Mvua zinazonyesha haziingizi Maji kwenye Mabwawa ya Umeme, acheni kulaumu kuhusu Mgawo
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La

Na mnaambiwa zaidi mvua hizo zinaharibu miundo mbinu na kuongeza matatizo .

TANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu.

Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema mvua hizo zimeleta athari katika miundombinu ya shirika katika baadhi ya maeneo, hivyo kuongeza changamoto katika upatikanaji wa umeme.
Si walisema tatizo si maji, ni miundombinu na ukarabati wa njia za umeme!
 
Duh kuzaliwa Tanzania ni changamoto sana.
 
20230920_074253.jpg
Tutakaa meza moja na mvua tuyajenge.

Ngoja tuweke solar tu. Kizimkazi hizi mambo hawezi...ni watu wa vitu laini laini tu...Jiwe aligonga aka 6 bila mgao....hawa umbwa sijui wanatuletea story gani asee
 
Back
Top Bottom