Muungano wetu: Mgao wa Fedha za IMF na Zanzibar kupewa asilimia 18, ni sahihi?

Muungano wetu: Mgao wa Fedha za IMF na Zanzibar kupewa asilimia 18, ni sahihi?

Hivi karibuni, kuna taarifa zilizowekwa wazi kwenye baadi ya vyombo vya habari, juu ya mgawanyo wa mikopo ya nje, kati ya Tanzania bara na Zanzibar.

Mkopo wa pesa ya Uviko 19, tunaambiwa Zanzibar ilipata 21%. Mkopo wa kutoka Japan, tunaambiwa Zanzibar imepata 30%.

Mkataba wa Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar, umeweka wazi kanuni ya mgawanyo wa mikopo na misaada kutoka nje, ambapo Zanzibar inastahili kupewa 4.5%.

Kama ni kweli Zanzibar ilipata 21% badala ya 4.5%, na pia ilipata 30% badala ya 4.5%, waliohusika wote, wakiongozwa na Waziri wa Fedha na Katibu Mkuu Wizara ya fedha, walistahili wasimamishwe mara moja, na kama tungekuwa na Bunge, lilistahili kuunda kamati kuchunguza ukweli wa jambo hili, na kuchunguza uhusika wa Rais katika ukiukaji huu wa kanuni za Muungano.

Jambo la kujiuliza:

1) kwa hali hii ya sasa, ambapo nchi haina bunge linalowakilisha wananchi, nani ataihoji serikali?

2) kama trend itaendelea hivi, mpaka kufikia 2025, hali itakuwaje?

3) kama hiki ndicho kinachoendelea, hatuoni kuna njama za kuitumia Tanganyika kuijenga Zanzibar, na kuifanya Tanganyika kuwa 'kubwa jinga?'

4) Hali ikiendelea hivi, na bunge hatuna, nani ataweza kuhoji juu ya jambo hili?

5) Je, hatuoni kuwa kama hali hii ni kweli, mikopo hii inailenga Zanzibar, na Tanzania bara inatumika tu kama daraja, huku kisheria deni likiwa la kwake?

6) Japo hatuombei, kama kukiwa na njama ambazo zikafanya siku moja Muungano ufe, hatuoni hasara itakayokuwepo kwa Tanzania bara kwa sababu madeni haya yote mkopaji ni yeye, na hivyo ndiye atakayewajibika kulipa?
Kikubwa tu atukumbuke... Dah!!

Mipesa imemwagika munoo.
 
Shida ni kwamba nyie ndio wenye kuung'ang'ania huo muungano, mpaka mwalimu nyerere kuamua kumuua mzee karume ili alinde maslahi yake anayoyapata kwenye muungano.

Hapa ni kusema kwamba, tanganyika wamenufaika zaidi na huo unaoitwa muungano, kwa sababu wazanzibari walitaka kujitoa zamani kwenye uonevu huu.

View attachment 2126205
Ni kweli Tanganyika imenufaika sasa inaeneo kubwa la bahari..kimsingi zenji tumieni vizuri huu muda na nafasi mliyoipata mana kuja kuipata tena ni miongo mingi ijayo.. ambapo kwa hichi mnachokifanya watanganyika sio wajinga..mtakuja kulia na kusaga meno.

Jijengeni na mjitenge mapema mkiwa na nafasi hii..siku uongozi wa JMT ukirudi kwa watanganyika mmeumia.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kama ni nchi basi mkakope nyie sio kutumia tanzania
Acha ujinga wewe,mwaka 1961 kuna kitu kinaitwa Tanzania mlikuwa nacho?

Nyerere ndio alipora haki ya Zanzibar Kukopa na kumiliki Uchumi,kwa hiyo ongeza kilio .

Na hili deni lipeni?👇

Screenshot_20220220-090852.png
 
Mkuu hizo ni kero na sio mabadiliko ya Muungano!Mabadiliko ya Muungano ni kama muundo wa serikali NK!Lakini mgawo na vitu vingine vidogo vidogo ni makubaliano tu!

rudia kusoma katiba ya muungano kila kitu kimeainishwa, ingekuwa kero kama zanzibar wasingekuwa wanapata kile kilichoamriwa.
Zanzibar inasemekana imechangia mara mbili gharama za kuendesha serikali ya muungano kama kweli hiyo ndio kero.
Jiulize kwanini kero zinatoka upande mmoja tu wa muungao.
 
Habari zenu wakuu?
Kama nitamkwaza mtu naomba nisamehewe lakini siwezi kukaa kimya.

Serikali imetoa mpangilio wa matumizi ya mkopo wa IMF , Tsh Trillion 1.3 za kitanzania.

Kama ifuatavyo;

(i). Sekta ya maji- Billion 139.4
(ii). Elimu -Billion 368.9
(iii). Afya - Billion 90.2
(iv).Jamii yenye maisha duni - Billion 5.5
(v). Makundi maalum - Billion 5
(vi). Shughuli za uratibu - billion 5

(vii). SERIKALI YA ZANZIBAR - BILLION 231

********************************************

* Yani Tanzania bara tupo zaidi ya million 55 ila jamii yenye mazingira magumu inapewa billion 5 wakati kwa takwimu za harakaharaka nadhani inakadiriwa waTz wenye maisha duni ni zaidi ya million 7. ni dhahiri hiyo hela haitoshi kbsa maana hata watu wa tasafu wanalipwa kiduchuuuuuu.

*Zanzibar ina wakazi zaidi ya 1 million kwanini fedha zote hizi ziende kwao ilihali serikali ingepunguza walau billion 100 na kuzijaza kwenye yafuatayo...

-mikopo ya vijana yenye riba nafuu au 0% riba

-kuongeza hela kwenye hiyo bajeti ya afya ili hospitali za wilaya na zahanati za kata vijijini vikapata vifaa pungukiwa.

-basi jamani hata walimu kadhaa wajengeeni nyumba za kukaa hata mbili tatu za kuzuga na hyo bilion 100

HAYO NI BAADHI AMBAYO YAPO KICHWANI KWANGU ILA NAJUA KILA MTU ANA YAKE AKILINI.

Ni nini faida ya muungano kwa Tanzania bara?

mzalendo wa kweli.
Hapa kwetu lita ya mafuta ya kula imefika 9000
mkate- 1300
soda -700
mchele wa kawaida 1kg-2200

Chanzo ya picha ya budget -TBC
maoni yaliongezewa - Mzalendo wa kweli

Nawasilisha.

20220406_223926.jpg
 
habari zenu wakuu?
kama nitamkwaza mtu naomba nisamehewe lakini siwezi kukaa kimya.

Serikali imetoa mpangilio wa matumizi ya mkopo wa IMF , Tsh Trillion 1.3 za kitanzania.

kama ifuatavyo;

(i). sekta ya maji- Billion 139.4
(ii).Elimu -Billion 368.9
(iii).Afya - Billion 90.2
(iv).Jamii yenye maisha duni - Billion 5.5
(v). makundi maalum - Billion 5
(vi).shughuli za uratibu - billion 5

source ya picha ya budget -TBC
maoni yaliongezewa - Mzalendo wa kweli

nawasilisha.

View attachment 2178825

Sent from my SM-M307F using JamiiForums mobile app

Billion 231 zaenda zanzibar ndio mtambue umuhimu na hasara za baba wa Taifa.​

Na kwenye kulipa nao SMZ watachangia sh ngapiiii???
 
Tanganyika tunarudi nyuma kwa spidi ya mwanga huku Zanzibar ikichanja mbuga kuelekea kwenye neema.
Zanzibar acha waitumue vyema fursa waliyo ipata. Inaweza isijirudie tena. Na baada ya miaka 20 tukiendelea hivi zanzibar haitakamatika. Kuna uwezekano mkubwa wananchi wa kule wakapata benefits nyingi na bora sana.

Jiulize deni tunalo wadai la umeme wamesha lilipa? Au wanatulalia tu
 
Back
Top Bottom