Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?
View attachment 1644761
Mbali na D.R.C nchi yetu ya Tanzania pia imepakana na jirani zake kama vile
Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi na Msumbiji.
Ninakumbuka enzi zile nipo mtoto baba yabgu alikuwa anawapenda sana wanamuziki kama akina M'bilia Bel, Madilu Système, Sam Mangwana, Pepe Kalle and Empire Bakuba, Diblo Dibala, Bozi Boziana pamoja na Awilo Longomba.
Kwanini ni muziki wa Zaire tu na sio hizo nchi zingine zilizopakana na Tanzania?
View attachment 1646545
USISAHAU:
ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.