Tatizo muungano una sura na hisia tofauti kwa wadanganyika na wazenj.
Nje ya muungano zanzibar hakuna kutakuwa na unguja na Pemba.
Tukirudi kwa wadanganyika nje ya muungano nchi inayoitwa tanganyika hakuna, kutakuwa na nchi ya waswahili (1) Mzizima ( Dar es Salaam, pwani, lindi, mtwara, tanga, na wazanzibara wengine.
Na upande mwengine utakuwa na wabara hapa kutagawika:
(2) Nchi ya wanawane (Mwanza, Shinyanga, Tabora, nk.
(3) Nchi ya Kilimajaro itayojumuisha Kilimanjaro, Arusha Manyara nk.
(4) Nchi ya Idodomya itakuwa na mikoa kama Dodoma, Singida, Rukwa, Morogoro nk.
(5) Nchi ya Mura, itakuwa na mikoa kama Mara, nk
(6) Nchi ya Nyalu , hiibitakuwa na Iringa, Mbeya, Songwe, Njombe nk.
(7) Nchi ya Rumanyika , hii itakuwa na mikoa kama Kagera, nk
(8) Nchi ya Bugabire hii itabeba mikoa kama Kigoma na Ruvuma, nk.
Pia kutakuwa na vijinchi vidogo vidogo vya ukoo na familia kubwa.
Rejea Urusi ya zamani, Yugoslavia, na Balkan ndio utajua ni punguani tu ndio anashadidia utengano.
Pathetic