St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Sultan Jamshid alikuwa mzanzibari?Uhuru wa Zanzibar12 December 1963(baada ya majadiliona ya kina na mapana) hadi uvamizi. Sisemi mimi sauti ya historia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sultan Jamshid alikuwa mzanzibari?Uhuru wa Zanzibar12 December 1963(baada ya majadiliona ya kina na mapana) hadi uvamizi. Sisemi mimi sauti ya historia.
Zanzibar ni sehemu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania,jaribio lolote la kujitenga ni sawa na kujaribu kuvunja nchiUingereza wanajiondoa Umoja wa Ulaya... Jimbo la Catalunya linajiandaa kujitenga na Spain... Mkoa wa Kiingereza wa Bamenda unajiandaa kujitenga na Cameroon! Wazanzibari wenzangu, huu ndio muda sasa wa kuuvunja huu muungano!!!
Continue dreaming..!
Along same line watawala Zanzibar Wazanzibari? Will of the people must be respected unconditionally.Sultan Jamshid alikuwa mzanzibari?
Along same line watawala Zanzibar Wazanzibari? Will of the people must be respected unconditionally.
Fast forward Multi party politics Zanzibar has the will of Zanzibaris prevailed.Please? Truth will set us free stop living a lie.Umejibu vizuri kwa hiyo hata muda ulionitajia bado Zanzibar ilikuwa chini ya dola nyingine. Sitaki kujadili uchaguzi uliomuweka sheikh Mohamed Shamte madarakani japo umezungumzia the will of the people of Zanzibar. Naomba nikuongezee kaswali. Was that election really the will of the people?
Assume muda ndio huu alafu Muungano unavunjika! Sipati picha Wapemba na Waunguja waliopo Mwanza, Dodoma, Kigamboni, Temeke, Ilala, Kinondoni na sehemu nyingine wanavyotolewa mbio kurudishwa na maboti, mitumbwi na majahazi na Jiwe!
Sidhani kama uko sawa..
Na hayo unayo yataka hayataweza fanikiwa..!
Si muliungana Jamhuri ya Tanganyik na Jamhuri ya watu wa Zanzibar? Aipril 26/1964,Mtoa mada naomba uniambie ni lini Zanzibar iliwahi kusimama yenyewe kama dola huru katika historia. Ukishaniambia tutaweza kujadili Zanzibar kujitoa katika muungano..
Siyo visiwani tu hadi wazaramo watapandisha mashetani na kuwa exile wa mikoani. We must manage ukweli bila unafiki wa kichama.Poa tu hata wabara walioko visiwani wataanza kufungasha mizigo yao kurudi dar , tabora na kigoma kwao
Hawawezi !! Batallion zote za TanganyikaUingereza wanajiondoa Umoja wa Ulaya... Jimbo la Catalunya linajiandaa kujitenga na Spain.Mkoa wa Kiingereza wa Bamenda unajiandaa kujitenga na Cameroon! Wazanzibari wenzangu, huu ndio muda sasa wa kuuvunja huu muungano!!!
Wataishi kama wageni na je wasukuma waliopo zanzibar c na wao ivoivoAssume muda ndio huu alafu Muungano unavunjika! Sipati picha Wapemba na Waunguja waliopo Mwanza, Dodoma, Kigamboni, Temeke, Ilala, Kinondoni na sehemu nyingine wanavyotolewa mbio kurudishwa na maboti, mitumbwi na majahazi na Jiwe!
Acha kuwaza upuuzi mkuu.
ukivunjika leo tutawaachia majumba magari na watoto wote tulochanganya na nyinyi,tutarudi pemba na vidau,tuombe mungu uvunjike tuAssume muda ndio huu alafu Muungano unavunjika! Sipati picha Wapemba na Waunguja waliopo Mwanza, Dodoma, Kigamboni, Temeke, Ilala, Kinondoni na sehemu nyingine wanavyotolewa mbio kurudishwa na maboti, mitumbwi na majahazi na Jiwe!
Acha kuwaza upuuzi mkuu.
uchochezi ni nini ?Mbona mchochezi ndugu
Wahindi na wakenya wamejaa kote Tz, kwani mataifa ya india na kenya yana muungano na Tanganyika??Assume muda ndio huu alafu Muungano unavunjika! Sipati picha Wapemba na Waunguja waliopo Mwanza, Dodoma, Kigamboni, Temeke, Ilala, Kinondoni na sehemu nyingine wanavyotolewa mbio kurudishwa na maboti, mitumbwi na majahazi na Jiwe!
Acha kuwaza upuuzi mkuu.