Muungano wetu: Mgao wa Fedha za IMF na Zanzibar kupewa asilimia 18, ni sahihi?

Dawa hapa ni katiba bora, hata awamu iliyopita, pesa nyingi za mikopo zilienda kuinenga Chato. Kila kitu kilikuwa ni Chato
Hilo ndio suluhisho Katiba mpya na serikali ziwe Tatu, Serikali ya Tanganyika, Serikali ya Zanzibar, Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania hizi chokochoko tunazifukia baharini[emoji3][emoji3]
 
Hilo ndio suluhisho Katiba mpya na serikali ziwe Tatu, Serikali ya Tanganyika, Serikali ya Zanzibar, Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania hizi chokochoko tunazifukia baharini[emoji3][emoji3]
Serikali tatu kaziundeni na Burundi. Zanzibar inataka mamlaka kamili (full sovereignity).
 
Serikali tatu kaziundeni na Burundi. Zanzibar inataka mamlaka kamili (full sovereignity).
Hamkuweza mwaka 1964 kupata full sovereignty utaipata leo 2022 ingali Raisi wa Jamhuri wa Tz leo hii ni Mzanzibar kinachoshindikana nini kupata hiyo Full sovereignty au unawaza kwakufikilia nyayo mkuu.
 
Hakuna pesa ya miundombinu halafu kodi inatumika kulipa madeni, baada ya miaka kadhaa nchi itakuwa ni mashimo mashimo
 
Zezeta wewe, Chato airport billion 109,wacha miradi mingine, mbona hamkupiga kelele
 
Daah ...nimeumia sana mkuu hivi kwanini hii sirikali inafanya hvi?
Sijui mkuu, mtag BiM umuulize hilo swali hata kama hatajibu but atasoma na the day has come atajibu even kupitia podium.
 
Deni la umeme limeshafutwa mara mbili sasa huwa hawalipi
 
Hapa ndiyo siwaelewi VIONGOZI

SEKTA YA KILIMO inayolisha watanzania kwenye huo mkopo haijatengewa chochote

Tunalalmika maisha kuwa magumu sababu hatuwez kupata Milo 3 yenye mlo kamili
Alafu eti kuna pesa ya jamii ya watu duni najiuliza wanaenda kuwafanya nini hao watu na tuna uhakika gani kama zitawafikia walengwa.
 
Hiki ni kiporo,tulishajadili kitambo
 
Miaka yote mikopo ikitoka inatumika bara tu, na wazenji hawakuruhusiwa kukopa kama wao,, watu wa bar tuna ubinafsi sana[emoji28]
 
Hamkuweza mwaka 1964 kupata full sovereignty utaipata leo 2022 ingali Raisi wa Jamhuri wa Tz leo hii ni Mzanzibar kinachoshindikana nini kupata hiyo Full sovereignty au unawaza kwakufikilia nyayo mkuu.
Kwa nini hamtaki kuungana na Burundi mpate hizo serikali 3 mnazotaka? 1964 Zanzibar ilikosa silaha za kupambana na genge la akina Okello na wenzake waliovamia Zanzibar. Zingekuwepo ingetokea kama kinavyotokea Ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…