Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
We umeona wapi muungano ambao unabagua watu?
Wazanzbar kumiliki ardhi TANGANYIKA n ruksa ila mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar haiwezekani
Asee uvunjike hata leo hamna Zanzibar mlichoifaidisha TANGANYIKA Zaid mmetupa mzigo tu wa kuwakopea kulipa tulipe Watanganyika
Kweli Mkuu Zanzibar ni mzigo kwa Tanganyika kwa vile mumeweka majeshi kila mtaa na uslama wa taifa kwa kila mtu huku vifaru mkivi
Hizo ndizo akili Za Kiafrika. Czekoslovakia iligawanyika Na kuwa nchi mbili wala hatukusikia akili Kama zakoUkivunjika wazenji wote tunawatimua tuone nani atapata hasara
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app