Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliokuja warekebishe basiHaya ndo madhara ya kipara effects .Yule kenge kaacha sumu mbaya sana tanesco
Nimecheka hapo mabwawa yamepigwa bati ama kweli chadema ni sikio la kufa!Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La
Na mnaambiwa zaidi mvua hizo zinaharibu miundo mbinu na kuongeza matatizo .
TANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu.
Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema mvua hizo zimeleta athari katika miundombinu ya shirika katika baadhi ya maeneo, hivyo kuongeza changamoto katika upatikanaji wa umeme.
Walishasema, ni uchakavu wa mitambo iliyokosa matengenezo kwa muda mrefu....Asee! Wanasubiria jua liwake waseme mgao unasababishwa na ukosefu wa mvua🤔
Sasa hii mada inapinga kitu gani zaidi ya kusambaza taarifa nzuri ya mnene ?Watu wanaanzisha mada hata hawajui geography ya nchi.
Kupinga hakuhitaji akili
We Mzee upo?🤣🤣🤣🤣🤣
Hawa watu hawako serious kabisa.
Mwaka jana mvua ilikua nyingi sana.Mkuu mwaka jana mvua haikuwa nyingi ila ilinyesha vizuri kwa ajili ya mazao/wakulima mvua Ilikuwa inayesha ndogondogo kwa muda mrefu(maji yanaingia chini) kuhusu maji kumwagwa mtera kwa kweli hilo sijui
Kuharibu miundombinuSasa yanaenda wapi hayo maji...?
Wewe ni mtu wa Vitendo na mahesabu, type maelezo ya Hali ya maji ilivyo kwenye hayo mabwawaHii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La
Na mnaambiwa zaidi mvua hizo zinaharibu miundo mbinu na kuongeza matatizo .
TANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu.
Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema mvua hizo zimeleta athari katika miundombinu ya shirika katika baadhi ya maeneo, hivyo kuongeza changamoto katika upatikanaji wa umeme.
Nipo we kibabu..We Mzee upo?
Si mlisema tatizo ni JanuaryR.I.P Magufuli
Kwenye kipindi chako hatukuwahi kusikia huu upuuzi
Mbona walisema shida ni miundombinu sio maji!!ila maji yalimwagwa MAKUSUDI