Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane

Wale Wadau wa mwendo kasi mtujuze hali ipo vipi ktk usafiri huo maana saa hii Mungu kafungulia tena koki mvua inamwagika kwa mwendo kasi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Vibaya hivyo mtumishi... mie nikija kwa yule sista, jiandaeni kisaikolojia manake mahari yangu itakuwa Bible!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugu hatutakubali kabisa wallah!
Usipende vya bure 1st born bwana.

Tena nitakuwepo kwenye kamati ya kubargain mahari[emoji23][emoji23][emoji23]
 


Sawa yeye haishi hapo je wewe ukichaguliwa utakuja kuishi hapo? kumbe huyu naye ni short minded pastor
 
Madhara ya hizi mvua yatakuwa makubwa sana, kwa jiji lenye drainage system mbovu kuwa na mvua kubwa hivi ni hatari kwa wakazi wake. Ngoja tuone...
 
Hii mvua ni hatari sana huko Dar[emoji134]
Nimeona status ya mtu anaomboleza mwenzake alisombwa na mafuriko ya mvua akafa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…