mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Part 2 imeanza.Nikitazama anga naona kunaweza kuwa na part 2.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Part 2 imeanza.Nikitazama anga naona kunaweza kuwa na part 2.
HahahaSikukorofishi wala nini... nataka nikufanyie maombi tu St Anne ili hatimae nikujaze upako!
Vibaya hivyo mtumishi... mie nikija kwa yule sista, jiandaeni kisaikolojia manake mahari yangu itakuwa Bible!!Hahaha
Mahari iko palepale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vibaya hivyo mtumishi... mie nikija kwa yule sista, jiandaeni kisaikolojia manake mahari yangu itakuwa Bible!!
Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane.
Hii mvua itasaidia kupunguza vumbi kwa muda mrefu Jiji hili halikua na mvua.
Lakini pia Mvua hutuonyesha kwamba Mji wa Dar na miji mingine Mikubwa inatakiwa ipangwe hata kama Sio mji mzima lakini Maeneo yotr ya Miji hii Mikubwa Yanatakiwa kuwa Na water ways..Maji Mvua Yapite vizuri na maji taka yawe na Mifumo mizuri ya kuyabeba.
Inasikitisha sana kuona kila Open space katika Miji hii imevamiwa na kuuzwa au kujengwa .
Kila eneo la maji kupita Yamevamiwa Na kujazwa mavifusi na hatimae nyumba au biashara Kufunguliwa hapo Kuna kipindi alikuepo mtu pale Nemc akajaribu kuzuia nadhani alikwamba na hatimae alionja joto maana aligusa maslahi ya watu.
Mamlaka Za Maji zilinde vyanzo vyake..Nemc itumie sheria zake..Ardhi na Mipango miji nao watimize wajibu wao bila hivyo miaka nenda rudi shida hii haiishi.
Naona tunaelewana sasa.Part 2 imeanza.
' Nimeerewa' Tena leo twalala barabarani.Naona tunaelewana sasa.
Mungu aepushie mbali.' Nimeerewa' Tena leo twalala barabarani.
Hicho hicho ambacho wote twakitafutaKuna kitu anakitafuta
Ni kitu gani wote twakitafuta?Hicho hicho ambacho wote twakitafuta
Na hii mvua ya Dar baby hebu kisia mwenyewe.Ni kitu gani wote twakitafuta?
Sijui kukisia..Na hii mvua ya Dar baby hebu kisia mwenyewe.
Ya leo haina mafuriko??Part 2 imeanza.
Hata najua? inaanzaga mdogomdogo baada ya muda vyupi vinaanza kuelea 😔😔😔Ya leo haina mafuriko??
Hahahaaah poleni.Hata najua? inaanzaga mdogomdogo baada ya muda vyupi vinaanza kuelea 😔😔😔
Nakuja inboxSijui kukisia..
Halafu Mimi wa mkoani