Muwekezaji kutoka Tanzania bara apigwa stop kuanzia January

Kabla ya mtoto kujiunga na shule kuna sheria za shule anapewa na anasign yeye pamoja na mzazi kukubaliana nazo, sasa kama sheria huziwezi si unamuhamisha mtoto wako shule nyingine, iweje ukubaliane na sheria, halafu baadae uje kugeuka?
 
Necta wanaratibu mitihani tu na si kuwapangia sheria za uendeshaji shule zao na tamaduni zao
Kwenye Hilo la kufungia hiyo Shule wamechemka tena mno wanaanzisha mgogoro usio na sababu uliohitaji hekima ndogo TU kumwambia mzazi peleka mwanao kwingine atakakuwa anashida anatiririka Aya za kurani na kuwrweseka Kwa kuongea kutwa lughaya kiarabu na kushinda msikitini akiswali swala tano
 
Mwishoe wataanzisha sheria kuwa ukitaka kufanya kazi au biashara yoyote Zanzibar lazima ufanyiwe interviews ya kiarabu na dini ya kiislamu!
 
Wangekuwa hawana sheria za kuendesha skuli kungekuwa na tatizo hapo suala ni kufuata sheria tu au kama mmezichoka mzibadili utaratibu wake unafahamika pia
 
Hicho ndo wazanzibar wanachotaka maana muungano unawachelewesha kufikia maendeleo
 
Tatizo ni kuwa unakuta hizo shule za kukesha msikitini wanafunzi wanafeli kinoma kasoro somo la dini tu,,,, lakini shule za makafiri ndio zina ufaulu mkubwa. kwahiyo wanataka kupeleka watoto kwenye shule zenye ufaulu mkubwa lakini hawataki kufata mambo ya kikafiri
 
Nyinyi watanganyika hemu acheni tabia zenu za kibishi bishi mnavokuja kuweleza huku visiwani. Zanzibar tuna ustaarabu wetu kwaio mkija huku muwe mnakuja na adabu zenu
Afukuzwe tu, huwezi kufanya anavyotaka yeye.. Eboo
 
Hicho ndo wazanzibar wanachotaka maana muungano unawachelewesha kufikia maendeleo
yep, wao wanataka mtanganyika mweusi aondoke ili aingie muarabu wa oman huenda ndio watapata maendeleo ya kasi
 
Huu ni udinibulivuka mipaka. Yani shule ya Kikristo anataka ifuate misingi ya dini ya kiislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…