Mvutano mkali kati ya Trump na Zelensky watokea katika Ikulu ya White House

Mvutano mkali kati ya Trump na Zelensky watokea katika Ikulu ya White House

Kapambania nini mkuu.

Kapambania nini mkuu, mauaji ya askari wa Ukraine one million plus and a few thousand Russia soldiers not forgetting 20 million + displaced Ukrainians?This stupid boy deserves scorning and shunning.To me Trump is doing the right thing.Viva Trump.
HUNA FACTS WEWE HUYO MUMEO RUSSIA KAMA ANGEKUWA THE WAY YOU THINK LEO ANGEICHUKUA UKRAINE YOTE LAKINI TAFITA FACTS WARUSI WENGI MNO WAMELAMBA VIMBI MPAKA KAOMBA MSAADA WA 10000 NORTH KOREAN ARMY
 
Hapa issue sio umasikini,issue jamaa ni Mjinga Fulani hivi.
Misaada imempa kiburi akajiona star.
Hivi huyu anadhni ni yeye ndio alikua anapigana na Urusi?
Urusi ilikua inapigana na NATO indirect na NATO ni USA .
Hana uwezo anabishana na mfadhiri.
Angekua na akili angekubali yaishe.
Ukraine peke yake haiwezi kuishinda Urusi ajue hilo.
HACHA UBISHANI WA KIJINGA INAONEKA HUELEWI THE ROOT OF THE WAR WEWE UMESHOBISHWA PROPAGANDA ZA URUSI
 
😄😄😄 yaani unaweza fikiri kama hichi kikao si cha marais ,ila kiukweli zelensky ni comedian lakini hata Trump naye kuna kitu hakipo sawa kuwa kiongozi wa taifa kubwa kama Marekani maana anachokifanya Trump ni kuonesha mataifa mengine kutoiamini Marekani katika jambo lolote.
Yeah! Hiki ndio nimeona pia. Ni muda wa watu kupambana wenyewe,
 
ZELENSKY. Kumbe kajeuri😄
Kajinga TU,kametaka kaonekane kwenye tv kama kajasiri.
Katika hali ya kawaida huwezi kubishaba na mfadhiri namna hiyo.
Hivi bila USA huyo Leo angekua ama mfungwa huko Siberia ama mkimbizi.
Tuache uongo ni USA ndio ameipunguza spidi Urusi kuichukua Ukraine.
Yeye zele ana Nini?
Kama huna usijitutumue bana.
 
Kapambania nini mkuu.

Kapambania nini mkuu, mauaji ya askari wa Ukraine one million plus and a few thousand Russia soldiers not forgetting 20 million + displaced Ukrainians?This stupid boy deserves scorning and shunning.To me Trump is doing the right thing.Viva Trump.
Uko sahihi kabisa.
 
Kijana aliingia kwenye vita kijinga. Putin na Trump nadhani wana maelewano mazuri sana, ndio maana kipindi cha kwanza cha Trump ilisemekana alisaidiwa na Urusi.
Zelensky chini ya Trump anapitia kipindi kigumu sana
 
HACHA UBISHANI WA KIJINGA INAONEKA HUELEWI THE ROOT OF THE WAR WEWE UMESHOBISHWA PROPAGANDA ZA URUSI
Ni wazi wewe ndio hujui hata unaongea Nini.
Nina uhakika wewe umeshibishwa Propaganda za Ukraine.
 
Marekani ni wezi na wanaonesha Dunia wakiataka kuweka mikataba ya Kijambazi huyu Zelensky ni mwana sana..
 
Ukraine haiwezi kushinda hiyo vita.

Mpaka kufikia hapa tokea vita ianze, imebebwa sana na Marekani.

Marekani akiamua kuchomoa msaada, yaliyomkuta Assad yatamkuta Zelenskyy.
,👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝👍👍👍👍👍👍👍👍👍
 
Kinacho fuata ni assassination hapo. Marekani ndio mchawi wa amani dunia hii.
 
Haya! Marekani imesimamisha misaada ya kurejesha miundombinu ya umeme nchini Ukraine ambayo mara kwa mara imekuwa ikishambuliwa na Russia.

Kumbe hata miundombinu ya umeme anapokea msaada, nchi haina hela.

Wajiandae kulala gizani na wajiandae nchi kumegwa zaidi.

Kesho tutarajie nini? Elon Musk kuzima satellite yake ambayo inamsaidia Ukraine kwenye radio za mawasiloano, satellite surveillance, drones na electronics warfare system?
Bora kuliko kusign mkataba wa kimaamuma
Ingekuwa wewe ungesign?
 
Viongozi wa kiafrica hili ni some nzuri sana, tambueni hamna nchi nyingine zaidi ya nchi zet za kiafrica.
Tuzijenge nchi zetu, kuomba omba hakuna heshima kamwe.
 
Kwa iyo wamempa kigezo cha kusaini mkataba ndo waendelee kumsaidia?
Dogo kachomoa?

Nje ya mada: Dressing code ya Zele wenda nayo imechochea the so called "Disrespectful" 😁
 
Kwa iyo wamempa kigezo cha kusaini mkataba ndo waendelee kumsaidia?
Dogo kachomoa?

Nje ya mada: Dressing code ya Zele wenda nayo imechochea the so called "Disrespectful" 😁
 
Huyu mjinga angekubali tu uhalisia kuwa alitumika kama toilet paper na sasa ana mavi na hashikiki tena. Uzuri Trump hana mbambamba. Sign mkataba USA aje apigane nchini kwako kwa faida, yaan kuchimba na kuondoka na madini. Au ulete ujuaji tumwachie Mrusi amalize kazi yake, amani ipatikane.
 
Back
Top Bottom