Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #41
Kwenye hili la kufanya ziara unanikumbusha kuna duka la kuuza kaseti za nyimbo za Kongo lilikuwa linaitwa Bukavu Music Center pale Kurasini huku Dar wanamuziki wengi wa Kongo waliokuwa wanakuja kufanya show walikuwa hawawezi kuondoka pasipo kwenda kujuliana hali na yule jamaa mmiliki.Nafikiri ukiachilia umahiri wa kuimba kwa sauti nzuri zilizopangiliwa, upigaji na utumiaji wa vyombo vya muziki na hata kucheza, kilichofanya nyimbo zao kuenea duniani ni jinsi walivyoendelea katika kuzirekodi, kuzidurufu, na usambazaji wake. Pengine waligundua mapema studio za kurekodi na hatimaye kuzalisha kwa wingi iwe ni kaseti au sahani za muziki wao na kuzisambaza mpaka huku kwetu. Na zaidi wakaanza kufanya ziara kwa wapenzi wa muziki wao.
Hii ya majina ya asili hata mimi ninaipenda sana kwa maana utakuta shuleni ukiita "Fatuma Bakari" wanakuja hao watoto hata kumi lakini laiti kama tungekuwa na huu utaratibu wa majina ya asili ninadhani hii shida isingekuwepo kabisa mkuu...Congo wenyewe kwanza walipenda utamaduni wao, nadhani pia ilichangiwa na mobutu alipopiga marufuku mambo yote ya kigeni, mpaka ukizaa mtoto shuleni ni lazima umwandikishe kwa jina la asili,
Daaah, umenikumbusha mbali saaana mkuu. Hao guitarists bado wapo hai mpaka sasa mzee baba.Hivi hawa wapiga gitaa maarufu enzi hizo dali kimoko na lukasa yambongo bado wapo hai?
Mimi pia nazipenda sana, japo sijui wanachoimba.Kuna nyimbo za Pepe Kalle ninazo katika laptop nikiwa ninazisikiliza haziishi ladha kabisa...
Ni Mimi[emoji1][emoji1]Anaitwa Franco Makiadi...
Mário,pesa position,mamuu,bina na ngai,kimpa kimsangameni,Fabrice ,muya, bureau de coers, attention na sida,candidate de mobutu,Helene,colonel bangala,fc 105 du Gabon,matata ya mwasi, cooperation odongo,1200 letters,lisolo ya Nzambe na Adamo,liberte, republique du Zaire,azda,muongo na mulozi,Nyimbo zake kadhaa ninazipenda sana aisee. Aliwahi kukosana na dikteta Mobutu
I'd yako umenikumbusha msanii matata wa Congo Ndombe OpetumAlipounga juhudi wakawa mabest.
Dikteta ni kiumbe kilichokosa kusifiwa utotoni, ukitaka kula vya dikteta msifie,mpambe,muabudu thus akamtungia wimbo wa Candidate mobutu.Ukamkuna mobutu balaa
NaamMalizia " Luanzo Luambo"
Miaka ya 50 na 60 muziki uliopendwa sana ulikuwa wa Kongo na Kenya, Tanzania tulikuwa watu wa kukopi tu kila wimbo mpya unapotoka.Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?
View attachment 1644761
Mbali na D.R.C nchi yetu ya Tanzania pia imepakana na jirani zake kama vile Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi na Msumbiji.
Ninakumbuka enzi zile nipo mtoto baba yabgu alikuwa anawapenda sana wanamuziki kama akina M'bilia Bel, Madilu Système, Sam Mangwana, Pepe Kalle and Empire Bakuba, Diblo Dibala, Bozi Boziana pamoja na Awilo Longomba.
Kwanini ni muziki wa Zaire tu na sio hizo nchi zingine zilizopakana na Tanzania?
View attachment 1646545
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Chanzo cha wao kuujua ni nini?hao jamaa wanajua mziki tafuta ngoma ya fally ipupa one love
Kwanini wanajua sana kuzidi wengine?Mi mwenyewe na usista duuu wangu lkn nazipenda
Kitu " papa mobimba eeh, daya shop"
Nampenda sana le grand mopao
Mziki gani wa Kenya uliwahi kupendwa hapa Tanzania mkuu?...Miaka ya 50 na 60 muziki uliopendwa sana ulikuwa wa Kongo na Kenya,
Waliwezaje kuwa "the best"? Ipi ni siri ya mafanikio yao?Acheni Congo ni kitu mimgine katika Music ya burudani