Na wwe itabidi nikupige Gridlock moja ya nguvu alafu nikuvute tena Dar![emoji3][emoji2957][emoji2]Khaaa yaan we na hili neno[emoji849][emoji849][emoji849]
' Gridlock this
' Gridlock that
[emoji848][emoji848][emoji849][emoji849]
Bali kunaongeza exposure!!Kuishi nchi mbalimbali duniani hakuondoi ushamba.
Wakuja watakubishia!!Hata huko mbelez kunakuwa na mafoleni balaa.
Unatumia criteria zipi kutambua kwamba atajibu kwa jazba?Swali zuri sana,sema lazima atajibu kwa Jazba!!
Wwe unajadili au unailalamikia Serekali tu Kama vile ndiyo inamiliki Mvua!?Na by the way,
Ukishaona mtu anakuja kwenye uzi kama huu ambapo watu wanajadili mafuriko na adha za usafiri jijini Dar, yeye anaanza kukuambia eti hata Joberg, sijui London nako hua kuna mafuriko, so what? Kwahiyo kama huko kuna mafuriko maanake sisi hatuwezi ku improve huku kwetu? Kwahiyo watu waliofika majumbani saa 10 alfajiri wasilalamike kisa Joberg nako kuliwahi kutokea mafuriko? Ndio maana nasema kutembea nchi mbalimbali na kujidai kwamba una exposure hakumuondolei mtu kale ka ushamba ka asili ambako alitoka nako kijijini na lazima kataonekana tu hawezi kukaficha!
Sasa wwe tatizo la Gridlock limesababishwa no Morther nature lakini yeye lawama zote kwa Ma traffic!!
Kuanzia gingo la mboto hadi chanika na majohe yote hiyo usijiroge kununua kiwanja kipindi cha kiangazi.Basiyaya ni jipu. Napajua vizuri sana, naishukuru mvua kuna jamaa alitaka niuzia kiwanja kipindi fulani, sio kipindi cha mvua ila wiki iliyofuata ghafla Mungu akashusha bonge la mvua ya ghafla! Nikamwambia jamaa naenda cheki kiwanja, Nikaenda, nikakuta nyumba ziko baharini yani mabati ndio yanaonekana. Nikamshukuru Mungu na kuwaonea huruma wakazi wa maeneo hayo kisha nikasepa! Jamaa Hajanitafuta tena..
Dar yote ni Kama Mwili wa Binaadamu! Asimia kubwa ni eneo la Maji!!Kuanzia gingo la mboto hadi chanika na majohe yote hiyo usijiroge kununua kiwanja kipindi cha kiangazi
Twende taratibu mtaalamu, morther maana yake nini?Sasa wwe tatizo la Gridlock limesababishwa no Morther nature lakini yeye lawama zote kwa Ma traffic!!
Rudi kwenye hoja ya msingi,na ndiyo ajenda kuu!!
Along the way lazima tuwe tunaelekezana mambo madogo madogoRudi kwenye hoja ya msingi,na ndiyo ajenda kuu!!
Sasa wwe unataka kutuchelewesha,wakati Mambo ni mengi sema muda ndiyo mchache!!
Wenye mambo mengi hawapo JF muda huu ndugu mjumbe.Sasa wwe unataka kutuchelewesha,wakati Mambo ni mengi sema muda ndiyo mchache!!
Kamanda usikariri sana Maisha!! Dunia iko kiganjani Sasa!!
Ok kamanda, naomba nijulishe basi maana ya neno morther ili twende sawaKamanda usikariri sana Maisha!! Dunia iko kiganjani Sasa!!
Nimefika home tisa na Nusu usiku.Duh
Mkuu ulifika saa ngapi?[emoji134]