Wanasiasa wanajua kucheza na akili za watu, wakati ameteuliwa kuna lugha ilitumika ya kumtaka ndani ya miezi sita asisikie mgao wa umeme.
Hii ilinfanya nicheke sana, maana wote wanajua kuwa miezi ya kuanzia January mpaka April tayari mvua zitakuwa zimenyesha sana nyanda za juu kusini.
Na kwa sababu hiyo alipewa unafuu wa kutofikiria vyanzo vingine vya umeme.
Na kwa sababu hiyo kaamua aeleze habari za nvua na si vinginevyo.
Swali, je! kama mvua itagoma kunyesha nyanda za juu ndio utakuwa mgao wa milele?
 
Nimecheka hapo mabwawa yamepigwa bati ama kweli chadema ni sikio la kufa!
 
Wewe ni mtu wa Vitendo na mahesabu, type maelezo ya Hali ya maji ilivyo kwenye hayo mabwawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…