Mvua kubwa DSM, klabu ya Yanga yazingirwa na maji muda huu

Hapa ndipo sehemu ambayo serikali inapaswa kutengeneza barabara za juu kwa haraka saana
Bora pasitengenezwe ili iwe sehemu ya utalii, kuvutia watalii kuja kuona barabara ambayo kila msimu wa mvua inafungwa na kufunguliwa.
Itaonesha pia wataalam waliokuwa wanatengeneza hiyo barabara ya mwendokasi ambavyo walishindwa kufanya simulation ya 10years.
Nakuhakikishia, kwa mazingira ya hapo jangwani bila kuangaliwa chanzo cha mafuriko ni nini ili yathibitiwe kuanzia mwanzo tofauti na hapo maji yatapita juu ya daraja la juu hiyo.
 
Kwa hiyo ikijenga daraja kama la tazara yatapita tena?? Unajua daraja wana maanisha fly over ..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…