Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Uingereza wanajiondoa Umoja wa Ulaya... Jimbo la Catalunya linajiandaa kujitenga na Spain... Mkoa wa Kiingereza wa Bamenda unajiandaa kujitenga na Cameroon! Wazanzibari wenzangu, huu ndio muda sasa wa kuuvunja huu muungano!!!
Zanzibar ni sehemu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania,jaribio lolote la kujitenga ni sawa na kujaribu kuvunja nchi
Fanya kama unajikuna tu,uone tabu utakayopata
 
Umejibu vizuri kwa hiyo hata muda ulionitajia bado Zanzibar ilikuwa chini ya dola nyingine. Sitaki kujadili uchaguzi uliomuweka sheikh Mohamed Shamte madarakani japo umezungumzia the will of the people of Zanzibar. Naomba nikuongezee kaswali. Was that election really the will of the people?
Along same line watawala Zanzibar Wazanzibari? Will of the people must be respected unconditionally.
 
Umejibu vizuri kwa hiyo hata muda ulionitajia bado Zanzibar ilikuwa chini ya dola nyingine. Sitaki kujadili uchaguzi uliomuweka sheikh Mohamed Shamte madarakani japo umezungumzia the will of the people of Zanzibar. Naomba nikuongezee kaswali. Was that election really the will of the people?
Fast forward Multi party politics Zanzibar has the will of Zanzibaris prevailed.Please? Truth will set us free stop living a lie.
 
Na kweli muda ndio huu mkichelewa mtabaki mnalalamika kila siku
 
Poa tu hata wabara walioko visiwani wataanza kufungasha mizigo yao kurudi Dar , Tabora na Kigoma kwao
Assume muda ndio huu alafu Muungano unavunjika! Sipati picha Wapemba na Waunguja waliopo Mwanza, Dodoma, Kigamboni, Temeke, Ilala, Kinondoni na sehemu nyingine wanavyotolewa mbio kurudishwa na maboti, mitumbwi na majahazi na Jiwe!
 
Mtoa mada naomba uniambie ni lini Zanzibar iliwahi kusimama yenyewe kama dola huru katika historia. Ukishaniambia tutaweza kujadili Zanzibar kujitoa katika muungano..
Si muliungana Jamhuri ya Tanganyik na Jamhuri ya watu wa Zanzibar? Aipril 26/1964,
Mataifa mawili huru yaliungana.
Sio mikowa wala.
 
Hatahivyo.
Sisi Zanzibar tunataka Mamlaka ya nchi yetu back bila shuruti wala misuguano.
Tuko sawa kwa hili na hatutanii,hata akina Dr.Shein wanataka hivyo japo wao wanaogopa kusema kwa kulinda maslahi yao yauda.
 
Poa tu hata wabara walioko visiwani wataanza kufungasha mizigo yao kurudi dar , tabora na kigoma kwao
Siyo visiwani tu hadi wazaramo watapandisha mashetani na kuwa exile wa mikoani. We must manage ukweli bila unafiki wa kichama.
 
Uingereza wanajiondoa Umoja wa Ulaya... Jimbo la Catalunya linajiandaa kujitenga na Spain.Mkoa wa Kiingereza wa Bamenda unajiandaa kujitenga na Cameroon! Wazanzibari wenzangu, huu ndio muda sasa wa kuuvunja huu muungano!!!
Hawawezi !! Batallion zote za Tanganyika
 
Kama muungano ukivunjika najua wapemba wataanza kuwafurusha watanganyika, na walivyo wajinga hata kuwaua, ndipi kimbembe kitawajia ndugu zao walioko bara, watawajia kwa macho mekundu
 
W
Assume muda ndio huu alafu Muungano unavunjika! Sipati picha Wapemba na Waunguja waliopo Mwanza, Dodoma, Kigamboni, Temeke, Ilala, Kinondoni na sehemu nyingine wanavyotolewa mbio kurudishwa na maboti, mitumbwi na majahazi na Jiwe!

Acha kuwaza upuuzi mkuu.
Wataishi kama wageni na je wasukuma waliopo zanzibar c na wao ivoivo
 
Assume muda ndio huu alafu Muungano unavunjika! Sipati picha Wapemba na Waunguja waliopo Mwanza, Dodoma, Kigamboni, Temeke, Ilala, Kinondoni na sehemu nyingine wanavyotolewa mbio kurudishwa na maboti, mitumbwi na majahazi na Jiwe!

Acha kuwaza upuuzi mkuu.
ukivunjika leo tutawaachia majumba magari na watoto wote tulochanganya na nyinyi,tutarudi pemba na vidau,tuombe mungu uvunjike tu
 
Assume muda ndio huu alafu Muungano unavunjika! Sipati picha Wapemba na Waunguja waliopo Mwanza, Dodoma, Kigamboni, Temeke, Ilala, Kinondoni na sehemu nyingine wanavyotolewa mbio kurudishwa na maboti, mitumbwi na majahazi na Jiwe!

Acha kuwaza upuuzi mkuu.
Wahindi na wakenya wamejaa kote Tz, kwani mataifa ya india na kenya yana muungano na Tanganyika??
 
Back
Top Bottom