Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

We umeona wapi muungano ambao unabagua watu?

Wazanzbar kumiliki ardhi TANGANYIKA n ruksa ila mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar haiwezekani

Asee uvunjike hata leo hamna Zanzibar mlichoifaidisha TANGANYIKA Zaid mmetupa mzigo tu wa kuwakopea kulipa tulipe Watanganyika

Kweli Mkuu Zanzibar ni mzigo kwa Tanganyika kwa vile mumeweka majeshi kila mtaa na uslama wa taifa kwa kila mtu huku vifaru mkivi
Ukivunjika wazenji wote tunawatimua tuone nani atapata hasara

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Hizo ndizo akili Za Kiafrika. Czekoslovakia iligawanyika Na kuwa nchi mbili wala hatukusikia akili Kama zako
 
We umeona wapi muungano ambao unabagua watu?

Wazanzbar kumiliki ardhi TANGANYIKA n ruksa ila mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar haiwezekani

Asee uvunjike hata leo hamna Zanzibar mlichoifaidisha TANGANYIKA Zaid mmetupa mzigo tu wa kuwakopea kulipa tulipe Watanganyika
Huu ni uwngo si kweli eti WaTanganyika hawamiliki ardhi Zanzibar,hilo nalipinga vibaya mno,ni wabara wengi tu wenye akili wamenunua nyumba Znaibar.
Ila ukumbuke ya kuwa Ardhi yote ya Zanzibar ni mali ya serikali hata kama una hati miliki ya nyumba,kiwanja ,shamba ufukwe na hilo hata huku kwetu Tanganyika.

Na wale wanaojilabu kuwa eti WaZanzibari ni watu kutoka Tanganyika ,itakuwa hamusomi historia au hata mkisoma hamuelewi mnachosoma.
Hii Tanganyika bandugu ilikuwa pori kubwa sana ni wanyama watupu ,hadi akina Simba Tembo walikuwepo kwenye fukwe ,imebaki Saadani ambapo unaweza kumuona Simba akinywa maji ya bahari,wakazi waliokuwa wanapatika ni wahamiaji kutoka katikati mwa Africa misitu ya Congo. Na ndio ukaona Zanzibar ilikuwa imeingia ndani 10km ndani ya hii iliyobatizwa Tanganyika.

Inabaki Zanzibar ni hirizi kwa uhai wa Tanganyika tunaona wabara wanavyobaguana huyu wa kusini huyu wa Chato,sukuma gang kuna Chaga gang.
 
We umeona wapi muungano ambao unabagua watu?

Wazanzbar kumiliki ardhi TANGANYIKA n ruksa ila mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar haiwezekani

Asee uvunjike hata leo hamna Zanzibar mlichoifaidisha TANGANYIKA Zaid mmetupa mzigo tu wa kuwakopea kulipa tulipe Watanganyika
sasa jamani hivyo visiwa vyenyewe mtu kama eliud kipchoge akianza mbio mwanzo mpaka ncha ya pili anatumia chini ya masaa mawili ameshakimaliza, mnataka tukagombee tena hako kaardhi licha ya ukubwa wa nchi yetu huku bara!?..
 
Ni bora huu Muungano wetu ukavunjika halafu tukawa nchi jirani zenye kupendana kuliko maelezo,ila hivi tulivyo inakuwa kama hatuelewani.
Tugawane mbao kisha kila mtu ajenge mtumbwi wake.
Tatizo wabara hawajiamini kujitawala,wanahisi watagawika ,Zanzibar imekuwa kama hirizi.
Muungano wa nchi mbili kuwa nchi mbili ni upuuzi mtupu.
 
Sio bora ni kitu lazima kwani Wazanzibari tumeteseka na tunateseka sana na hili Jinamizi la uvamizi kutoka Tanganyika liitwalo Muungano
Vipi tukate umeme [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ni bora huu Muungano wetu ukavunjika halafu tukawa nchi jirani zenye kupendana kuliko maelezo,ila hivi tulivyo inakuwa kama hatuelewani.
Tugawane mbao kisha kila mtu ajenge mtumbwi wake.
Tatizo wabara hawajiamini kujitawala,wanahisi watagawika ,Zanzibar imekuwa kama hirizi.

6B73287C-4BE7-422D-9D69-05DBA7BC6D9B.jpeg
 
Hii ndio faida ya the freedom of expression, ingekuwa ni enzi za Mwalimu, wewe mtu huku mjini,; tungekusahau!, ambao wangekuona ni watu wa kijijini kwako tuu, tena ukitoka nje kuota jua!.

Enzi hizo hata kufikiri tuu kuuvunja muungano ni kosa kubwa la uhaini!.
P
Na weye una tumawazo twa kizamani tulito useless!Ukimfunga mtu (detention) ndiyo umetoa suluhu?Kinehe Mwana Maria?
 
Hii ndio faida ya the freedom of expression, ingekuwa ni enzi za Mwalimu, wewe mtu huku mjini,; tungekusahau!, ambao wangekuona ni watu wa kijijini kwako tuu, tena ukitoka nje kuota jua!.

Enzi hizo hata kufikiri tuu kuuvunja muungano ni kosa kubwa la uhaini!.
P
Kwa nini Tanganyika munasema mutaulinda kwa nguvu zote ?Nini maana yake .
 
Kwa nini Tanganyika munasema mutaulinda kwa nguvu zote ?Nini maana yake .
Sijasema tutaulinda kwa nguvu zote, nimesema Muungano wetu huu adhimu, tutaulinda kwa gharama yoyote!. Kuna tofauti ya kuulinda kwa nguvu na kuulinda kwa gharama. Kuulinda kwa nguvu ni kutumia nguvu na kulazimisha, kuulinda kwa gharama yoyote ni kuugharimia muungano ili udumu milele, kuwa tayari kugharimika, kuugharimikia muungano wetu adhimu.
P
 
Wakuu hapo solution siyo kuvunjika kwa muungano..
Suluhisho ni Katiba mpya ambayo ime- base kwenye serikali tatu...mm naomba tuendealee kushirikiana na hawa wapemba

Wana watoto flani shombeshombe tusije tukawakosa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kuiachia Zanzibar ni jambo gumu sana. Ifahamike kuwa hatukuungana na Zanzibar kwa matakwa yetu. Lilikuwa ni ombi la US kwa Mwalimu Nyerere. Aliyesimamia hilo zoezi la kuhakikisha Zanzibar inakuwa chinibya Tanganyika ni Henry Kissinger, mtu anayeaminika kuwa na very high IQ, baada ya Mzee Jomo Kenyata kukataa. Yeye ndiye aliyetengeneza muundo huu wa Muungano usioeleweka ili Wazanzibar waone wapo kwenye Muungano, lakini Tanganyika ikiwa na uwezo wa kuingilia kitu chochote cha kiusalama, Zanzibar.

Zanzibar, Tanganyika inaishikilia kwa ombi la mataifa makubwa kwa sababu za kiusalama. Kwa hiyo, Zanzibar siyo rahisi kuiachia. Hii ndiyo sababu iliyo dhahiri lakini isiyotamkwa. Mambo ya sijui sisi ni damu moja, sijui nini, ni hadithi.
 
Hata M'bara haruhusiwi kufungua kampuni Zanzibar inatakiwa afungu kama wawekezaji wengine kutoka nchi za mbali wanavyofanya
 
Back
Top Bottom