Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Ni bora huu Muungano wetu ukavunjika halafu tukawa nchi jirani zenye kupendana kuliko maelezo,ila hivi tulivyo inakuwa kama hatuelewani.
Tugawane mbao kisha kila mtu ajenge mtumbwi wake.
Tatizo wabara hawajiamini kujitawala,wanahisi watagawika ,Zanzibar imekuwa kama hirizi.
Pumbavu kweli ww Yani hapo unaongea inawezekana kabisa babu yako ni myamwezi wa tabora hivi hiyo nchi inaasili ya mwenyewe Zaid ya makabila kutoka bara wamatumbi wa ndengereko wanyamwez

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Unajua ni nini?
WaZanzibar hawana mchango kwa maisha ya Bara. Hilo hata wewe unalijua. Kama nimepotoka,nakubali kurekebishwa kwa mifano halisi. Muungano unawapendelea wazanzibar na kuwadekeza hadi inakuwa kero. Ka nchi kama mkoa lakini wabunge utitiri. Hamuoni kuwaita watu wabunge badala ya makatibu kata?

Nilichoota mimi miaka kadhaa nyuma, wakati nimekereka na huu muungano nyonya damu, ni kwamba. Cha muhimu kwa bara ni geographical position ya Zanzibar na tabia za Wazanzibar za uvivu na uarabu. Nikaota kwamba , ni lazime tuwashikilie ili muongozwe kwa sababu kinyume cha pale, tunayoyasikia kule yatakuwa dirishani. Nani atakuwa salama?
Umenena vizuri

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ni bora huu Muungano wetu ukavunjika halafu tukawa nchi jirani zenye kupendana kuliko maelezo,ila hivi tulivyo inakuwa kama hatuelewani.
Tugawane mbao kisha kila mtu ajenge mtumbwi wake.
Tatizo wabara hawajiamini kujitawala,wanahisi watagawika ,Zanzibar imekuwa kama hirizi.

Sukuma gang mna kazi 😂😂 mtaishi kwa ndoto tu😂
 
Unajua ni nini?
WaZanzibar hawana mchango kwa maisha ya Bara. Hilo hata wewe unalijua. Kama nimepotoka,nakubali kurekebishwa kwa mifano halisi. Muungano unawapendelea wazanzibar na kuwadekeza hadi inakuwa kero. Ka nchi kama mkoa lakini wabunge utitiri. Hamuoni kuwaita watu wabunge badala ya makatibu kata?

Nilichoota mimi miaka kadhaa nyuma, wakati nimekereka na huu muungano nyonya damu, ni kwamba. Cha muhimu kwa bara ni geographical position ya Zanzibar na tabia za Wazanzibar za uvivu na uarabu. Nikaota kwamba , ni lazime tuwashikilie ili muongozwe kwa sababu kinyume cha pale, tunayoyasikia kule yatakuwa dirishani. Nani atakuwa salama?
Unaweza kutazama jinsi unavyofanya. Ila tu, sema: Kwa nini wale ambao machoni pako wanafaidika ni hao wanaolialia na kulalamika? Kwa nini huko wako 100, au 200 waliouawa tayari (labda zaidi na maafisa kutoka bara) wakipinga hali jinsi ilivyo, kama ni wenye faida? Sioni mantiki.
Je labda ilikuwa hivyo kwamba mwanasiasa anayejulikana kama Baba wa Taifa alichukia kuwepo kwa nchi ndogo jirani akataka kuitawala akaivamia na kwa sababu alitaka kweli maungano yatokee aliwapa viongozi aliotuma huko haki za pkee? Inawezekana je? Ila tu hajawapa haki ya kujiamulia (jinsi inavyoonekana katika kura zote)?
 
utajiskiaje na wabara walioko ZENJ nao wakitimuliwa? haya masuala hayati jazba mkuu
Hakika si busara kutisha hivi. Tumia akili: kwa kweli wabara wachache waliwekeza visiwani (maana ni vigumu), ilhali WaZanzibari waliwekeza mengi barani.
Wabara visiwani wengi ni watumishi wa serikali na wafanyakazi. Sina takwimu, nahisi idadi ya Wazanzibari barani inaweza kuwa kubwa zaidi.
 
Kwa vile huu muungano wetu adhimu umeishia ingiwa, na hakuna vipengele vya jinsi ya kuuvunja, then muungano wetu ni wa milele na tutaulinda kwa gharama yoyote!.
P
Hiyo maana yake, muko tayari kuuwa haraiki ya watu, kisa tu muungano ubaki milele, sio?

Bro P, nakuhakikishia muungano huu utavunjwa, japo si kwa kizazi hiki.

Muungano huu uko ndani ya makabrasha ya serkali na siyo ndani ya mioyo ya wenyewe wananchi, kwahiyo usitegemee utabaki milele.
 
Tatizo muungano una sura na hisia tofauti kwa wadanganyika na wazenj.
Nje ya muungano zanzibar hakuna kutakuwa na unguja na Pemba.
Tukirudi kwa wadanganyika nje ya muungano nchi inayoitwa tanganyika hakuna, kutakuwa na nchi ya waswahili (1) Mzizima ( Dar es Salaam, pwani, lindi, mtwara, tanga, na wazanzibara wengine.
Na upande mwengine utakuwa na wabara hapa kutagawika:
(2) Nchi ya wanawane (Mwanza, Shinyanga, Tabora, nk.
(3) Nchi ya Kilimajaro itayojumuisha Kilimanjaro, Arusha Manyara nk.
(4) Nchi ya Idodomya itakuwa na mikoa kama Dodoma, Singida, Rukwa, Morogoro nk.
(5) Nchi ya Mura, itakuwa na mikoa kama Mara, nk
(6) Nchi ya Nyalu , hiibitakuwa na Iringa, Mbeya, Songwe, Njombe nk.
(7) Nchi ya Rumanyika , hii itakuwa na mikoa kama Kagera, nk
(8) Nchi ya Bugabire hii itabeba mikoa kama Kigoma na Ruvuma, nk.
Pia kutakuwa na vijinchi vidogo vidogo vya ukoo na familia kubwa.
Rejea Urusi ya zamani, Yugoslavia, na Balkan ndio utajua ni punguani tu ndio anashadidia utengano.
Pathetic
 
It’s impossible to split right now . Unajua inter marriage ni kubwa . We simply don’t know who is from Zanzibar who is not . So by 2030 to 50 Zanzibar Kama bongo tu
 
Hii ndio faida ya the freedom of expression, ingekuwa ni enzi za Mwalimu, wewe mtu huku mjini,; tungekusahau!, ambao wangekuona ni watu wa kijijini kwako tuu, tena ukitoka nje kuota jua!.

Enzi hizo hata kufikiri tuu kuuvunja muungano ni kosa kubwa la uhaini!.
P
Hahaha. Nimecheka sana kuhusu kutoka nje kuota jua...!
Ila mbona ume-reserve comment yako mkuu?
 
Ni bora huu Muungano wetu ukavunjika halafu tukawa nchi jirani zenye kupendana kuliko maelezo,ila hivi tulivyo inakuwa kama hatuelewani.
Tugawane mbao kisha kila mtu ajenge mtumbwi wake.
Tatizo wabara hawajiamini kujitawala,wanahisi watagawika ,Zanzibar imekuwa kama hirizi.
Muungano ni mzuri ila watanganyika tumechoka. Koti la muungano limebana
 
Back
Top Bottom