Muwekezaji kutoka Tanzania bara apigwa stop kuanzia January

yaani mnafunga skuli mnafungua macassino ya wa italiano na Wagiriki...
 
Yani wale wa babu walituingiza chaka Sana. Hawa wazanzibar ni kama tunawalazimisha kwenye huu Muungano wa michongo, ili hali inatugharimu sisi watanganyika kwa koti la Tanzania.

[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]Tanganyika ingekua ya waarab usingesikia haya mambo nikwasababu ni black people na wenyewe wanajikuta waarabu what do you expect haha
 
Acha povu kubalini yaishe Zanzibar elimu dunia kwenu hajawahi kuwa kipaumbele
 
Labda serikali ya Zanzibar inatoa ruzuku kwa shule binafsi
 
Nyinyi watanganyika hemu acheni tabia zenu za kibishi bishi mnavokuja kuweleza huku visiwani. Zanzibar tuna ustaarabu wetu kwaio mkija huku muwe mnakuja na adabu zenu
Acha kuongea umavi huo kwahiyo na nyie mkija bara muwe na adabu utaona mnatupa mikanzu na nikabu zenu mnang'ang'ania suti na mademu zenu jeans 😁😁😀😀😃😃 mnaacha vyenu mkivuka tu bahari
 
Nyinyi watanganyika hemu acheni tabia zenu za kibishi bishi mnavokuja kuweleza huku visiwani. Zanzibar tuna ustaarabu wetu kwaio mkija huku muwe mnakuja na adabu zenu
Nonsense, ustaarabu gani mlionao?
 
Siku moja nipo zanzibar naona kundi kubwa la watoto wa shule wamezagaa forodhani na walimu wao wamejikumbiliza hijab na bus la shule limepaki pale... kuuliza eti wanafunzi wa boarding wameletwa kula urojo
 
Shida ipo wapi hapo...unaishi kwa complications zisizo na mashiko.
 
Sasa hiyo si ni Private school!!!!!!! Sasa kwani hao wazee walilazimishwa watoto wao wasome hiyo shule? Mambo mengine ni ya ovyo kabisa.
 
Huyo eden nae ni tatizo.
analetaje jeuri ugenini si afuate tu sheria, itamgharim nin.

Ni kweli mmiliki ni mkristu.lakn watoto ni both, wakristo na waislamu (in large number)

Aruhusu dini zote zifundishwe.hata na wao hawajakataa mafundsho ya kikristo kwa watoto walengwa.

Ada kupaa kiholela nalo ni tatizo..kwanza shule ya dini haipaswi kuwa too profit oriented.

Japo mimi sio muislam.lakn nakubaliana na hoja za wenyeji.
 
Nyinyi watanganyika hemu acheni tabia zenu za kibishi bishi mnavokuja kuweleza huku visiwani. Zanzibar tuna ustaarabu wetu kwaio mkija huku muwe mnakuja na adabu zenu
Jina la mwenye shule kama la kichina hivi, Acha ubaguzi!
 
Mkivunja muungano mtajuta majuto makuu
 
ALifutia matokeo hakufungui, Kwa kifupi Wana ushirikiano kwenye masuala ya mitihani ya kidato cha nne na tena ni hiari kwa maana makubaliano ila sio takwa la kisheria.
 
aleesha

Acheni kushabikia mambo ya kipuuzi

"Ameyataja baadhi ya malalamiko hayo ni pamoja na Wanafunzi wa kislam kutosomeshwa somo la dini ya kislaam na kiarabu, kulazimishwa kujifunza dini ya kikiristo, kutotakiwa kufunga katika mwezi mtukufu wa Ramadhan na Wanafunzi kutoruhusiwa kuvaa hijabu."
 
Nyinyi watanganyika hemu acheni tabia zenu za kibishi bishi mnavokuja kuweleza huku visiwani. Zanzibar tuna ustaarabu wetu kwaio mkija huku muwe mnakuja na adabu zenu
Ustaarabu upi unao uongelea? Huu ulioletwa na waarabu enzi za utwana na utumwa?
 
sasa si wabadilishe shule tu, au wanalazimishwa kusoma hapo? hio ni private school sio ya serekali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…