Muungano wa Ulaya umeachia orodha iliyoimarishwa ya mashirika ya ndege yanayodhaniwa kuwa hatari, na kuyakataza kufanya kazi ndani ya anga la EU


Uhusiano wa Poland na Tanzania miaka ya nyuma :
Kasi ya kuwahamisha wakimbizi wa Poland kutoka Iran hadi Afrika ilikuwa juu. Mwishoni mwa 1944, kulikuwa na raia wa Poland 13,364 katika nchi tatu za Afrika Mashariki, kati yao 6,331 katika Tanganyika. Mwisho uliotarajiwa wa vita ulipunguza uhamishaji zaidi. Katika Afrika Mashariki, makazi sita ya kudumu ya wakimbizi wa Poland yalianzishwa: manne Tanganyika (Tengeru, Kondoa, Ifunda, Kidugala) na mawili Uganda (Masindi na Koja). Mbali na makazi ya kudumu, kambi kadhaa za muda ziliundwa, zikiwemo Morogoro, Kigoma, Dar es Salaam, Iringa na Tosamaganga huko Tanganyika.

Wakati huo, Wapoland walikuwa wachache zaidi wa asili ya Uropa katika Afrika Mashariki...

SOMA zaidi: Polish exiles during World War II - Poland in Tanzania - Gov.pl website
 
jamani ndio tumeshatapesliwa hivyo..yaani ndege wametuuzia wao alafu leo mdai eti hazina usalama wala vigezo vya kuruka ulaya.! mbona kama wanajua haya walituuzia hizo ndege za nini.!sasa nimeanza kuamini waliosema hizi ndege sio mpya bali ni used mtumba zilizopakwa rangi upya ila ukweli ni za zamani tumepigwa kizembe kweli tumenunua mtumba kwa gharama ya mpya..!
 
duh na raisi wa tanzagiza si huitumia hiyo kusafiria masafa, kwa hiyo amezuiwa pia kuingia na hiyo ndege huko ulaya? kwa maana waliichukuwa mpaka brazili kama sikosei …
 
Huu ndio ukweli tena wenye ushahidi. Ubalozi wao hapa Dar es salaam wanalijua hilo na wanayaenzi maeneo walipolazwa raia hao walioathirika na vita vya Dunia. Issue iko kwenye Serikali iliyoko madarakani hivi sasa chini ya Andrzej Duda na waziri wake wa mambo ya nje Radoslaw Tomasz Sikorsky, bila shaka hii historia kwao haina mashiko kivile kutokana na mwelekeo wa vita vya Ukraine na Urusi.
 
Watu tuliojua matatizo ya biashara ya ndege tulisema tangu mwanzo kuwa kutumia hela nyingi kununua midege bila ya kuwa na business plan inayoeleweka ni uamuzi mbaya.

Watu wakatupinga hapa na kununua midege kwa sifa, kufakamia na kujimwambafy.

Matatizo tuliyotabiri ndiyo haya sasa.
 
Mungu Wabariki Wazungu
 

kama ndege ni mtumba dunia ya leo hakuna anayeweza kukudanganya kila kitu kipo wazi unaweza hata wewe kutafuta ukwelj ukaupata, kama waliweka oda boeing au airbus unaweza angalia ukajua …
 
Magufuli: ndugu zangu vita ya uchumi ni mbaya.

Hapo hamna usalama wala nini. Wanalinda maslahi yao na kampuni zao.

Mara ngapi ndege zao zinakula vichwa vingi kwa pamoja na ripoti huishia kufunikwa tu?
Dawa ni kuwapiga "tit for tat", badala yake abiria wetu wasafiri kwa mashirika ya nchi nje ya EU halafu tuwaone watafanya nini.
Hawa jamaa na yule ndugu yao anayetishia nchi zinazotaka kuacha kutumia dolla yake wanajaribu kulazimisha ukiritimba wa kumiliki uchumi wa dunia. Wanasahau kuwa hiyo keki ni yetu sote.
Ndege tunanunua toka kwao, service zinafanyiwa huko huko kwao, leo zinakuwaje ni hatari kwa usalama wa anga zao?
 
Reactions: Cyb
We ndege linatengenezwa na fundi gereji Twiga anachorwa na Colorpaint
 
Kwako mkuu wazungu ni kama demigods fulani, hawakosei, ni watakatifu na wasafi?
Ni ujinga na inferiority complex kukosa exposure na udhalili wa elimu nafsi.Msamehe bure.
 
Reactions: Cyb
Ukiangalia nchi zilizoorodheshwa ktk hivyo vikwazo utagundua shida si shirika la Tanzania wala ubora wa ndege+huduma za Tz Bali Kuna kanamna, either Tz haijafuata vitu Fulani ama inafuata mambo Fulani ambayo yanamfungamano na hizo nchi ambazo watu wa Ulaya wanazikwepa (Venezuela+Iran),

Acheni kuendeshwa na Media+propaganda, chunguzeni mambo hapo Kuna kanamna, viongozi wetu wanajua shida ni Nini, shida haipo ktk ubora wa ndege wala usalama, Bali nchi+viongozi wetu Kuna namna wamewakosea hao jamaa wa EU.

Hii Ndio michezo ya dunia na hizi ndizo games za town, msipelekwe na upepo behind the scene Kuna kanamna
 
Acheni kulalamika tutimize vigezo na mashart ili tumeet standard za kimataifa maana usafiri wa anga unasadikika kuwa ni usafiri ulio salama kwa asilimia 90+ sasa naona sisi wa kulazimisha mambo nao tukichekewa tutaharibu
 
Ni inchi gani hiyo imeiwekea vikwazo tz as terrorist country, kwamba tz Kuna vikundi vya kigaidi au ni siasa za kichenzi za CCM? Naomba majibu tafadhali
 
Ukiambiwa ATCL inaondoka saa Fulani,ongeza hapo masaa mawili ndipo iondoke.
Watu wengi sana wamekosa connection za airlines zingine, kupitia ATCL
EU mungu awabariki!
 
Safi kabisa. Hii niishara haya mandege mabovu ndio maana kila siku safari zina delay. Treni za sgr pancha, ATCL pancha, kitu ambachoa wanaweza kukifanya kwa ufanisi wa asilimia 99 ni kuiba kura.
🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…