We uliambiwa kuna kitu cha bure duniani, na kama angekuwa hataki kusaini mkataba si angekataa before pale imeonyesha ni jinsi gani alivyo kiburi while anamtrgemea us kwa karibu asilimia 60 kwenye hii vitaSio anajiamini kupitiliza
Huo mkataba wa kifedhuli huko ukraine wangemuona mpumbavu na heshima yake ingepotea kabisa Jr ungekuwa ni wewe ungetia saint mkataba huo?
Eu wenyewe wamejichokea kabisa hawamuwezi urusi hata kidogo bila marekani
Netanyau awapatanishe
Kipanya44 anakwambia askari wa urusi waliokwisha chinjwa ni laki8 na uupuzi, halafu anamalizia na neno tutazidi kuwachinja. Source that Kiev independent 'the mouth piece of Ukrainian propaganda'Kapambania nini mkuu.
Kapambania nini mkuu, mauaji ya askari wa Ukraine one million plus and a few thousand Russia soldiers not forgetting 20 million + displaced Ukrainians bila faida yoyote kwa Ukraine?This stupid boy deserves scorning and shunning.To me Trump is doing the right thing.Viva Trump.
Jibu swali ndo uulize swali huo ndo ustaarabu, mihemuko haisaidiiKabla ya kuvamiwa, alipaswa kufanyaje? Jibu bila mhemko. Zingatia pia uchochezi na ushawishi wa Boris Johnson.
Trump hakuonyesha busara toka first day hivyo zele kuonyesha kiburi ni haki yake ,hata hivyo Britain na eu watachukua task hioWe uliambiwa kuna kitu cha bure duniani, na kama angekuwa hataki kusaini mkataba si angekataa before pale imeonyesha ni jinsi gani alivyo kiburi while anamtrgemea us kwa karibu asilimia 60 kwenye hii vita
We uliambiwa kuna kitu cha bure duniani, na kama angekuwa hataki kusaini mkataba si angekataa before pale imeonyesha ni jinsi gani alivyo kiburi while anamtrgemea us kwa karibu asilimia 60 kwenye hii vita
Tremp anataka madini mzeeKapambania nini mkuu.
Kapambania nini mkuu, mauaji ya askari wa Ukraine one million plus and a few thousand Russia soldiers not forgetting 20 million + displaced Ukrainians bila faida yoyote kwa Ukraine?This stupid boy deserves scorning and shunning.To me Trump is doing the right thing.Viva Trump.
Kamvimbia Putin mpaka Leo anamchezesha na sasa Trump huyo jamaa apewe heshima yake.Kuwa Na Akiba Ya Maneno Zele Kesho Akabadilika Na Kuwa Kondoo Uwezi Kujitutumuwa Kwa....
Hebu tuone maana mida hii Zele katua Stansted AirportMkuu ni hivii,Marekani kama watasitisha msaada wao kwa Ukraine,the war will be over,Ulaya hawana kitu,wanajitutumua tu.
Tatizo ni tamaa za baadhi ya viongozi, pindi wanapoona wananchi wao kama wanyamaUko sahihi mkuu ni wakati wa Africa kujitathmini na pia kuangalia kwa ukaribu kitu kinachoitwa msaada japo naona tumelala wa pono.
Huu ujasiri anaupata kwa kuwa anaijua agenda nzima.He knows what the West is all about.Kwa hili Tukio Zelensky kaonyesha ujasiri wa hali ya Juu kubishana na Trump pamoja na makamu wake ndani ya white house. Naamini hakuna raisi wa Afrika na hata Europe ambaye angeweza kulifanya hili na kulithibitisha hili angalia mazungumzo ya Trump na waziri mkuu wa Uk na yale ya Trump na Macron
Mwanzoni wakati Zelensky alipoonyesha huu ujasiri mbele ya Putin tulihisi ni kwasababu anapewa kiburi na NATO. Je, huu ujasiri wa sasa anapewa na nani?
Bahati mbaya siyo kila ujasiri utakusaidia. Kuna mstari mwembaba sana unaotenganisha ujasiri na kiburi cha kijinga. Zelensky alitakiwa kupima risk zinazomkabili yeye na nchi yake. Lakini yeye alijali zaidi kuonyesha umwamba wake na kutaka kuonekana yeye ni mkombozi wa Ukraine kutoka katika makucha ya Russia, kitu ambacho ameshashindwa kabisa na naamini vizazi vijavyo vya Ukraine vitamchukulia Zelensky kama raisi mjinga zaidi kuwa kutokea pale Ukraine
N.B
Makosa anayoyafanya Zelensky ndio ambayo yalimuangusha Hitler na Ujerumani yake mpaka kufikia kibaraka na tegemezi kwa marekani.
Bila kusahau makosa kama haya yaliidondosha Japan
Naona nchi karibu zote za Ulaya zimemtia moyo Zelensky kuwa wako pamoja naye, psmoja na Australia, Canada.Hebu tuone maana mida hii Zele katua Stansted Airport
Mabishano Makali Katika Oval Office: Zelensky Aingia Katika Mvutano Mkubwa na Viongozi wa Marekani
Rais DonaldTrump na Rais wa Ukraine #VolodymyrZelensky walikuwa na mivutano mikali wakati walipokutana katika Ikulu ya White House.
Trump na Makamu wake Rais JDVance walionyesha wazi kuwa waliona kwamba Zelensky anapaswa kuwa na shukrani zaidi kwa msaada wa kijeshi na msaada mwingine kutoka Marekani, wakidai kwamba Ukraine "haina kadi" na wanachezea "vita vya tatu vya dunia."
Mivutano hii imekuwa ikiongezeka tangu wiki iliyopita wakati Zelensky alisema kuwa Trump anishi katika "eneo la upotoshaji" lililoumbwa na Urusi, huku Trump akimuita Zelensky "dikteta."
===================
Volodymyr Zelensky arrived at the White House this morning to sign a Mineral Deal with the United States and a VERY LOUD and VERY HEATED argument broke out, inside the Oval Office.
The arguing is so fierce, it can be heard well down the hallways outside the Oval Office!
Numerous sources are reporting that Zelensky started tangling with Vice President JD Vance, asking HIM to come to Ukraine and Vance allegedly replied "I won't take part in another one of your Propaganda Tours."
Zelensky then said a series of things and President Trump was heard telling Zelensky "You don't have the cards, but you're Gambling with World War 3."
This is clearly descending into something Zelensky never expected - or never thought possible - and things are getting very VERY heated right now.
A.IHatari aisee.
Malumbano makali yalizuka katika Oval Office siku ya Ijumaa kati ya Rais Donald Trump na mwenzake wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, ambaye alitarajia kushawishi Marekani kuendelea kutoa msaada wa kiusalama katika ziara yake jijini Washington.
Wakiwa wamepandisha sauti, Trump na Zelensky — pamoja na Makamu wa Rais JD Vance — walihusika katika mvutano mkali kuhusu aina ya msaada wa Marekani na iwapo Zelensky alikuwa ameonyesha shukrani ya kutosha.
View: https://youtu.be/z2s2pogllis?si=pN-KMPHDGJ-XuXjs
Ametua hapa Stansted kuja kufutwa machoziNaona nchi karibu zote za Ulaya zimemtia moyo Zelensky kuwa wako pamoja naye, psmoja na Australia, Canada.
Kasoro Hungary imemsifia Trump
Hasa Ujerumani hata huyu Kansela mpya naye yuko pamoja ma Zele.Ametua hapa Stansted kuja kufutwa machozi
Wote wana maslahi na sasa naona kuna nchi watasaini nae huenda
DduuhhNimemuona Huruma Huyu mtu
Jamaa kawa Kama Jibwa fulani
kakosa Heshima wanamuona kama Jinga Fulani hivi
umasikini Mbaya sana
View: https://x.com/BRICSinfo/status/1895536558452904031?t=p-D0Oe1zDp7MzwMdxDzu_w&s=19
Huku mambo yanawaka wazungu wanasema ifike mahali tuwe na mdomo wa kuongeaHasa Ujerumani hata hiyu Kansela mpya naye yuko pamoja ma Zele.