Mvutano wa kisheria, tuhuma ya msanii aliyechoma picha ya Rais

lkn kama mnajua kwamba watoto masikini “wanapotoshwa” kwa nini mnawakamata masikini na msikamate hao wanaowapotosha hao watoto wa masikini kama ni kweli ni watenda haki ?
Kamuulize Mbowe
 
Kama sio kosa mrekodi mwanao akichoma picha ya Mbowe halafu post. Hata Mbowe na Lissu sio mbumbumbu ndo maana huwezi kuona watoto wao kwenye mambo ya kipumbavu kama kuchoma picha ya Rais. Ni kweli ninadharau mno mtu mpumbavu anayeona hili sio sawa ila analeta ujuaji.
 
Akifutiwa uwakili maana yake hana hadi ya usomi kwa hiyo hastahili kuendelea kusimamia kesi mahakamani! Mbumbumbu kama wewe ndiyo mtaendelea kumwita msomi lakini siyo wasomi wa sheria! Wao mawakili wasomi watamwita mwanasheria!
Sawa , mbumbumbu mwenzio aliyechoma picha ya mh rais keshahukumiwa miaka miwili jela au faini milioni tano. Nakushauri andamaneni au mumlipie faini asalimike na kifungo , la sivyo jela inamhusu.
 
Hujapangua hoja ya mleta mada hata kidogo. Mleta mada anasema kuchoma picha yenye sura ya rais (lkn siyo mali ya rais), hakuna kosa kisheria. Wewe chawa wa rais unasemaje??
Jamaa yenu keshahukumiwa miaka 2 je au faini milioni 5, je mnamsaidiaje?!
 
Je vipi Kama kijana huyo angechimba kaburi na kuizika hiyo picha kwa heshima zote za kiislam hapo pasingekuwa na kosa?
Kosa vilevile. Tafsiri yake ingekuwa kwamba anamuombea kifo muhusika wa picha hiyo
 
Mwambieni huyo mwendawazimu , huo ujinga apeleke Kenya
 
Mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama katika mkoa wake. Na sheria ya majeshi Dunia nzima ni kwamba mwanajeshi anapopewa amri na mkuu wake hawaruhusiwi kuhoji zaidi ya kufanya alichoamrishwa na kungoja maelezo baadae. Sasa kulingana na kanuni za kijeshi ni polisi asiyejipenda atakaethubutu kumuuliza mkuu wa mkoa mtu aliyeamrisha akamatwe kafanya kosa gani!!
 
Haya mchagieni hiyo 5m asiende jela miaka 2
 
Kama picha hiyo ingekuwa iko kwenye noti ya pesa za Kitanzania hapo ndio ingekuwa kosa, lakini karatasi la kuchora mwenyewe lisilo na ithibati ya vipimo vya sura halisi sio kosa.
Mbona picha za mabango ya JPM ya kampeni yaliyokuwa yamebandikwa sehemu mbalimbali, alipokufa tu manispaa ziliagiza zishushwe na kuchanwa au kuchomwa moto na watumishi wa umma waliotumwa na viongozi wao mchana kweupe lakini hakuni hawakukamatwa kamwe hadi leo hii.

Kuchomwa kwa picha ya kuchora ya mfano isiyo halisi ilileta athari gani ya kimwili, kiafya, kisaikolojia na kiusalama wakati ikiteketea na moto?

Kwani huyo kijana alifanya kosa gani kusema ushoga umetamalaki na kufanyika wazi wazi kwa sasa?

*Huyo kijana aachiliwe mara moja ni uonevu tu wa kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…