Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

" ku-defense" na sio ku-defend..Mashaka tayari yanaingia mheshimiwa Rais.

Soma hii(
[h=1]Hints for PhD Defenses[/h] At Columbia, PhD defenses are generally not public, although CS usually allows a student audience. Defenses consist of four parts: first, the candidate introduces themselves, then presents a summary of their work, interrupted and followed by questions from the committee. Finally, the committee meets in private to discuss the presentation and dissertation. )http://www.google.com/url?sa=t&rct=...zIHICQ&usg=AFQjCNG4EqYs7Cscmik-gDivn-ZTTQhVpA
 
Kwani hasara ya Muungano kwa pande zote mbili ni zipi, hususani kwa Zanzibar?
 
sasa sarafu yetu vipi mkuu?

Kutakuwa na mambo mengi tu ya Kuyabadilisha. Kwakuwa nimewaomba Just 1year, itawabidi mkubali kufanya kazi had saa 6 USIKU ili kuijenga nchi yenu, yaani hakuna kulala kwenye kila sekta,. Wavivu watapata taabu sana ndani ya huo mwaka 1.
 
Kutakuwa na mambo mengi tu ya Kuyabadilisha. Kwakuwa nimewaomba Just 1year, itawabidi mkubali kufanya kazi had saa 6 USIKU ili kuijenga nchi yenu, yaani hakuna kulala kwenye kila sekta,. Wavivu watapata taabu sana ndani ya huo mwaka 1.

kwanini tusikupe miaka mitano kabisa?
 

With all do respect Mr. President..the verb is to "defend" for any defenses you intend to make..Usitetee sana maana ndio tunaenda kwenye matope zaidi..
 
Hata J k alianza kama wewe na aliapa kabisaa kuulinda muungano. Ona sasa.
 
kwanini tusikupe miaka mitano kabisa?

Mkuu mkinipa miaka mitano itabidi mjiandae kisaikolojia (Psychological preparations) kufanya kazi kama Wajapan, Wachina au Wakorea. Maana Mateja na wazurulaji, wakaa vijiweni n.k wote watakamatwa na kupelekwa kulima mashambani ili nchi iwe na Hazina ya kutosha ya Chakula, pia nawao watafaidika na ujira watakao kuwa wanaupata huko mashambani. Nitashusha bei ya Umeme wa Tanesco ili kuokoa miti kutokana na biashara ya mikaa (Hapa lazima Tanesco wafanye kazi ya ziada kuhakikisha umeme unapatikana wa kutosha na wabei ya chini). Wanaokwepa kulipa Kodi mfano Bandarini nitawapiga Kitanzi. Usalama wa raia utapewa Kipaumbele sana (OPERATION TOKOMEZA MAJAMBAZI, WIZI NA VIBAKA NCHI NZIMA), hapo mkuu Jeshi la polisi hakuna kulala. Kiufupi Mkinipa 5years nitawaendesha kwa Mkono wa CHUMA bila kupendelea wala kumuonea mtu. Je mtakuwa Tayari kwa huo MCHAKAMCHAKA.?
 
With all do respect Mr. President..the verb is to "defend" for any defenses you intend to make..Usitetee sana maana ndio tunaenda kwenye matope zaidi..

Nitakupa Wizara ya Elimu..............(natania). Tuko pamoja.
 

Una uzoefu gani katika uongozi?
 

kama ndio hivyo bora tukupe UMUGABE tu mkuu
 

Kwa hiyo unataka urais wa JF au vipi?
 
kama ndio hivyo bora tukupe UMUGABE tu mkuu

Kwanini mkuu? Mimi si mroho wa madaraka ila nachukizwa sana na viongozi wasiyoweza kuchukua hatua au kutoa maamuzi magumu. Mkinipa 5yrs Jiji la DSM litaongoza kuwa jiji safi Africa. Kiufupi Kufanya kazi serikalini itabidi mtu ajishauri mara 10 maana sifagilii ujinga na Mizaha kazini.
 
kura yangu nakupa.

Lakini usisahau kuanzisha sharia MPYA kwamba " Hairusiwi Mtanganyika kuwa na account nje ya nchi".
 
BAVICHA NA NDOTO ZA ALINACHA.......
niliwaambia humu Kuwa serikali Tatu hazitakuwepo hata msujudu uchi.
Hii nchi haiwezi kuendeshwa na mawazo ya KI-MBWA
 
...ivi kwani muungano bado upo,au unazungumzia historia maana kinachofanyika sasa ni kutafuta namna bora ya kufunika kile alichosema nyerere nyufa za muungano,zilishavunjika...

Muungano haupo ulifariki Miaka 47 iliyopita baada ya Zanzibar kugoma Kutoa Fedha za kugharamia muungano.Tambua sasa Zanzibar ni Mkoloni anaitawala Tanganyika ambayo bado haijapata Uhuru wake Ndio Maana wanasema Cha zenji ni cha zenji tu lakini cha Tanganyika ni cha wote wakati mwingine Tanganyika huambulia kidogo kingi hutumika kubembeleza muungano ambao up ICU .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…