Mvutano mkali kati ya Trump na Zelensky watokea katika Ikulu ya White House

Mvutano mkali kati ya Trump na Zelensky watokea katika Ikulu ya White House

Trump alifikiri anaongea na yale mapopoma yaliyojaa afrika. Sasa kakutana na kusiki cha mpingo kashindwa kuamini kilichotokea
Amrjuta kuweka wazi maongezi maana dogo hakusita kuagiza gari lije kumschykua
Trump n nzuri shida take anataka kukulia juu na shida zakooooooooo
.dogo ana helà mbaya yule HATA aondokee kesho Ukraine

Ukisikia SIASA HAZINA adabu utasikia dogo amealikwa china wikii ijayo ametia Saini madini taende
 
Mabishano Makali Katika Oval Office: Zelensky Aingia Katika Mvutano Mkubwa na Viongozi wa Marekani

Asubuhi ya leo, Volodymyr Zelensky aliwasili katika Ikulu ya White House kwa ajili ya kusaini mkataba wa madini na Marekani, lakini hali iligeuka kuwa mabishano makali ndani ya Oval Office.

Mabishano hayo yamekuwa makali kiasi kwamba sauti zao zinasikika hadi kwenye korido nje ya ofisi hiyo!
===================

Volodymyr Zelensky arrived at the White House this morning to sign a Mineral Deal with the United States and a VERY LOUD and VERY HEATED argument broke out, inside the Oval Office.

The arguing is so fierce, it can be heard well down the hallways outside the Oval Office!
Numerous sources are reporting that Zelensky started tangling with Vice President JD Vance, asking HIM to come to Ukraine and Vance allegedly replied "I won't take part in another one of your Propaganda Tours."

Zelensky then said a series of things and President Trump was heard telling Zelensky "You don't have the cards, but you're Gambling with World War 3."

This is clearly descending into something Zelensky never expected - or never thought possible - and things are getting very VERY heated right now.

12:53 PM EST -- MORE:
President Trump just told Zelensky "You ether make a deal, or we're out."

1:28 PM EST --
Zelensky's Motorcade has suddenly appeared off-schedule at the portico of the White House. It appears Zelensky has been told to leave swiftly
This is how Donald Trump concluded:

“We had a very meaningful meeting in the White House today.
"Much was learned that could never be understood without conversation under such fire and pressure.

"It’s amazing what comes out through emotion, and I have determined that President Zelensky is not ready for Peace if America is involved, because he feels our involvement gives him a big advantage in negotiations.

"I don’t want advantage, I want PEACE.
"He disrespected the United States of America in its cherished Oval Office.

"He can come back when he is ready for Peace.”
 
Ukisoma kitabu cha Trump the art of the deal utamuelewa sana. na Trump anachafua maji ili samaki wapande juu wenyewe...lengo lake ale kotekote hata kama alikuwa na makubaliano na Zalensky hawezi kuyaweka waz na lazima ataficha au kutengeneza drama ili Putin akubali deal nzuri kabla US hawajarudi tena mezani na Zalensky, yote ya yote US iko pazuri maana Russia inataka vita viishe, Ukraine inataka vita iishe...
 
Sasa ndiyo aamue: Imma nchi ichukuliwe na Russia au akubali dili na Marekani?
ishindwe mara ngapi kuichukua? kama Trump kinamuuma ana hiyari pia ya kuacha kutoa silaha vilevile maana hajalazimishwa kuitoa.
 
Zelensky anapaswa kukumbuka Russia na Ukraine ni ndugu! US na EU countries zilitumika kuwagombanisha!
Sasa Zelensky ameishia kuuza madini ya thamani ambayo yangeijenga Ukraine kwa ajili ya kulipa madeni ya silaha alizopewa bure!
Huenda na EU wakaanza kuidai Ukraine.
Wanamdanganya kuwa ataishinda Urusi kwenye vita
 
Amrjuta kuweka wazi maongezi maana dogo hakusita kuagiza gari lije kumschykua
Trump n nzuri shida take anataka kukulia juu na shida zakooooooooo
.dogo ana helà mbaya yule HATA aondokee kesho Ukraine

Ukisikia SIASA HAZINA adabu utasikia dogo amealikwa china wikii ijayo ametia Saini madini taende
Bora dogo aside na china ila siyo hii US ya Trump. Nimependa zele alivyokataa kudhalilishwa mtu 2 zimechemsha kwa dogo Zele.
Trump alifikiri angepata kitonga ila kala za uso tena live bila chenga.
 
Trump hacheki na wowote. Trump ni mfanyabiashara, anawaza hela ambayo usa imewapa Ukraine kama $350B. Wakati ndani USA kuna shida nyingi.



Pia kuna tetesi huyo dogo zele anapiga hela kwenye silaha pamoja na washikaji wake. Hii vita wanatumia kulamba asali. Kwa hiyo hapo alikuwa anaona kama trump anamharibia mrija wa kulamba asali
 
Kapambania nini mkuu.

Kapambania nini mkuu, mauaji ya askari wa Ukraine one million plus and a few thousand Russia soldiers not forgetting 20 million + displaced Ukrainians?This stupid boy deserves scorning and shunning.To me Trump is doing the right thing.Viva Trump.
Leo umeipenda Marekani. Interesting.

Oh, just remembered. Now that Trump and Putin are buddies, nothing else matters. To hell with conspiracies!
 
Kapambania nini mkuu.

Kapambania nini mkuu, mauaji ya askari wa Ukraine one million plus and a few thousand Russia soldiers not forgetting 20 million + displaced Ukrainians?This stupid boy deserves scorning and shunning.To me Trump is doing the right thing.Viva Trump.
Aliyajua yote hayo ila upumbavu wake ndio umempeleka US
Trump alijua anaenda kumuadhibu vikali
Akamdanganya kwa kuwa anajua zele anapenda hela na kumwambia njoo tusaini mikataba
Mkuu maandishi yangu ni kejeli kwake.

Aliitwa Dictator, hapo kama ana akili ilikuwa abaki kwake tu
 
Back
Top Bottom