Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Impossible, huwezi kuingia masijidi eti uswali hata kama wewe ni budha,,mhhh mbona kama issue ya kidini inataka kushika hatamu hapa.
Wale walosoma shule za seminari najua wanajua utaratibu wa shule za namna hiyo, yan pale ni sala asubuhi sala usiku, yan kilamtu lazima ajue BABA YETU sasa huku nako vipiiiii, na wale waosoma shule za kiisilamu lazima wato wafunge ijabu, waingie msikitini kila ijumaa sasa hao vipi kwani?
Tatizo la imani zingine, suala la kupata waumini wamelifanya kama a do or die project,,
Mfano sisi wa imani ya kiyahudi,, huwa hatuhubiri dini yetu,, yaani kizuri hakihitaji jitihada nyingiii kuuzika,
[emoji23][emoji23]