Ni wakati wa kuwa na Tanganyika yetu ndo tuungane nao. Huu unafiki wa serikali mbili ni dhambi kubwa ya taifa!Tunahitaji kutafakari sana kwa hili, Mzee wetu aliwahi kusema kuwa muungano umesaidia usalama kwa bara.
Kwa sasa jama hawa mamwinyi wana kila kitu chao kuanzia bendera, wimbo, rais, na mambo mengine mengi. In Short if we were to vote today then i would vote for a big NO. na sitabadili huu msimamo. Tuachane nao tu manake maandamano kibao hasa ule ugonvi wa deposits za mafuta yalogunduliwa. Katika bajeti ya taifa nadhani wanapata mgao mara mbili kutoka muunganoni na mapinduzini!
Huu muungano umekaa kisiasa zaidi,hauna manufaa kwa wananchi,unawanufaisha matajiri viongozi.
Muungano wa Marekani ni Nchi 52 hauna kero za muungano wala wizara ya muungano Pia zile Nchi ndogo hazina Utitiri wa Viongozi na wabunge Kama ilivyokuwa kwa Zanzibar wana Lundo la Viongozi lukuki huku Mishahara Yao ikilipwa na Tanganyika wao pato Lao ni Dogo sana hawawezi hata kulisha kijiji . Wapo Wajanja wanafaidika na zile Pesa zinazotengwa kwa ajili ya kutatua kero za muungano wao wanazitafuna kijanja Hata Lile Fungu yaani Mgao wa Fedha za Zenji toka Hazina napo kuna wajanja wananifaika ! Hao sasa Ndio wanapenda serikari 2 ili kero ziendelee na wao wazidi kuneemeke kwani Tanganyika bila Zanzibar Hakuna muungano
hao ni wauza sembe kama wafanyavyo ikulu..kifupi ni Business Partners wa Ikulu ya JK na Riz1..hivi kama mtu akiamua kuwatwanga , zanzibar itaokoa kitu gani ? Kama mnajali usalama mngewapa wale wahuni wajenge ghorofa karibu na ikulu ?
Mkuu Ritz
Hii michicha ya Chadema imechoka na kukata tamaa yaani CCM tusikikilize ushauri wa mvuta msuba Nicholas utakuwa vichaa yeye kama anao ushauri na ampelekee yule msomi wa Chadema John Mnyika au analyst Ben Saanane
usomi wa mnyika unakupa kiwewe mtoto..?
Usomi wa John Mnyika atakupa kiwewe kilaza wewe wa kata; mimi hanishtui hata kidogo
tupe faida za muungano,acha kelele wewe pornstar
Mkuu binafsi nakuunga mkono wa kutoona faida za huo Muungano ila kwa haraka haraka na jibu la kukurupuka ni kwamba faida yake kwangu ni kuwa baada ya kufunga ndoa nilienda honey moon Zenji, wife aliinjoi mbaya kula vyakula vya baharini pale Forodhani............kwangu ni hayo tu, ngoja wanaojua faida zaidi waje kutueleza.
Umoja; udugu na ujirani umesikia changu wewe??
Umoja; udugu na ujirani umesikia changu wewe??
Huko n kuchukua risk kwan vta wakat wowote inaweza tokea hata km uchumi n mkubwa au mdogo na uelewe haimaanish kwamba yukijitenga bas ndo mambo yatakua shwar bali lazma kutakua na mtafaruko wa hapa na pale,tuweishika znz kiulinz hata kwa miaka mia kumi bt we cant drop it ,ni kwa kujihami kwan u cant determine war , fungua macho and keep yo heard up na uone mbali
Acha tuendelee kuwahadaa kwa kuwapa vyeo huku bara ili tuendelee kuwakalia wasiwe na utambulisho nje hasa nchi za mashariki ya kati.