Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ndio suluhisho Katiba mpya na serikali ziwe Tatu, Serikali ya Tanganyika, Serikali ya Zanzibar, Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania hizi chokochoko tunazifukia baharini[emoji3][emoji3]Dawa hapa ni katiba bora, hata awamu iliyopita, pesa nyingi za mikopo zilienda kuinenga Chato. Kila kitu kilikuwa ni Chato
Serikali tatu kaziundeni na Burundi. Zanzibar inataka mamlaka kamili (full sovereignity).Hilo ndio suluhisho Katiba mpya na serikali ziwe Tatu, Serikali ya Tanganyika, Serikali ya Zanzibar, Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania hizi chokochoko tunazifukia baharini[emoji3][emoji3]
Hamkuweza mwaka 1964 kupata full sovereignty utaipata leo 2022 ingali Raisi wa Jamhuri wa Tz leo hii ni Mzanzibar kinachoshindikana nini kupata hiyo Full sovereignty au unawaza kwakufikilia nyayo mkuu.Serikali tatu kaziundeni na Burundi. Zanzibar inataka mamlaka kamili (full sovereignity).
Hakuna pesa ya miundombinu halafu kodi inatumika kulipa madeni, baada ya miaka kadhaa nchi itakuwa ni mashimo mashimoHabari zenu wakuu?
Kama nitamkwaza mtu naomba nisamehewe lakini siwezi kukaa kimya.
Serikali imetoa mpangilio wa matumizi ya mkopo wa IMF , Tsh Trillion 1.3 za kitanzania.
Kama ifuatavyo;
(i). Sekta ya maji- Billion 139.4
(ii). Elimu -Billion 368.9
(iii). Afya - Billion 90.2
(iv).Jamii yenye maisha duni - Billion 5.5
(v). Makundi maalum - Billion 5
(vi). Shughuli za uratibu - billion 5
(vii). SERIKALI YA ZANZIBAR - BILLION 231
********************************************
* Yani Tanzania bara tupo zaidi ya million 55 ila jamii yenye mazingira magumu inapewa billion 5 wakati kwa takwimu za harakaharaka nadhani inakadiriwa waTz wenye maisha duni ni zaidi ya million 7. ni dhahiri hiyo hela haitoshi kbsa maana hata watu wa tasafu wanalipwa kiduchuuuuuu.
*Zanzibar ina wakazi zaidi ya 1 million kwanini fedha zote hizi ziende kwao ilihali serikali ingepunguza walau billion 100 na kuzijaza kwenye yafuatayo...
-mikopo ya vijana yenye riba nafuu au 0% riba
-kuongeza hela kwenye hiyo bajeti ya afya ili hospitali za wilaya na zahanati za kata vijijini vikapata vifaa pungukiwa.
-basi jamani hata walimu kadhaa wajengeeni nyumba za kukaa hata mbili tatu za kuzuga na hyo bilion 100
HAYO NI BAADHI AMBAYO YAPO KICHWANI KWANGU ILA NAJUA KILA MTU ANA YAKE AKILINI.
Ni nini faida ya muungano kwa Tanzania bara?
mzalendo wa kweli.
Hapa kwetu lita ya mafuta ya kula imefika 9000
mkate- 1300
soda -700
mchele wa kawaida 1kg-2200
Chanzo ya picha ya budget -TBC
maoni yaliongezewa - Mzalendo wa kweli
Nawasilisha.
Zezeta wewe, Chato airport billion 109,wacha miradi mingine, mbona hamkupiga keleleHabari zenu wakuu?

Mngelalamika na Magufuli alivyokuwa anaipendelea chato,Tanganyika tunarudi nyuma kwa spidi ya mwanga huku Zanzibar ikichanja mbuga kuelekea kwenye neema.
Sijui mkuu, mtag BiM umuulize hilo swali hata kama hatajibu but atasoma na the day has come atajibu even kupitia podium.Daah ...nimeumia sana mkuu hivi kwanini hii sirikali inafanya hvi?
Deni la umeme limeshafutwa mara mbili sasa huwa hawalipiZanzibar acha waitumue vyema fursa waliyo ipata. Inaweza isijirudie tena. Na baada ya miaka 20 tukiendelea hivi zanzibar haitakamatika. Kuna uwezekano mkubwa wananchi wa kule wakapata benefits nyingi na bora sana.
Jiulize deni tunalo wadai la umeme wamesha lilipa? Au wanatulalia tu
Unaona sasa. Na tozo wwanazo chukua zinaenda wapi au mratibu mkuu ni mainland?Deni la umeme limeshafutwa mara mbili sasa huwa hawalipi
Alafu eti kuna pesa ya jamii ya watu duni najiuliza wanaenda kuwafanya nini hao watu na tuna uhakika gani kama zitawafikia walengwa.Hapa ndiyo siwaelewi VIONGOZI
SEKTA YA KILIMO inayolisha watanzania kwenye huo mkopo haijatengewa chochote
Tunalalmika maisha kuwa magumu sababu hatuwez kupata Milo 3 yenye mlo kamili
Mbona Chato ilijengwa Airport kubwa kuliko Mtwara wakati Mtwara watumiaji wa kiwanja cha ndege ni wengi kuliko Chato??Tanganyika tunarudi nyuma kwa spidi ya mwanga huku Zanzibar ikichanja mbuga kuelekea kwenye neema.
Hiki ni kiporo,tulishajadili kitamboHabari zenu wakuu?
Kama nitamkwaza mtu naomba nisamehewe lakini siwezi kukaa kimya.
Serikali imetoa mpangilio wa matumizi ya mkopo wa IMF , Tsh Trillion 1.3 za kitanzania.
Kama ifuatavyo;
(i). Sekta ya maji- Billion 139.4
(ii). Elimu -Billion 368.9
(iii). Afya - Billion 90.2
(iv).Jamii yenye maisha duni - Billion 5.5
(v). Makundi maalum - Billion 5
(vi). Shughuli za uratibu - billion 5
(vii). SERIKALI YA ZANZIBAR - BILLION 231
********************************************
* Yani Tanzania bara tupo zaidi ya million 55 ila jamii yenye mazingira magumu inapewa billion 5 wakati kwa takwimu za harakaharaka nadhani inakadiriwa waTz wenye maisha duni ni zaidi ya million 7. ni dhahiri hiyo hela haitoshi kbsa maana hata watu wa tasafu wanalipwa kiduchuuuuuu.
*Zanzibar ina wakazi zaidi ya 1 million kwanini fedha zote hizi ziende kwao ilihali serikali ingepunguza walau billion 100 na kuzijaza kwenye yafuatayo...
-mikopo ya vijana yenye riba nafuu au 0% riba
-kuongeza hela kwenye hiyo bajeti ya afya ili hospitali za wilaya na zahanati za kata vijijini vikapata vifaa pungukiwa.
-basi jamani hata walimu kadhaa wajengeeni nyumba za kukaa hata mbili tatu za kuzuga na hyo bilion 100
HAYO NI BAADHI AMBAYO YAPO KICHWANI KWANGU ILA NAJUA KILA MTU ANA YAKE AKILINI.
Ni nini faida ya muungano kwa Tanzania bara?
mzalendo wa kweli.
Hapa kwetu lita ya mafuta ya kula imefika 9000
mkate- 1300
soda -700
mchele wa kawaida 1kg-2200
Chanzo ya picha ya budget -TBC
maoni yaliongezewa - Mzalendo wa kweli
Nawasilisha.
Miaka yote mikopo ikitoka inatumika bara tu, na wazenji hawakuruhusiwa kukopa kama wao,, watu wa bar tuna ubinafsi sana[emoji28]Ndo nikakamwambia mwanzo km ww unavolalamika na Wazanzibar miaka ya nyuma walikuwa wanalalamik moja ya kero za muungano kuhusu mikopo Zanzibar haiwezi pata mkopo nje hata kama kuna mfadhili tayari yupo kibali lazima kitoke Tanganyika nawao wapewe kidogo sio kile walichoomba nafikiri sasa hivi hiyo kero imetatuliwa ndomana unaona kuna percent maalum inaenda huko inabidi uzoee lkn inavoonekana kero hiyo inageuka kwa watanganyika kuona Zanzibar inapendelewa [emoji3][emoji3]
Hiyo katiba ataandika nani?,Dawa hapa ni katiba bora, hata awamu iliyopita, pesa nyingi za mikopo zilienda kuijenga Chato. Kila kitu kilikuwa ni Chato
Kwa nini hamtaki kuungana na Burundi mpate hizo serikali 3 mnazotaka? 1964 Zanzibar ilikosa silaha za kupambana na genge la akina Okello na wenzake waliovamia Zanzibar. Zingekuwepo ingetokea kama kinavyotokea Ukraine.Hamkuweza mwaka 1964 kupata full sovereignty utaipata leo 2022 ingali Raisi wa Jamhuri wa Tz leo hii ni Mzanzibar kinachoshindikana nini kupata hiyo Full sovereignty au unawaza kwakufikilia nyayo mkuu.