Polis wa TZ ni mostly standard 7 leavers and failures . Changamoto
Kubwa ni level ya elimu yao . They deal na issue ndogo ndogo sana ambazo hazina tija kwa taifa. Ishu za Msingi ambazo zinahitaji majibu huwa hawapo nazo busy
Ishu Kama hiyo ni Polisi ndio wanaipa attention , lakini ilipaswa kupuuzwa. Kama simpendi Samia you can’t force people to love her , kama mm naona she does not fit as a president, wengine wanaona ana fit , basi kila mtu abaki na imani yake na sio kupoteza resources kwa deal na ujinga
Kama ningekuwa Rais, moja ya eneo ambalo ningesafisha ni POLISI, ningewekq criteria ili uwe polisi lazima uwe degree holder , with intensive training, ujinga mwingi wa polisi ungepungua. Hawa mapolisi huwa wana act kama
Kwenye vichwa vyao kuna matofali , mfano ni pale Hamza alipo wafumua, Jeshi la polisi lina dhulma na
Halifanyi kazi kwa weledi