Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👍 👌 👏 🤝 🙏Ushauri wako ni WA ovyo. Tuangalie mapungufu yaliyoko, turekebishe tufikie viwango vinavyokubalika duniani.
🤣 🤣 🤣Abdul na Wanu walipanda na madafu kwenye ndege walipokuwa wanaenda Marekani siku za hivi karibuni. Wazungu wakadhani ni mabomu.
🤣 🤣 🤣Na sisi tuorodheshe mashirika yao ya kuyawekea vikwazo
🤣 🤣 🤣jamani ndio tumeshatapesliwa hivyo..yaani ndege wametuuzia wao alafu leo mdai eti hazina usalama wala vigezo vya kuruka ulaya.! mbona kama wanajua haya walituuzia hizo ndege za nini.!sasa nimeanza kuamini waliosema hizi ndege sio mpya bali ni used mtumba zilizopakwa rangi upya ila ukweli ni za zamani tumepigwa kizembe kweli tumenunua mtumba kwa gharama ya mpya..!
🌤️🙋♂️🔊🎯👌👍👊👏🤝🙏💐🛡️Watu tuliojua matatizo ya biashara ya ndege tulisema tangu mwanzo kuwa kutumia hela nyingi kununua midege bila ya kuwa na business plan inayoeleweka ni uamuzi mbaya.
Watu wakatupinga hapa na kununua midege kwa sifa, kufakamia na kujimwambafy.
Matatizo tuliyotabiri ndiyo haya sasa.
Huwezi kumvimbia ambaye tairi likiiaha au oil ikiisha unaenda kumpigia goti akuuzie.Dawa ni kuwapiga "tit for tat", badala yake abiria wetu wasafiri kwa mashirika ya nchi nje ya EU halafu tuwaone watafanya nini.
Hawa jamaa na yule ndugu yao anayetishia nchi zinazotaka kuacha kutumia dolla yake wanajaribu kulazimisha ukiritimba wa kumiliki uchumi wa dunia. Wanasahau kuwa hiyo keki ni yetu sote.
Ndege tunanunua toka kwao, service zinafanyiwa huko huko kwao, leo zinakuwaje ni hatari kwa usalama wa anga zao?
PolandNi inchi gani hiyo imeiwekea vikwazo tz as terrorist country, kwamba tz Kuna vikundi vya kigaidi au ni siasa za kichenzi za CCM? Naomba majibu tafadhali
Kwani ni EU peke yake wanaotengeneza tairi na oil za ndege? Huku kujinyongesha kwetu ndiko kunawavimbisha kichwa na kuwapa kiburi cha kutufanyia wapendavyo.Huwezi kumvimbia ambaye tairi likiiaha au oil ikiisha unaenda kumpigia goti akuuzie.
Tunajinyongesha au ni wanyonge? Si muanzishe viwanda vyenu? SGR tu watu wanakata nyaya za umeme.Kwani ni EU peke yake wanaotengeneza tairi na oil za ndege? Huku kujinyongesha kwetu ndiko kunawavimbisha kichwa na kuwapa kiburi cha kutufanyia wapendavyo.
Tatizo Air France imepata hasara ya Billion 68 kwa kujifanya kununa kufanya safari za nchi zilizokuwa makoloni yake.Demand ya air services Bado kubwa sana africa
ATC waachene na anga la ulaya Kwa sasa
Bado wachanga sana
Huko ni kujinyongesha. Kama South Korea tulikuwa nao level moja ya kielimu na kimaendeleo tulipopata uhuru, wao walienda kununua wapi huko kujiamini mpaka wakaendelea kiasi hicho hivi leo? Huku kujinyongesha ndiko kumetufanya tusiweze kutumia vizuri raslimali zetu kibao ili kujiletea maendeleo. Kujiaminisha kuwa sisi ni wanyonge ni ugonjwa hatari wa kufisha.Tunajinyongesha au ni wanyonge? Si muanzishe viwanda vyenu? SGR tu watu wanakata nyaya za umeme.