Muwekezaji kutoka Tanzania bara apigwa stop kuanzia January

Muwekezaji kutoka Tanzania bara apigwa stop kuanzia January

Siku zote nawaona wazinzibar kama mapunguani fulani bado wana hulka za kishamba za uarabu ( ubaguzi) siwapendi kutoka moyoni
Na wao hawakupendi.
Ila wewe ndio punguani.
Ukitaka kupakuliwa useme.
 
Wanzanzibari wenyewe hawapendi shule, hivi kweli mtu anaenda shule afundishwe kiarabu, uislamu si akajifunze akitoka shule ama likizo?ndio maana wanafeli Sana kwa kuendekeza ujinga wao
[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Na wao hawakupendi.
Ila wewe ndio punguani.
Ukitaka kupakuliwa useme.
Kapimwe ubongo huo kimekuuma nn au na ww mmojawapo wa mapunguani aseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama kuvaa vazi la hijab, kufunga Ramadhan, kusoma somo la dini ya kiislam na lugha ya kiarabu ni miongozo ya Wizara katika kuendesha shule basi kuna shida mahali fulani😳
Shida unayo wewe.
 
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, imeifutia usajili Skuli ya Eden inayomilikiwa na Shirika la Afrika Agape Association kuanzia Januri 3 mwakani.

Hatua hiyo imefikiwa baada ya Wizara kubaini mmiliki wa Skuli hiyo kuendesha Skuli kinyume na sheria, miongozo na kanuni za Wizara.

Akizungumza na wamiliki wa Skuli hiyo huko Shakani Kaimu Mrajis wa Elimu na Katibu wa Baraza la Elimu Zuwena Mataka Hafidh, amesema kumekuwepo malalamiko mbalimbali yaliyowasilishwa na wazazi hali iliyopelekea Wizara kuchukua maamuzi hayo.

Ameyataja baadhi ya malalamiko hayo ni pamoja na Wanafunzi wa kislam kutosomeshwa somo la dini ya kislaam na kiarabu, kulazimishwa kujifunza dini ya kikiristo, kutotakiwa kufunga katika mwezi mtukufu wa Ramadhan na Wanafunzi kutoruhusiwa kuvaa hijabu.

Malalamiko mengine amesema kupandishwa ada bila ya utaratibu, kutokuwa na mashirikiano mazuri baina ya wazazi, walimu na mmiliki wa skuli na mmiliki huyo kuendesha skuli kwa hisia zake binafsi.

Aidha amebainisha kuwa malengo ya Wizara sio kuifutia leseni Skuli hiyo bali ni kuhakikisha inafuata sheria na miongozo ya Serikali katika kuendesha Skuli yao.

Kaimu Zuwena, amebainisha kuwa mmiliki wa Skuli hiyo amekuwa mgumu kufuata sheria na miongozo ya Wizara na kuendesha Skuli yake anavyotaka yeye jambo ambalo halivumiliki.

“Haiwezekani Skuli kuendeshwa bila ya kufuata miongozo ya Wizara kwani tuna skuli 590 hatutakuwa tayari kuona mmiliki yoyote wa skuli binafsi anakwenda kinyume na utaratibu na hatutasita kuchukua hatua,” amesisitiza.

Hata hivyo, amesema Skuli hiyo imekuwa ikifatiliwa mara kwa mara na kupewa maagizo ya kurekebisha kasoro hizo lakini haizingatii maagizo anayopewa na badala yake kuendelea kuendesha skuli kinyume na sheria.

Amesisitiza kuwa skuli yoyote ya binafsi inatakiwa kufuata sheria, miongozo na mambo mbalimbali yanayotolewa na wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.

Nae Afisa Elimu Taaluma Mkoa wa Mjini Magharibi, Amosi John Henock, amesema toka skuli hiyo kusajiliwa mwaka 2010 imekuwa ikijitokeza migogoro baina ya mmiliki na jamii pamoja na kushindwa kujirekebisha baadhi ya kasoro ambazo alitakiwa kuzifanyia kazi.

Aidha amesema Skuli hiyo imeshawahi kufungiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud na kutakiwa kurekebisha kasoro zilizoonekana lakini aliendelea kukaidi.

Amesisitiza kuwa Skuli hiyo haitaendelea kufundisha mpaka pale itakapokubali kwenda sambamba na maagizo ya Serikali katika kuwapatia watoto elimu.

Amesema hata katiba ya Zanzibar imeeleza wazi kwamba mtu yoyote hapaswi kufanya jambo lolote kwa lengo la ubaguzi wa moja kwa moja ama kwa taathira yake.

Kwa upande wake Sheha wa Shehia ya Shakani bi Mwanaisha Khamis Rashid amebainisha kuwa mara nyingi amekuwa akikaa na uongozi wa Skuli hiyo katika uendeshaji elimu kwa kufuata miongozo na mitaala ya Wizara lakini hakuifuata.

Nae mmiliki wa skuli hiyo bwana Youung Am Kim ameahidi kuheshimu maamuzi ya Wizara ya Elimu ya kutofungua Skuli na hiyo na kuwajuillisha wazazi juu ya suala hilo.

Aidha amesema atahakikisha anafuata sheria ya elimu ya Zanzibar na kuondoa changamoto ambazo zinalalamikiwa kupitia Skuli yake.

Akizungumza kwa niaba ya walimu wenzake Mwalimu Ummy Aga amesema wameweka jitihada binafsi kwa wanafunzi wao kuona wanafanya vizuri katika mitihani yao na kujipima katika ufundishaji lakini kufutwa kwa Skuli hiyo imeondosha ndoto yao kwa Wanafunzi wao.
Mungu ibariki Jamhuri ya watu wa Zanzibar
 
Hivi Tanganyika inanufaika na nini Na Zanzibar hadi kuendelea kuwabeba hawa Watu?

Inaonekana mambo ya Tanganyika Ndio mambo ya Muungano na Mambo ya Zanzibar ni mambo ya Zanzibar!!!!

Inakuaje watu kutoka Tanganyika wamepigwa marufuku kufanya kazi Serikali ya Zanzibar ili hali wazanzibar ni wamejazana huku Tanganyika hadi Kuziba Ridhiki zetu...

Watanganyika tuache kuona kila jambo alilofanya Nyerere ni Hazina ili hali na yeye ni Mtu...
Hata Vitabu vya dini vinatutaka Kuhoji kila kitu...

Hofu yangu sasa hivi ni pale atakapoteuliwa Mkuu wa Majeshi, Intelligence, Police na Prisons kutoka Zanzibar ndipo tutakapo ita maji Mma!!

Mimi naona Bora watanganyika nao waanze tu Kuwabagua wazanzibar kama wao was anavyotubagua sisi!

Hawa watu wanabenefit sana na hili limungano
Hata loans chuo yanapata kotekote Heslb yakiomba yanapewa na kule Zanzibar yanapewa!

Kuna jamaa nimesoma nae alikuwa Loan beneficiary’ wa Bodi zote aghaaa!!

Watanganyika tuwe makini
Yaani sijui walizindika vitu gani kuendelea na huu muungano wa hivi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo Kama umesikiliza vizuri wenye shule ndio wanaotaka kuleta udini utamlazimishaje kumfundisha mtu masomo ya dini isiyokuwa yake hiyo ni shule ya wanafunzi mchanganyiko mmiliki wa shule aache ubaguzi

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kwani huyo mwenye shule kawalazimisha kwenda kusoma pale? Si wameenda kutafuta elimu kwanini wasifuate kilicho wapeleka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom