitokea muungano ukavunjika, huo ndiyo utakuwa mwisho wa Zanzibar. Lazima chokochoko zitaanza kati ya wapemba na waunguja. Sijui kama akina 'yakhe' wanatambua hilo.


Does it concern you? Umesikia lini Wapemba na Waunguja wakiuwana kama mnavyofanya nyie huko? Kwani hilo tatizo waliosema UvCCM kuwa Rais hawezi kutoka Kaskazini unalionaje vile?
 
mjonjwa wa akili wewe,,,,
Ndg zangu huo ndiyo ukweli na mimi siku zote nimekuwa nikitafakari sana maneno ya Hayati Mwl. Nyerere linapokuja suala la Muungano. Hivi sasa kuna vuguvugu la chini la wazanzibar kujitenga na Tanganyika. Lakini ikitokea muungano ukavunjika, huo ndiyo utakuwa mwisho wa Zanzibar. Lazima chokochoko zitaanza kati ya wapemba na waunguja. Sijui kama akina 'yakhe' wanatambua hilo.
 
Wenyewe wapemba na wa Unguja hata hawaangalii wala kutilia maanani!

Subirini muungano uvunjike tuwatimue kwenye vijiwe vyenu vya kahawa na kashata mrejee pemba na unguja mkale. Huo ndiyo utakuwa mwisho wa zanzibar. Pemba na unguja vitakuwa vinchi vyenye msongamano wa watu usioelezeka na kwa namna mlivyo wachafu (ashakumu si matusi), kipindupindu kitawakumbatia sana.
 
Hayatuhusu hayo mkuu tuwaachie wenyewe wa Zanzibari na Nchi yao wajiamulie wenyewe Naona wanataka Uprising na wao hao kama vile Tunisia, Egypt na Libya we wacha tu...unataka kuniambia kama Tanganyika yetu ikirudi tena kwani yale makabila yetu ya Wanyamwezi, wanyachusa, Wasukuma,Wadigo,Wahaya, Wanyambo, Wahangaza, Wasubi, Wakerebe, mnyika, mndali, wasafwa,wamalila wanyamwanga, Wazaramu n.k...Unaijua Historia ya Tanganyika kweli mazee tuna makabila na lugha zaidi ya 100:help: Wazanzibari ni kabila moja na lugha yao ni moja na wana mila na desturi moja<<>>>Hayakuhusu
 
Gad Wapemba na Waunguja huwajui wala hukuwahi kuwajua kabisa. Mpaka zilipokuja fitna za Nyerere, hakukuwa na kitu hicho kabisa. Nyerere alifanikiwa kutugawa kirahisi kwa kutumia siasa hizo hizo.

Haya ya Uunguja na Upemba wewe umeyasikia tu kutoka kwa hawa hawa maadui zetu wote.

Baada ya kulitambua hilo na kuunganisha nguvu zetu, ndio watawala wameshtuka lakini wamechelewa sana.

Katika kupigania Utaifa wao, Wazanzibari hawana Uunguja na Upemba wala U CCM na U CUF.

Keep watching this page.
 
Back
Top Bottom