Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Mkuu wa mkoa huyoo!nina picha za lisu na mbowe hapa ngoja nizichome moto😕😕😕😕
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wa mkoa huyoo!nina picha za lisu na mbowe hapa ngoja nizichome moto😕😕😕😕
Hujapangua hoja ya mleta mada hata kidogo. Mleta mada anasema kuchoma picha yenye sura ya rais (lkn siyo mali ya rais), hakuna kosa kisheria. Wewe chawa wa rais unasemaje??Wewe mleta uzi nina uhakika huwezi ruhusu mwanao achukue picha ya Rais na kuichoma huku akirekodi video.
Nimeipenda hiiEndeleeni kuwapotosha vijana kutoka familia maskini huku wa kwenu mkiwahimiza kuwa makini na kujiepusha na siasa za kipumbavu. Huwezi kukuta mtoto wa kiongozi wa ngazi za juu CHADEMA anafanya harakati za kipumbavu au kuropoka hovyo. Watoto wa maskini kama kina Mdude ndo hutolewa kafara ili kupata political mileage. Wewe mleta uzi nina uhakika huwezi ruhusu mwanao achukue picha ya Rais na kuichoma huku akirekodi video.
Kwani picha iliyochomwa inamilikiwa na huyo Mama yetu?Kwenye penal code kuna kosa linaitwa ARSON i.e kuchoma Mali moto, swali ni vitu vinavyoitwa Mali ni vipi?
Dr. Samia Suluhu sio tu ni mkuu wa nchi bali pia ni mama.Kwa hio nini kifanyike
Je vipi Kama kijana huyo angechimba kaburi na kuizika hiyo picha kwa heshima zote za kiislam hapo pasingekuwa na kosa?Ndio, huo ni utovu wa nidhamu.
Tujikite kwenye Kikomo cha kisheria . Kama anataka kofia ya umama ibaki kwenye familia yake . Samia ni kiongozi wa Tanzania sio kiongozi wa familia za watanzania.Dr. Samia Suluhu sio tu ni mkuu wa nchi bali pia ni mama.
Tuwaheshimu wakubwa, TUWAPINGE KWA HOJA, na siyo kuwakosea adabu.
Wote wanaofanya vitendo vya utovu wa nidhamu wapewe onyo kali
Huo ungekuwa ni umwehu.Je vipi Kama kijana huyo angechimba kaburi na kuizika hiyo picha kwa heshima zote za kiislam hapo pasingekuwa na kosa?
Kwa hiyo ni sahihi kumkosea adabu kiongozi wa watanzania?Tujikite kwenye Kikomo cha kisheria . Kama anataka kofia ya umama ibaki kwenye familia yake . Samia ni kiongozi wa Tanzania sio kiongozi wa familia za watanzania.
Nimecheka ...umenikumbusha tukiwa Boarding school ya wanaume tupu halafu mtu Mmoja anaitwa Ally yupo bafuni anapiga kelele akiita "Mwajuma wangu njoo" kumbe ingekuwa Leo angefunguliwa mashitaka?Sure, picha yake nna matumizi nayo maalum geto kwangu...usiniulize matumizi gani!!.
Environmental cleaness! Ukichoma unashitakiwa bro.Huo ungekuwa ni umwehu.
Unazika vipi picha kwa heshima ya kiislamu ili hali aliyepo kwny picha yuko hai?
Ungefafanua kwanza kwanini watoto wa viongozi wa vyama vya upinzani hawaonekani kufanya uhuni wa aina hiyo na kurekodi video na kutuma mitandaoni.?! Tunaweza kusema labda kisheria kuchoma picha ya rais ni kama kuchoma karatasi yoyote!! Lakini ukiulizwa , kurekodi video wakati unachoma picha ya rais na Kisha kuirusha video hiyo mitandaoni unalenga kufikisha ujumbe gani kwa jamii , utasemaje?!Jikite kwenye hoja, Je kuchoma picha ni kosa kisheria?
Halafu huo ujinga wa kuona kila anayepinga serikali katumwa ni dharau sana, yaani unataka kusema Watanzania ni mbumbumbu na kwamba hawawezo kuamua mambo wenyewe na kutafakari hadi watumwe?
Hakika utalipwa kwa dharau zako hizo, Wallah tena!
Umeniwahi, Mimi pia nilitaka nimuulize swali hili!kunawakili ambae sio msomi mkuu?
Kwenye penal code kuna kosa linaitwa ARSON i.e kuchoma Mali moto, swali ni vitu vinavyoitwa Mali ni vipi?
Uchochezi na kuamsha chuki, hasira na taharuki katika jamii!, kosa linaweza lisiwe kuchoma picha husika, lakini kosa ikawa ni kurekodi video ya kitendo hicho na kuiweka mitandaoni. Unakumbuka yule mfanyakazi wa serikali kule kirosa enzi za magufuli aliyerekodiwa akichana na kukanyaga kitabu kitukufu Cha Quran waziri jafo akamsimamisha kazi na magufuli akasema afukuzwe kazi Moja kwa Moja? Si na yeye angejitetea kuwa kitabu ni Mali yake kanunua Dukani kwa pesa zake.?! Kwa kanuni za nchi picha ya rais pia ni kitu kitukufu na kinachoheshimika ndoa maana ukiingia ofisi mbalimbali za serikali na hata ofisi binafsi unakuta imebandikwa ukutani mahala pananapoheshimika.hapo sasa ngoja tuone Dpp ataandikaje kuhusu hiyo mali picha
Mawakili wa serikali sio wasomi ndio maana kutwa kushindwa kesi.Hakuna Mawakili wote ni Wasomi ndio maana hukuti Wakili kashtakiwa kizembe
Huko kuchamba hadharani peke yake ni kosa hata bila kutumia picha ya rais itakuwaje uchambie picha ya rais hadharani na kurekodi video na kutuma mitandaoni! Nia yako ni kufikisha ujumbe gani kwa jamii inayoangalia video hiyo?!Kuichambia je?
Karatasi ni mali yake picha ni ya mheshimiwa kiongozi mkuu wa nchi.Mali lazima iwe na mwenyewe, sasa ile karatasi yenye picha ni mali ya nani? Na je mwenye karatasi amelalamika?