Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukraine haiwezi kushinda hiyo vita.Mimi nimempenda jamaa sana, amewaonesha anachokisimamia...eti uwezi kushinda vita.
Zelesky ni mwanaume na nusu...ingekuwa viongozi wa nchi zetu hawa ingekuwa tayari wameshamwaga wino
Nani anampa jeuri hii, anajiamini kupitiliza while he got nothingKajitutumua, si kazi rahisi kuitetea nchi yako.
Kama pamoja na misaada ya mabilion ya $ kutoka Marekani bado Urusi ilikuwa inateka maeneo vipi hujiulizi hiyo misaada ikikatwa?Mimi nimempenda jamaa sana, amewaonesha anachokisimamia...eti uwezi kushinda vita.
Zelesky ni mwanaume na nusu...ingekuwa viongozi wa nchi zetu hawa ingekuwa tayari wameshamwaga wino
Ukweli ni kwamba hawezi kushinda vita kweli.Mimi nimempenda jamaa sana, amewaonesha anachokisimamia...eti uwezi kushinda vita.
Zelesky ni mwanaume na nusu...ingekuwa viongozi wa nchi zetu hawa ingekuwa tayari wameshamwaga wino
Mnafiki na mshenzi ..Yan mnafiki na tapeli, mana trump ni tapeli tu kwaio mnafiki na tapeli wanaongoza marekaniIla Vance mchonganishi sana
Aisee bora kasimamia anachoamini ingekuwa kiongozi wa kiafrika ungekuta mkataba wa kipuuzi ushasainiwa zamaniTrump alimuaunderstamate jamaa wakihisi kijinga litapewa tu mkataba lisaini ovyo
Yaani dili hata kama la kipuuz akubali tu? kwa kuwa yupo kwenye shida?Ukweli ni kwamba hawezi kushinda vita kweli.
Hana silaha, silaha anazotumia zote zinatoka USA.
Hana satellite ya kijeshi sasa atatumia vipi hiyo misaada ya silaha anayopatiwa na Marekani mfano mizinga hizo coordination za kupiga eneo husika atatumia nini?
Makombora ya USA yanatumia mfumo wa GPS na alipatiwa msaada na satellite za Elon Musk.
Akinyimwa hivyo vyote hawezi kupigana nchi itaendelea kumegwa na Russia.
Sasa achague moja, akubali dili na ISA ili sehemu ya nchi yake ibaki au nchi yake iendelee kumegwa na Russia?
Trump alifikiri anaongea na yale mapopoma yaliyojaa afrika. Sasa kakutana na kusiki cha mpingo kashindwa kuamini kilichotokeaAkihisi anaongea na tshesekedi
Vance na Trump wake walifikiri wanaongea na mtoto mdogo ambaye wangemlazimisha yale wanayotaka wao wao sasa chuma kimekataa kusign deal la kipuuziMnafiki na mshenzi ..Yan mnafiki na tapeli, mana trump ni tapeli tu kwaio mnafiki na tapeli wanaongoza marekani
Hatari aisee.
Malumbano makali yalizuka katika Oval Office siku ya Ijumaa kati ya Rais Donald Trump na mwenzake wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, ambaye alitarajia kushawishi Marekani kuendelea kutoa msaada wa kiusalama katika ziara yake jijini Washington.
Wakiwa wamepandisha sauti, Trump na Zelensky — pamoja na Makamu wa Rais JD Vance — walihusika katika mvutano mkali kuhusu aina ya msaada wa Marekani na iwapo Zelensky alikuwa ameonyesha shukrani ya kutosha.
View: https://youtu.be/z2s2pogllis?si=pN-KMPHDGJ-XuXjs
Sasa ndiyo aamue: Imma nchi ichukuliwe na Russia au akubali dili na Marekani?Yaani dili hata kama la kipuuz akubali tu? kwa kuwa yupo kwenye shida?
Boooonge la mkudaIla Vance mchonganishi sana