inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Sensa hii ukifanya lini?..tabora,tanga,pwani,dar,Lindi,mtwara,ruvuma,Zanzibar yote no waislam so chini ya 75%..mbeya,Arusha wakiristo wengi,Kilimanjaro,iringa,dodoma,kigoma,morogoro Kuna waislam wengi tu,wasukuma zaidi ya 80% wapaganiNi obvious Tz Batra Waislamu ni wengi Mikao mitatu tu Kati ya 26. Tanga, DSM, na Lindi.
Pia Mikao minne ni 50/50. Mtwara, Morogoro, Dodoma, Tabora,
Mikoa mingine 20 ni 80-90% Wakristo.