naona umeshiwa hoja kiazi.Acha kujitetea we maskini na huna uwazalo zaidi ya ngono tu. Ndio mlivyo nyie maskini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naona umeshiwa hoja kiazi.Acha kujitetea we maskini na huna uwazalo zaidi ya ngono tu. Ndio mlivyo nyie maskini.
We maskini tu na una kula kulala hapo kwa Dada yako ndio maana unawaza ngono kila saa. Toka kwa Dada yako ukapambane kama utakuwa na muda wa kuwaza ngono.naona umeshiwa hoja kiazi.
Kwa nini mashujaa wengi wa imani walikuwa na wake wengi? Mtu atakwenda motoni kisa alioa wake zaidi ya mmoja? 😳Mathayo 19:4
Akawajibu: “Je, hamkusoma kwamba yule aliyewaumba tangu mwanzo aliwaumba mwanamume na mwanamke 5 na kusema: ‘Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye atashikamana na mke wake, na hao wawili watakuwa mwili mmoja’? 6 Basi wao si wawili tena, bali mwili mmoja. Kwa hiyo, kile ambacho Mungu ameunganisha mtu yeyote asikitenganishe.
Mungu alimpa Adamu mke MMOJA.
Kuoa wake wengi ni tamaa na kukengeuka.
imebidi nicheke sana.We maskini tu na una kula kulala hapo kwa Dada yako ndio maana unawaza ngono kila saa. Toka kwa Dada yako ukapambane kama utakuwa na muda wa kuwaza ngono.
Unaombwa sheria unaleta hadithi.
Nabii gani alioa Wake wengi zaidi ya Yakobo tena kwa kuingizwa mkenge na mjomba wake?
Kutoka 21:10Jamaa anatupiga fix. Nikajua imeandikwa sehemu mwanaume ataoa wanawake zaidi ya mmoja. Akikupa kifungu kinachosema hivyo, nitag bro na nitajitoa JF rasmi.
Kutoka 21:10 BHNTupe hiyo sheria ya kuoa Wake wengi Mkuu.
Mungu hajawahi kumpa Ruhusa Mwanaume kuoa wake wengi na hajawahi kumkataza.
Ni suala la Utashi tuu.
Nazungumzia Mungu wa kwenye biblia
Kutoka 21:10 BHN
Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa.
Sasa hapo kasema oeni wanawake wengi? Juu ya hapo panasemaje?Kutoka 21:10
Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa.
Acha kukaza fuvu kilaza we, huoni hapo kwamba imeachwa kuwa ni hiari kuoa mke zaidi ya mmoja means kuoa wanawake wengi.Sasa hapo kasema oeni wanawake wengi? Juu ya hapo panasemaje?
Imeruhusiwa kuoa wanawake wengiSasa hapo kasema oeni wanawake wengi? Juu ya hapo panasemaje?
Hahaaaaaa, haya mkuu kuwa na siku njema mmeru japo Dada zenu sio wa kuoa. Nimeishi na kufanyakazi pale Nelson Mandela University nikawa naishi Tengeru Opposite na chuo cha ualimu Patandi. Nilikuwa mmoja wa Vijana wa pale Tengeru na tulipambana sana wakati wa Uchaguzi wa Nasari dhidi ya Sioi Sumari hiyo 2012. Nilikuwa na demu wa kimeru kama 4 hivi akina Jack, Beatrice, Binti mmoja wa Singisi na Mariam. Hawa walikuwa permanent acha wa kuokoteza pale Tengeru siku ya mnada. Nawajua sana.Dada zako. 😀😃😄😁imebidi nicheke sana.
nicheki PM ujue location ninaishi wapi.
mimi mwanaume wa kimeru wa shoka napiga mashine napiga kazi.
piga pumbu dogo utaliwa wewe bure. maisha mafupi unakufa na kuishia.
Acha mbwebwe dogo. Hapo anasema ikiwa umemuacha mkeo na ukaoa mwanamke mwingine, unatakiwa umuhudumie yule wa kwanza. Hajasema opening wake wengi. Acha kupotosha we maamuma.Imeruhusiwa kuoa wanawake wengi
1Timotheo 3:2Hakuna sehemu yoyote ambayo Mungu alikataza hata manabii ama wafame waliomtumikia kuoa mke zaidi ya moja,
haha mi mwenyewe dada zangu siwezi kuoa. jau sana pumbafu.Hahaaaaaa, haya mkuu kuwa na siku njema mmeru japo Dada zenu sio wa kuoa. Nimeishi na kufanyakazi pale Nelson Mandela University nikawa naishi Tengeru Opposite na chuo cha ualimu Patandi. Nilikuwa mmoja wa Vijana wa pale Tengeru na tulipambana sana wakati wa Uchaguzi wa Nasari dhidi ya Sioi Sumari hiyo 2012. Nilikuwa na demu wa kimeru kama 4 hivi akina Jack, Beatrice, Binti mmoja wa Singisi na Mariam. Hawa walikuwa permanent acha wa kuokoteza pale Tengeru siku ya mnada. Nawajua sana.Dada zako. 😀😃😄😁
Manabii na mitume walioa mke zaidi ya mmoja sasa ndugu zangu wakristo kwa kujitoa akili wanakuambia ilikuwa ni tamaa tu na wengine wanasema walitenda dhambi sasa unajiuliza kweli nabii atende dhambi halafu mungu amuache kweli? Wakristo wa leo wana akili kuliko Suleiman au Yakub😆😆😆Hata wafalme na manabii waliomtumikia Mungu walianza na mke moja ila wakaja kuongeza na Mungu wala hakuwakataza sehemu yoyote
Kwahiyo Suleiman na Yakob walifanya makosa kuwa na mke zaidi ya mmoja?Tupe hiyo sheria ya kuoa Wake wengi Mkuu.
Mungu hajawahi kumpa Ruhusa Mwanaume kuoa wake wengi na hajawahi kumkataza.
Ni suala la Utashi tuu.
Nazungumzia Mungu wa kwenye biblia
Nabii akifanya jambo baya Mungu hamuachi hivihivi anamtia adabuMuulize kila alilofanya nabii hata kama ni baya na yeye atafanya ?